OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Cheki hii takataka inaropoka ropoka tu bila kutumia akili πππTatizo nyie humu mumekutana mambumbumbu wa tupu, kwahiyo usitegemee uchambuzi wa soccer, labda muchambue tembele.
Nyie zenu ushambenga tu, ndio maana munaongoza kuzurura majukwaa ya wenzenu.
Psg Kwa chelsea mchumba saana tunapiga nje ndani na mbinu za puchettino mbona 4 wanakulaKwa hiyo unamtaka psg uefa falaa wewe ,huogopiii!!!!!
Sisi tupo kwetu hapa ww huku umefuta nini kama sio kuwashwa..? Nenda huko kwenu na timu lako tutalisukumia mogoli km yote. Kumbe ww ni Nyumbu au .?Tatizo nyie humu mumekutana mambumbumbu wa tupu, kwahiyo usitegemee uchambuzi wa soccer, labda muchambue tembele.
Nyie zenu ushambenga tu, ndio maana munaongoza kuzurura majukwaa ya wenzenu.
3 ziroWozaaaa tumerudi mzigoniii..ngapi Apo mazee tumeshinda[emoji23][emoji23][emoji23]
3 bila goals scored by Kante, Rudiger and PulisicWozaaaa tumerudi mzigoniii..ngapi Apo mazee tumeshindaπππ
Mkuuu hushangai kivip kma cjakuelewa?Ziyech yupo moto ila Mendy performance yake inafika hatua ushangai kabisa
Achana naye huyo anamzigo wa magoli kichwaniCheki hii takataka inaropoka ropoka tu bila kutumia akili [emoji23][emoji23][emoji23]
Mendy kila game lazima akupe 9/10 inafika hatua mtu kama huyu ushangai performance yake tena vip hapa umenielewa?Mkuuu hushangai kivip kma cjakuelewa?
Yah kwa Sasa Mendy ameshafanya Kila kitu. Wamnyime tuzo tujue moja.Ziyech yupo moto ila Mendy performance yake inafika hatua ushangai kabisa
Ole hatunaye tena!Hiv kweli ole anaweza kutufunga? Nitashangaaa sana ila nimeangalia mpira wa man u hawachezi kitimu
Alipoulizwa kuhusu kuuzwa kwa Ziyech January, kocha kasema hakuna kitu kama hicho na yeye (Ziyech) kocha amemuweka kwenye mipango yakeZiyech yupo moto ila Mendy performance yake inafika hatua ushangai kabisa
Hata mimi napenda style ya uchezaji wa Odoi, attacking minded na anaonyesha nguvu na mzuri kwa dribling. Anastahili muda wa kutosha hata Werner akirudiTT azidi kumpa nafasi ya kucheza bwana mdogo ODOI, dogo anazidi kuimarika kila siku aisee.
Cholobah dogo haitaji tena introduction, yuko vizuri sana. Nafurahi captain wetu Azipu anapata muda wa kupumzika kulingana na umri wake.
Imagine hapo angekuwa Kepa na ule ufupi wakeJini goliniView attachment 2018547