juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
Demu ukishamtoa bikra unawaachia wahuni wagegede tu.Man u walishawawekea gundu mtakoma
FA ina sera gani hasa kutoahirisha mechi za Chelsea FC? maana mbali na hao wachezaji majeruhi pia wapo.Alonso alifanya mkimbio mmoja tu nyuma ya safu ya ulinzi ya wolves ambao ulizaa chance ya pulisic,
Hizi anatakiwa awe anafanya mara kwa mara kama chilwel anavyofanya
Tunawachezaj 7 mpk sasa wenye maambukiz ya covid na huenda wengine wakaongezeka kwa siku zijazo
Duuuh...! Kama Chelsea ni demu afu yuko juu yako kwa pointi zote zile, basi Man Utd atakuwa KahabaDemu ukishamtoa bikra unawaachia wahuni wagegede tu.
Hey fella kwa hiyo abadili mbinu apaki naye apaki basi aache mmoja mbele?Mkuu huyo kocha wenu abadilishe mbinu bila hivyo ataishia kupiga pasi na kumiliki mpira tu magoli hapati.
Sasa hivi ni mwendo wa6-3-2 hapo ataiweje hamna uwezo wakupata goli.liverpool na man city wanaelewa
Matokeo ya leo mimi sijashangaa wala siwalaumu.
Mpaka Chrismass hatuwezi kuwa wa 4Naomba hii comment yangu isiwe kweli wakuu....poleni sana, ni huruma
FA wameamua wawaadhibu poleni....Mpaka Chrismass hatuwezi kuwa wa 4
Hakuna adhabu yoyote.FA wameamua wawaadhibu poleni....
Sisi tunapumzika tukirudi tunakuwa na energy ya kutosha
ndugu mbona unahangaika kama kuku anatafuta pa kutaga. Tulia! Mpira kupoteza pia ni sehemu ya mchezo kama ilivyo kushinda na kutoa suluhu! Sasa cha ajabu hapo ni kipi?tuchel out
Sio kila timu ikicheza bila kushinda lazima awepo wa kulaumiwa. Sometimes ni kama upepo fulani hivi!Unadhani shida ni nini na lawama ziende kwa nani?
Nimeuliza makusudi sababu humu ndani kuna watu wanaangalia mpira live score halafu waishia kulaumu tu....Sio kila timu ikicheza bila kushinda lazima awepo wa kulaumiwa. Sometimes ni kama upepo fulani hivi!
Naimagine haya ndio yalikuwa maisha ya man u day in day out.Hizi sare mna Kipaimara kwani..????
Weeeee bando saivi nighali sana na kifurushi cha dstv 51000 nitakiweza? Sofascore ndio mpango weweeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimeuliza makusudi sababu humu ndani kuna watu wanaangalia mpira live score halafu waishia kulaumu tu....
Naona hakuna aliyenijibu leo.
kwa jinsi tot alivyo chaj, nyie ndio mmeshika nafasi za wanaume pale mjiandae kisaikolojiandugu mbona unahangaika kama kuku anatafuta pa kutaga. Tulia! Mpira kupoteza pia ni sehemu ya mchezo kama ilivyo kushinda na kutoa suluhu! Sasa cha ajabu hapo ni kipi?
don't look back, focus on your calamities you are facing right now, with your back passes I see you sliding back kwa kasi ya 4GHaiondoi ukweli kwamba we are the current Europe champions
Hapna no pulisc ndio wakulaumiwa ovaHey fella kwa hiyo abadili mbinu apaki naye apaki basi aache mmoja mbele?
Hivi unajua tulikuwa tunacheza na timu zinazipaki basi na bado tulikuwa tunapata matokeo kwa mfumo huohuo?
Nini kimebadilika?
Pulisic alikosa lile goal one to one. Na hapa wa kulaumiwa ni Tuchel?