Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hakuna sehemu nilikootodhesha timu. Umetaja timu kwa kutumia hisia zako na umeitaja psg kwavile unahisi kuna majina makubwa basi watatajwa kama timu bora. Nimesema Juventus kwasasa wana struggle hawako kwenye form kwasasa.
Timu gani ambayo haistruggle.

Tutajie timu zinazostruggle na timu ambazo hazistruggle halafu utuambie Chelsea unaiweka kundi gani hapo.
 
Mnabomoa daraja ila sisi twawa washindi wa vita
 
Una sahau vipi Chelsea kukufunga three times mpaka tunachukua UEFA kwenye mdomo wako tunakuacha na udenda Acha kujisaulisha dogo. Kwanz wewe unatakiwa ubishane na kina Malmo, Barnely, Bradford, Sherrif ndiyo saizi yako
 
City this time ni kufika final na kuchukua CL ,Sasa wewe endelea kukaza fuvu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si ulisema hamna shida nalo. Au umesahu duuu kumbe uliumia sana baada ya kukosa kombe hili mbele ya Chelsea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umemjibu kisomi sana, akirudi kujibu uni tag tafadhali
 
Ziyech akiendelea kugawa pasi za upendo sambamba na kuonesha kiwango kizuri tutamsahau kumtaja Fabregas kwenye mijadala yetu
Huko nyuma alikuwa hafanyi hivi, sasa naona kashtuka yule Ziyech wa Ajax anaanza kurudi
 
Mkuu siyo baada ya kukontrol alimpasia Rau then Rau ndiyo kamtengea Odoi....au mimi ndiyo sijaona mkuu angalia hap juu
Raul hakuucheza kabisa hata kwenye build-up, ilianza kwa Rudiger, ikaenda kwa James ambaye naye alimpasia Ziyech, Ziyecha akamtengea RLC ambaye kaucheza huo mpira tena kwa kucontrol kwanza ndipo akammegea Odoi pasi nzuri ambayo ilikuwa rahisi kwa Odoi kumalizia.
 
Mpaka apatikane bingwa mwingine mbali na Chelsea ndio Chelsea itaacha kuwa bingwa wa Ulaya ndugu wacha kujisahaulisha akili
 
Hahahaha hahah walete hao nyumbu tuwale nyama
Ma nzi yamepotea kabisa humuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
@thiagosilva stopping Morata from scoring against his old club Chelsea with the game at 1-0. Makes sense that we got Thiago for free because that man is priceless [emoji122][emoji170][emoji1054]


 
Samahani niliangalia vibaya. Nimecheki alikuwa Cheek [emoji120][emoji1666]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…