Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,219
- 27,059
Usimtete tuchel kisa wewe ni chelsea fanHey fella kwa hiyo abadili mbinu apaki naye apaki basi aache mmoja mbele?
Hivi unajua tulikuwa tunacheza na timu zinazipaki basi na bado tulikuwa tunapata matokeo kwa mfumo huohuo?
Nini kimebadilika?
Pulisic alikosa lile goal one to one. Na hapa wa kulaumiwa ni Tuchel?
Hilo ndio swala la msingiMkuu huyo kocha wenu abadilishe mbinu bila hivyo ataishia kupiga pasi na kumiliki mpira tu magoli hapati.
Sasa hivi ni mwendo wa6-3-2 hapo ataiweje hamna uwezo wakupata goli.liverpool na man city wanaelewa
Matokeo ya leo mimi sijashangaa wala siwalaumu.
Lukaku sio type za chelsea na epl kwa ujumla.Hii ni mara ya tatu wanaibiwa kwa kumnunua lukaku, hivi huwa mnafeli wapi
Nimeuliza Pulisic amekosa one to one wa kulaumiwa ni Tuchel?Usimtete tuchel kisa wewe ni chelsea fan
Chelsea sasa inacheza kama.barca ya enzi za mwisho mwisho kutamba
Pass nyiingi lakina hazina impact hawashambulii mfululizo from wing wanataka penyeza mipira kati na hakuna finisher dizaini messi maana timu ikikupakia basi lazima uwe na forward anaweza penya kwa na mpira kwa mabeki
Je vipi kama chilwel akirudi na timu still inacheza kama hivi
Nakumbia tutafuliliza drawa na kufungwa kwa counter attacks
Mpira unakaa kwa mabeki muda mwigi hakuna cross zinazopigwa sana
Hii staili mimi siikubali tutafeli tu tutake tusitake
Sawa, yote maisha. Kushinda ama kushindwa. Kwa wakongwe wa Chelsea enzi za kina Zola, hii mbona issue ya kawaida sana?kwa jinsi tot alivyo chaj, nyie ndio mmeshika nafasi za wanaume pale mjiandae kisaikolojia
Hey fella kwa hiyo abadili mbinu apaki naye apaki basi aache mmoja mbele?
Hivi unajua tulikuwa tunacheza na timu zinazipaki basi na bado tulikuwa tunapata matokeo kwa mfumo huohuo?
Nini kimebadilika?
Pulisic alikosa lile goal one to one. Na hapa wa kulaumiwa ni Tuchel?
Match ya chelsea leo umeangalia?Mkuu mnavyocheza mko slow sana kwa 6-3-2 jamaa wanakuwa tayari 9 wako nyuma,sasa hapo 9 wakiwa nyuma utawalaumu wachezaji wanakosa magoli lakini nafasi utakayopata tayari kuna mtu huwezi kufunga yaani hakuna nafasi ya wazi utafunga kirahisi.labda upige nje.
Kupiga mipira mirefu kama Liverpool walichowafanya
Hao wolves.
Lakini hii unaanza nyuma unampasia kante anageuga anampa James,James na yeye anaangalia amwage maji au atoe pasi katikati?
Sasa huo muda wote wanakuwa washarudi kwenye 6-3-2 hapo huwezi kufunga hapo beki wapo 9.
Mkuu anzakufatilia hiyo kwenye mechi ijayo mpira mnavyo peleka pembeni kutokea katikati jamaa wana wahi kujiset kwenye 6-3-2 na nyinyi mnakuwa hamna haraka.lakini ingekuwa inapigwa mipira mirefu kama vvd yule wa Liverpool anaarakisha mashambulizi.mipira inatakiwa itoke kwa beki mpaka kwa mtu wa mbele sio wa kati .
Nyinyi bado mjabadilika mko slow sana.haiitajiki hapo creativity sijui ya mtu kupiga pasi za mwisho mtu abaki Na golikipa kwakuwa wako wengi hapana,hapo ni kuwahi kufika golini kabla hawaja weka hiyo 6-3-2.
Hizo kona sijui cross nikubahatisha tu wakiwa 9 pale nyuma mipira yote inawakuta wao.na ndio kinachotokea.
632!?
Match ya chelsea leo umeangalia?
Me nmeuliza ile one to one aliyokosa pulisic ni kosa la Tuchel?Nimeangalia mkuu.
Match ya chelsea leo umeangalia?
Katika hizo shot unakuta tumemiss atleast 3 big chance kwa uzembe wa wachezaj wetu katik hizo mechiHawezi kukujibu maana amekariri
• Chelsea 23 shots vs Everton
• Chelsea 25 shots vs Burnley
• Chelsea 24 shots vs Man United
Sasa hizo shots zilipigwaje kama pass wanapigiana mabeki?
Tatizo ni moja tu. Forward zetu hazipo clinical. Na hili litasolviwa with time hakuna haja ya wholesale changes
Msimu uliopota man City hakupigwa 5 na Leicester ?? Vile man City alianza vibaya mkasema hawezi beba kombe mbona alikuja kulibeba?Chelsea mnajiona mna timu mara EPL yenu, lkn kiuhalisia Amna kitu !!!
Hata huyo lukaku arudi hakuna kitu! Jashooo ndoo kumi hakuna goal [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini pia tuna shida ya kutransform kutoka kushambuliwa kwenda kushambulia tunachukua a lot of passes, mfano city ukipaki basi wakifanikiwa kuwin possession ukiwa unawashambulia wanapiga short and quick passes kabla opponent hajarudisha bus standHawezi kukujibu maana amekariri
• Chelsea 23 shots vs Everton
• Chelsea 25 shots vs Burnley
• Chelsea 24 shots vs Man United
Sasa hizo shots zilipigwaje kama pass wanapigiana mabeki?
Tatizo ni moja tu. Forward zetu hazipo clinical. Na hili litasolviwa with time hakuna haja ya wholesale changes
Mmmhh ndo kusema akili zimewatoka kiasi hiki, hivi Chelsea ni ya kufananisha na Man City kweli? Potezeni na game ijayo au mpate draw muone kama ubingwa mtauchukua kama city.Msimu uliopota man City hakupigwa 5 na Leicester ?? Vile man City alianza vibaya mkasema hawezi beba kombe mbona alikuja kulibeba?
Mmepanuka wapi? Nyuma au mbele?Tunakikosi kipana