Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwan wwtimu ambayo si ya kawaida kwa ssa timu gani ndio u.esema PSG
MAN CTY
MUNICH
ILA UMESAHAU HTA HAO PSG WA PATA TABU KUSHINDA
nimesema endelea kuvimba kichwa
Hakuna sehemu nilikootodhesha timu. Umetaja timu kwa kutumia hisia zako na umeitaja psg kwavile unahisi kuna majina makubwa basi watatajwa kama timu bora. Nimesema Juventus kwasasa wana struggle hawako kwenye form kwasasa.
 
Kwahyo Chelsea akimfunga juve goli 4 km anavyowafunga kina Newcastle wasisifiwe....huongei ukweli Bali unachembe chembe za chuki Tu[emoji23]
 
Basi ndio utaje sasa timu unayoiona ni ya kiwango kikubwa.

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Umesahau tulivokuja kubomoa Hilo daraja hapo Stamford bridge huku mkitoka na 0 shot on Target [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Nyie Chelsea mnakutana na vibonde tu ,mkikutana na wanaume wa shoka ,mnakaaa na kuomba poooo .....!
 
Na ligi mzima ya England ina timu za kawaida sana ndio maana chelsea anaongoza ligi na ameruhusu kufungwa magoli manne tu kwenye mechi 12 alizocheza.

Kwenye sifa si mbaya kusifia, roho mbaya na husda hazijengi hata kidogo.

Credit kwa TT na Chelsea yake.

Keep the blue flag fly higher.
 
Iyo nusu fainali yenyewe utafika mpaka uje kukutana na sisi???[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Iyo nusu fainali yenyewe utafika mpaka uje kukutana na sisi???[emoji23][emoji23][emoji23]
City this time ni kufika final na kuchukua CL ,Sasa wewe endelea kukaza fuvu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
We unashabikia timu gani?
 
Mkuu siyo baada ya kukontrol alimpasia Rau then Rau ndiyo kamtengea Odoi....au mimi ndiyo sijaona mkuu angalia hap juu
Hapana yeye ndio alipokea mpira kwa Ziyench akachekecha akamtengea Odoi... angalia vzr
 
Sijaropoka naomba njoo na msimamo wa ligi ya Italy uone hao juve wameshinda mechi ngapi Serie A na wako nafasi ya ngapi. Ni timu ya kiwango cha kawaida tu usidanganyike ni jina. Na je unakataa Leicester city hakufungwa na arsenal?
Hata Crystal Palace amemnyuka man city kaangalie sisi tumenyuka ngapi crystal palace.
 
Watu ni wanafiki sana.

Tukishinda wanasema tumecheza na kibonde.

Tukifungwa sasa.

Punguzeni hate wazee.
 
Yaani Chelsea sasa inatisha. Kilichobaki ni kusambaza ma agent wetu ulaya nzima. Maana sio mda mrefu kila timu kubwa ulaya itakuwa inavizia Chelsea academy graduate ili iwasajili.

Hebu fikiria jana magoli matatu yametoka Chelsea academy graduate na tokea ligi zianze angalia rate ya Chelsea academy graduate wanavyofunga. Alafu ndio mashabiki mandazi wanakuja hapa wanaiponda Chelsea bila hata kujua kwa sasa Chelsea ina foundation nzuri sana ya mpira wa miguu.
 
Kwa hiyo kwa sababu Sisi tulitoa sare na Villareal na man u kashinda match mbili kwa haohao ndio man u inageuka kuwa timu nzuri.

Dah hiyo reasoning yako ni ya hovyo sana.

Oyaaa huyu Kunguni muachine apige kelele humu. Ikifika J2 huu uzi hatoutamani tena.
 
Mkuu unaumia ukiwa pande zipi baada ya Chelsea Kumfunga Juventus Goli 4 bila. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole sana na safari hii mtaongea sana sisi tunasonga tu.

Chelsea msimu ulioisha mpaka anachukua Champion Ligi kamfunga Real Madrid goli tatu., kamfunga Porto, kamfunga Atlentico Madrid nje ndani, kamfunga na Mancity three times akiwa kwenye form. Na hili unazungumziaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…