OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Chekini hii ndorobo🤣🤣🤣🤣😂😂Utasikia et "tunaenda kuchukua CL kwa mara ya pili " labda CL ya buza kudadekii .....
Chelsea ni timu ya kawaida Sana ,Tena sanaa ,haijakutana na Moto wa city ,buyern ,psg ,Liverpool ......
Kwa nyie kenge nataman tukutane Tena CL hata robo final au semi final kabisa ...
Kupata vichekesho Kama Hivi tunapigwa namba gani?😂😂🤣😂🤣
Huyo bana hata akizeeka kabisa akashindwa kucheza apewe mkataba tu hata wa miaka miwili atusaiodie dressing room, zimwi lake likiwa nje litasaidia defense ifanye vizuriHuyu Silva wako wawili ndani ya mwili mmoja.😂😂🤣
We mlevi tupishe tu humu!Chelsea bingwa wa ulaya msimu uliopita sio huu, msimu huu ndio bingwa anatafutwa. Mlimfunga bingwa wa Spain, England na bingwa wa kihistoria wa UEFA lini? Maana nakumbuka Chelsea imecheza na mshindi wa Europa league ambaye villareal na kushinda kwa penati baada ya kutoka sare moja moja. Kwa kutumia kigezo ambacho wewe umekitumia kwa kulinganisha na man u, je unasemaje baada ya man U kushinda mechi zote mbili dhidi ya villareal ndani ya dakika 90?
Kweli wewe mku...rya
Kwa maelezo haya ,umeonesha hadharani kabisa kuwa wewe humo kichwani ni zero brain ,huna unalojua kuhusu football ....kilaza level za STGHata Crystal Palace amemnyuka man city kaangalie sisi tumenyuka ngapi crystal palace.
Mume wako psg anakusubil umpelekee kitumbua hicho leo usiku alaf hupo huku kwa wanaume unatembea na kanga mojaKwa maelezo haya ,umeonesha hadharani kabisa kuwa wewe ni humo kichwani ni zero brain ,huna unalojua kuhusu football ....kilaza level za STG
Huyu psg Leo anakufa goli 4 pale Etihad ....Mume wako psg anakusubil umpelekee kitumbua hicho leo usiku alaf hupo huku kwa wanaume unatembea na kanga moja
Wewe zwazwa unayejua mpira timu yako inashika nafasi ya ngapi?Kwa maelezo haya ,umeonesha hadharani kabisa kuwa wewe humo kichwani ni zero brain ,huna unalojua kuhusu football ....kilaza level za STG
We dada endelea kuangalia tamthilia ya Kulfi hapo kwa shemeji yako huku unapausha kijora chako bureChelsea bingwa wa ulaya msimu uliopita sio huu, msimu huu ndio bingwa anatafutwa. Mlimfunga bingwa wa Spain, England na bingwa wa kihistoria wa UEFA lini? Maana nakumbuka Chelsea imecheza na mshindi wa Europa league ambaye villareal na kushinda kwa penati baada ya kutoka sare moja moja. Kwa kutumia kigezo ambacho wewe umekitumia kwa kulinganisha na man u, je unasemaje baada ya man U kushinda mechi zote mbili dhidi ya villareal ndani ya dakika 90?
Sasa kuongoza league kwa toafauti ya point 3 unavimba mbele ya wanaume ...Wewe zwazwa unayejua mpira timu yako inashika nafasi ya ngapi?
Timu yako ni takataka fala wewe....Sasa kuongoza league kwa toafauti ya point 3 unavimba mbele ya wanaume ...
Watu tuashaongozaga league kwa toafuti ya point 20 ,sembese nyie vigwagula wa Londoni kudadadadekiiiiii....
Ha ha ha nimecheka sana eti KULFIWe dada endelea kuangalia tamthilia ya Kulfi hapo kwa shemeji yako huku unapausha kijora chako bure
Moto wa mabua tu huu soon unaenda kuzima [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnafunga vibibi vya Turin mnaanza kuvimba????
Ha ha ha ha......
Basi mkuu Kwa sisi tunaojua mpira vzr imebaki swala la kupiga soga tu km hivi...
Mimi nawaambia wazi kabisa kwa kiwango cha Chelsea walichonacho sasaivi..... Wanaenda kubeba UEFA tena....
Wewe jiulize ni timu gani inaweza kuizuia Chelsea kwa sasa?
Tujiulize tu hivo yaani unacheza na watoto kutoka Chelsea Academy huku milioni 150 pounds yaani Lukaku yuko nje ala Banuchi na Fredricco Chiessa wanalambishwa nyasi na kwenda kulala hoi na viatu....
Ha ha ha ha hii ni zereu ya hali ya juu sn... Chalaboh kamfunika kabisa Chiessa huku Odoi anamgeuza geuza Banucci atakavyo....
Duh ukisikie kuuishi mfumo wa uchezaji aliokua anausema Tomasi Tuko ndio hii sasa....
Lile goal la Odoi, RLC alicontrol mpira vizuri sana katikati ya msitu wa mabeki wa Juve halafu akamtengea Odoi...
Aiseee Jamaa Na Ball control nzuri sana.
Njoon leo muone mabingwa wanavyo cheza...
Man City vs psg ....