Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mmmhh ndo kusema akili zimewatoka kiasi hiki, hivi Chelsea ni ya kufananisha na Man City kweli? Potezeni na game ijayo au mpate draw muone kama ubingwa mtauchukua kama city.
Kuifananisha kwenye nini?
 
Hoja za kipuuzi.

Wakiona upuuzi wao hauna maana tena wanakimbilia hoja ya

'Tumeshinda CL'

Ngedere wakubwa.
 
Anakuja tapeli anakuambia tunajenga timu itakayoogopwa dunia nzima, wiki mbili hazijaisha tangu akuambie hivyo unapigwa tano na timu inayoshuka daraja.

Hata haujiulizi kwakua hauna akili hiyo. Wewe ni mjinga. Kwa ujinga huo huo unabeba hoja hiyo hiyo kuja kutuambia watu eti 'Amesema tutakua tunaogopwa dunia nzima'

Pumbavu mkubwa
 
Nyie matakataka mna raha gani ya kulala mpaka muda huu na kitimu chenu cha mchongo hiki, tena mnakoroma kabisa[emoji35]
Nyau nyie......
 
Wenye akili huko Duniani wana muonea huruma tuchel kutokana na kuwa na idadi kubwa ya wagonjwa,halafu kuna mlevi anakuambia tuchel ameishiwa mbinu
 
Wenye akili huko Duniani wanaiona chelsea kama team iliyokumbwa na wagonjwa,wewe unaiona kama imeishiwa mbinu,Anyway hata uwezo wako ndivyo ulivyo
 
Mambo yote yatasahaulika lakini sio maneno aisee "NDOMAANA WAHENGA WANAKWAMBIA CHUNGA KAULI ULIMI ULIPONZA KICHWA".....sasa hayo maneno ya Tuchel kutengeneza timu ya kuogopwa na hakuna timu itakayotaka kucheza nao YALISIKIKA NA WATU WAKAYAHIFADHI...na kama unaweza kutengeneza timu ya aina iyo inabidi abebe ubingwa maana hatakiwi kupoteza game....YEYE ALIYAONGEA AKIMFURAHISHA MWAJIRI WAKE BWANA. ROMAN bila kujua ile ni EPL Na ina makocha wanaprofile kubwa zaidi yake kina Klopp na Pep na hawavimbi...maana kimafanikio ya titles Huyo TUCHEL HAINGII ATA ROBO YA PEP-GUARDIOLA(maana jamaa yupo kwenye top 5-list ya makocha bora wa muda wote Duniani), sasa ngoja wakose huo ubingwa wa EPL ili tumuulize mbona timu yenyewe hatujaiona bwana Tuche...Na hiyo kauli itawarudia x1000times.


Haya watuambie HUYO MZEE WAKUJENGA TIMU YA KUOGOPWA...Yupo wapi hapo???....NA KAMA HAYUPO WASEME JE ANAFIKIA ATA ROBO YA HIZO ACHIEVEMENTS NA KAMA HAFIKII...WATUAMBIE KAMA PEP AMESHINDWA KUTENGENEZA HIYO TEAM ALIYOISEMA YEYE, JE HUO UVIMBE WAKUSEMA HIVYO TUCHEL AMEUTOLEA WAPI?



 
Hoja za kipuuzi.

Wakiona upuuzi wao hauna maana tena wanakimbilia hoja ya

'Tumeshinda CL'

Ngedere wakubwa.
We si ushinde UCL upate hoja ya kuongea.

Au unahisi kushinda UCL ni rahisi?

Si ushinde basi na wewe.

Pa kuiweka kwanza unapo?
 
Oyaaaa umepewa talaka nini leo?

Mbona kana unaleta humu hasira za mume wako?

Yes tulipigwa tano kilichofuata je?

Wewe si tumekutoboa mbili bila msimu huu mbona heshima imeshuka?

Umeanza kuwashwa eh?
 
Acha ufala Kenge wewe. Yes alitengeneza timu inayotisha ndio maana akabeba UCL.

Au ulikuwa hujazaliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…