Antonio Conte
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 1,089
- 1,748
Oneni hii nyumbu kitu inaongea.Mmewafunga vibonde lakini kwa mbinde!
Malmo hata Wananchi hawatufungi.
Oyaa mchizi boti umeibuka lini shimoniMmewafunga vibonde lakini kwa mbinde!
Malmo hata Wananchi hawatufungi.
Nyumbu na Ronaldo on fore na Kavani na Magwaya na Fernandos wote onfire mnawaweka 5/6Wakuu hbr zenu?
Nimekuwa adimu kidogo ktk kuleta uchambuzi hapa napenda tu kuwakumbusha maneno kadhaa ambayo aliyasema Thomas Tuchel wakati anaichukua Chelsea ile January ktk game za mwanzo alisema hivi.... Anataka kutengeneza timu ambayo hakuna timu itapenda kucheza nao!
Siku ingine akaenda mbele zaidi akasema kwa namna wanavyo cheza sio tu kwamba ni mfumo Fulani au sijui nini! Ni kwamba wanavyouishi huo mfumo na kuufanya wauzoee. Waelewe namna wanavyokaba, namna wanavyo shambulia! Namna wanavyo elewana na kuufanya huo mfumo uwe sehemu ya maisha yao!
Sasa hii ndio Chelsea aliyo itengeneza TT wala ha ihitaji kuja kufanya uchambuzi hapa! Yaani tunaacha vitu vijieleze vyenyewe....
Nawakumbusha tu msimu Man Utd haitakuwepo ktk top four.....
Nawapa msimamo wa ligi mpk Mwezi wa tano utakavyokuwa!
(1) Chelsea
(2) Liverpool
(3)Man City
(4) Spurs
Sasa ktk no tano na no 6 hapo Utd na Arsenal watakuwa wanapishana!
Man U hana lolote mkuu! Na jumamosi anafungwa na Man City ndio anazidi kupotea kabisa! Yaani msimu huu hamalizi ndani ya top four!Nyumbu na Ronaldo on fore na Kavani na Magwaya na Fernandos wote onfire mnawaweka 5/6
Manure ni title contender bana
Man U hana lolote mkuu! Na jumamosi anafungwa na Man City ndio anazidi kupotea kabisa! Yaani msimu huu hamalizi ndani ya top four!
Veran kapata Harmstring injury atakosa mwezi mzima zikiwemo mechi za Arsenal, Chelsea na City na zote hizo mnafungwa. Hata top 6 mtaisikia kwenye bombaManure anashinda jmos wewe we wataka shosha atimuliwe
Veran kapata Harmstring injury atakosa mwezi mzima zikiwemo mechi za Arsenal, Chelsea na City na zote hizo mnafungwa. Hata top 6 mtaisikia kwenye bomba
Subiri mapema jmosi ukasokomezwe miti na man city ndio akili itakukaa sawa....Mmewafunga vibonde lakini kwa mbinde!
Malmo hata Wananchi hawatufungi.
Uneshajua westham atakufanya nini...Manure anashinda jmos wewe we wataka shosha atimuliwe
Umebakiza akili ya kunyea tu, nakushauri wahi milembe.Wakuu hbr zenu?
Nimekuwa adimu kidogo ktk kuleta uchambuzi hapa napenda tu kuwakumbusha maneno kadhaa ambayo aliyasema Thomas Tuchel wakati anaichukua Chelsea ile January ktk game za mwanzo alisema hivi.... Anataka kutengeneza timu ambayo hakuna timu itapenda kucheza nao!
Siku ingine akaenda mbele zaidi akasema kwa namna wanavyo cheza sio tu kwamba ni mfumo Fulani au sijui nini! Ni kwamba wanavyouishi huo mfumo na kuufanya wauzoee. Waelewe namna wanavyokaba, namna wanavyo shambulia! Namna wanavyo elewana na kuufanya huo mfumo uwe sehemu ya maisha yao!
Sasa hii ndio Chelsea aliyo itengeneza TT wala ha ihitaji kuja kufanya uchambuzi hapa! Yaani tunaacha vitu vijieleze vyenyewe....
Nawakumbusha tu msimu Man Utd haitakuwepo ktk top four.....
Nawapa msimamo wa ligi mpk Mwezi wa tano utakavyokuwa!
(1) Chelsea
(2) Liverpool
(3)Man City
(4) Spurs
Sasa ktk no tano na no 6 hapo Utd na Arsenal watakuwa wanapishana!
Naona siku hizi, unatembea kifua mbele kama umepigwa gumi la mgongo, sio!Oyaa mchizi boti umeibuka lini shimoni
Sosha mitano tenaNaona siku hizi, unatembea kifua mbele kama umepigwa gumi la mgongo, sio!
Ila mpaka January utarudi kua mwembamba kama unakula Omo vile.
Uneshajua westham atakufanya nini...
Hapo unaombea man city afungwe...
Niliwamiss sana Nilimiss sana uchambuzi wa Huku..... The Blues Daima. Najivunia kuwa Chelsea
Hizi history huwa hazidumu milele.David Moyes hana historia ya kuifunga liverpool tangu Enzi zile akiwa Everton na Manure
Mambo yote yaishia uwanjani...Huku hakunaga uchambuzi siku hizi utaboreka Cheltako fans wenzako kazi yao ni kuzurula kwenye nyuzi za wengine
Utachambua Nini ikiwa team inafanya vizuri ushindi umekuwa jadi yetu sio jambo lakushangaza kama wenzetu Manyumbu na Arsenane bila kusahau kocha wetu akosei kwenye selection ukichanganya na ufundi wake wa kusema mchezo na kufanya sub sahihi kwa wakati sahihi ndio kabisa.Ungekuwa wewe ndio mshabiki wa Chelsea kwa style hiyo ungechambua Nini hapo?TT sio soshaHuku hakunaga uchambuzi siku hizi utaboreka Cheltako fans wenzako kazi yao ni kuzurula kwenye nyuzi za wengine