Numero Uno
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 653
- 1,421
Mkuu hapo umetumia akili au makalioKuna vitu ukivifikiria vinaleta raha!
Pesa za usajili zilizotumika:
Thiago Silva - paundi 0
Andreas Christensen - paundi 0
Trevoh Chalobah - paundi 0
Reece James - paundi 0
Mason Mount - paundi 0
Ruben Loftus-Cheek - paundi 0
Callum Hudson-Odoi - paundi 0
Billy Gilmour - paundi 0
Conor Gallagher - paundi 0
Wakati huo Utd na Man City na Liverpool wametumia mpunga kibao
View attachment 2023181
Aisee wewe achana na mpira tu ....Kuna vitu ukivifikiria vinaleta raha!
Pesa za usajili zilizotumika:
Thiago Silva - paundi 0
Andreas Christensen - paundi 0
Trevoh Chalobah - paundi 0
Reece James - paundi 0
Mason Mount - paundi 0
Ruben Loftus-Cheek - paundi 0
Callum Hudson-Odoi - paundi 0
Billy Gilmour - paundi 0
Conor Gallagher - paundi 0
Wakati huo Utd na Man City na Liverpool wametumia mpunga kibao
View attachment 2023181
Halafu we mzembe unapenda sana kushinda kwenye hili jukwaa la wanaume mabingwa why!!?Hakuna timu nyingine Kama city kwa kudominate mpira na kupiga pass titiii for tatiiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie chelwowo msifikili kushindwa kupiga shot on Target ilikuwa bahati mbaya ....waulize psg kimechowakuta
Jukwaaa na nyumbu wanamsema TT alkkuwa baa med nyie mpo wakuuu hata kutupia neno hakuna au ndio mpka mshinde ndio muanze kushambuliaSalama mtoto wa Lampard.
Long time sana, karibu tena chief kwenye jukwaa letu la mabingwa.
Dah ninesikitika sana....Jukwaaa na nyumbu wanamsema TT alkkuwa baa med nyie mpo wakuuu hata kutupia neno hakuna au ndio mpka mshinde ndio muanze kushambulia
Nimeona yaaaan dwa na nyumbu ni kuwafunga tu watakoma kimyaaDah ninesikitika sana....
Nimeshawapelekea mashambulizi ya kutosha nipo napumzika.
Nasikia wanataka kumrudisha dogo ambaye yupo Kwa mkopo... iaan matsenTukubali maisha bila Chilwell
RLC naye alianza kuonyesha nyota njema mwaka juzi ghafla akaumia zaidi ya mwaka akaa kuuguza tu,
Tuangazie macho sas akwa Alonso na January tumuongeze Wingback wa kushoto atakayeendana na mfum o na falsafa ya TT
Tuwaangalie hawa wafuatao
Nicolas Tagliafico Ajax
Robin Gosens - Atalanta
Ngoja nimcheki hiyo dgoNasikia wanataka kumrudisha dogo ambaye yupo Kwa mkopo... iaan matsen
Poa tupe mrejeshoNgoja nimcheki hiyo dgo
Nimemcheki ni mzuri kwa back up ya alonso ila game tafu bdo dgo san ila ana kila kituPoa tupe mrejesho
Watoto hao wamekulia academy ya chelsea kumbavu weeeAisee wewe achana na mpira tu ....
Kwa hiyo hao wote ni maembe wametoka juu na kuangukia hapo darajan [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ata na yeye nimesoma ataongeza mkataba huyo ACHahahaha[emoji23], Marina yupo kwenye mchakato wa kumuongezea Silva mkataba wa mwaka 1 hadi 2023.
Christensen ananufaika uwepo wa babu Silva kwa kujifunza mbinu za ukabaji kutoka kwa kwake.