Wivu mbele kwa mbele, katupa UCL kombe lenye heshima duniani. Sasa hivi mtaani ukijulikana Chelsea unaheshimika sio kama Arsenal na Manure, wala majani nyieHio quickly as possible ni miaka mingapi?
Tuchel ni kifupi, kirefu chake ni Tuchelewe.
Hapa ni mwendo wa draw mpaka Tuchelewe.
Naona wazee wa kikosi kipana sasa hivi mmekua wazee wa utumbo mpaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyie fanyeni maskhara hivyo hivyo muone kama mtabaki kwenye top 4.Wivu mbele kwa mbele, katupa UCL kombe lenye heshima duniani. Sasa hivi mtaani ukijulikana Chelsea unaheshimika sio kama Arsenal na Manure, wala majani nyie
Small IQ inapojaribu kujadili vitu vizito wapi alisema "ametengeneza" future na present tense kwako ni rocket science then unakimbilia kubeti unakuja humu unapayukaHahaha!...yaweza kuwa ni tapeli kweli maana huwezi kuwa unapoteza games alafu unasema eti ummeunda timu inayoogopwa na hakuna timu inayotaka kucheza nao, ukishakuwa unapoteza mchezo/michezo huwezi kuwa unaogopwa tena.
Sisi tunatoa dozi tu sasa hivi....Man city na Wolves wanakusubiri maana umekuwa na mdomo kama Chuchunge
Mi mwenyewe nilikuwa namtafuta angalau mmoja nimwambe makofi takataka hiziKama kuna kinabo yoyote wa cheltako yupo karibu na Msata ajitokeze akiwa kavaa hilo tambara aone nitakachomfanya.
Sawa... Huwa mnakuwa wapole Sana mkisokomezwaSisi tunatoa dozi tu sasa hivi....
ENJOY THE PROCESS
Hawa mbuzi ni bure kabisaMi mwenyewe nilikuwa namtafuta angalau mmoja nimwambe makofi takataka hizi
kama ndivyo sawa mkuu na kwasababu hiyo basi INABIDI AVUMILIWE KWELI MAANA ATA YEYE KUMBE ALIDAI CHANGAMOTO NI MUDA...NA MUWE TAYARI KWA LOLOTE LITAKALOTOKEA MSIMU HUU au MSIMU KESHO MAANA IYO TEAM YAKE ANAYOITAKA HAJAITENGENEZA BADO, nasio kupiga kelele za title inapotokea mmepoteza game!Mbona phase two ya sentence hamsemi?
TT kasema Tutajenga timu ambayo hakuna timu itakayotaka kupambana nayo
Changamoto kubwa ni jinsi ya kufanya hivyo kwa mapema iwezekanavyo
"We will build a team that nobody wants to play against. And that's the challenge for me to do that as quickly as possible.".
Dalili za hiyo timu kwanza ilibeba UEFA kwa kuzichachafya timu zilizpigiwa upatu wa kubeba hilo kombe
[emoji23]dah una jazba sana mkuu.Kama kuna kinabo yoyote wa cheltako yupo karibu na Msata ajitokeze akiwa kavaa hilo tambara aone nitakachomfanya.
Sawa ndugu yawezekana NI KWELI IQ-YANGU NDOGO ILA HAIJAFIKIA LEVEL YA KUNIPA MENTAL RETARDATION kama uliyonayo wewe!Small IQ inapojaribu kujadili vitu vizito wapi alisema "ametengeneza" future na present tense kwako ni rocket science then unakimbilia kubeti unakuja humu unapayuka
Ndio mkuuChalobah na zyche nao ni majeruhi?
Aah hii Chelsea ya sasa haifanani na ya Lampard Mzee[emoji1787][emoji1787] embu tutake radhiShida ya Chelsea ya Lampard ilikuwa ni kushindwa kufunga na kuconcede magoli ya kizembe
Kinachotokea sasa ni ile ile, umaliziaji mbovu na kukoncede magoli ya kizembe, No deference ndg
Chelsea ya Lampard ilikuwa inagombea nafasi ya nne na inapata mechi za mwisho
Hii tuliyonayo nayo inaelekea hivyo hivyo, kugombea nafasi ya nne na Westham, Spurs na Wolves subiri tuone
Utakuwa n mwendawazimu kumlaumu Tuchel Kwa nyakati hiziHii probably ishalala. Haina shida.
So far I dont have a problem with Tuchel.
Duh kwahyo wolves waliingia na wachezaji zaidiMkuu nilichokiona kwa sasa epl hapo watu wameshawajulia ni mwendo wa 6-3-2. Kupata ushindi kwa sasa ni ngumu sana na hamna watu wakufunga wazuri.
Wolves wamekaa nyuma muda wote,ilikuwa inatakiwa mipira mirefu kabla hawajarudi.
Mkiwa na mpira wolves beki wanakuwa 6 mbele wanaongezeka 3 halafu 2 wanakuwa mbele tu hapo wanatembea.
Hapo kufunga goli ngumu watu 9 nyuma unafungaje?
TT ABADILIKE EPL Watu wanaakili timamu sio ligi ya timu moja.
Mimi sijashangaa hayo matokeo.
Hata me nimeshangaa aiseee....Aah hii Chelsea ya sasa haifanani na ya Lampard Mzee[emoji1787][emoji1787] embu tutake radhi