njoo kwetu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 801
- 1,802
Acha kubana pua Basi...ongea kiume
Tabia za kike hizo.... punguza shobo.....Acha kubana pua Basi...ongea kiume
Naona huko kwenye magroup yenu mabwana hawawatoshi mmeamua kuja na huku... ndo maana shobo zinakuwa nyingi.Acha kubana pua Basi...ongea kiume
Wakishatoka hao nani anacheza?Sijajua kwann chelsea bado wana mng'ang'ania alonso... Kwanza alonso hata stamina ya miguu..
Kalegea miguu sana...
Chelsea kuna wachezaji kama alonso,barkley na loft cheek.. Inabid waonyeshwe njia ya kutoka..
Wanaigarimu timu.. Lakn hakuna improvement yoyote
Hahahahahahaha tulia mama WATOTONaona huko kwenye magroup yenu mabwana hawawatoshi mmeamua kuja na huku... ndo maana shobo zinakuwa nyingi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahahahahaha tulia mama WATOTO
Wamejikausha mabingwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tupe sababuTT ni average coach sanaaa Mbwa nyinyi.
Jifunze kuweka akiba ya manenoTT ni average coach sanaaa Mbwa nyinyi.
Unasoma ubao.?TT ni average coach sanaaa Mbwa nyinyi.
Punguza wivu dada.TT ni average coach sanaaa Mbwa nyinyi.