Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hawa wote ukimtoa guardiola wamesgapitwa na wakati kwa sasa
 
Kesho kuna uwezekano wa baadhi ya kikosi chetu kikiwa na wachezaj wa u23 hii ni kutokana na covid na majeruhi tuliyonayo sasa
 
Kesho kuna uwezekano wa baadhi ya kikosi chetu kikiwa na wachezaj wa u23 hii ni kutokana na covid na majeruhi tuliyonayo sasa
Muyamba ndani,
Ruben Loftus-Cheek, Romelu Lukaku, Timo Werner and Callum Hudson-Odoi are all ruled out having tested positive for the virus.

Kante hatacheza
Christensen na Chalobah injury
 
Chelsea still ni best team kwa sasa.
Matokeo ya kipindi hiki ni mpito tu lakini tunafanya vingi katika match tunachokosa na clinical finishing.

Mashabiki wa man u na arsenal ndo wanabwabwaja kuhusu matokeo yetu lakini cha kushangaza tuko juu yao kwenye table msimu huu tumefungwa match 3 tu tena na timu ngumu ambazo ni City, Juve na west ham ambaye kwa msimu kawafunga top 6 karibia wote.

Shabiki ambaye anaruhusiwa kutucheka labda wa man city.

Mdomo uko kwa mashabiki wa man u ambao mziki wanauelewa kwenye match dhidi yetu walipata tabu ile draw wanamshukuru tu Mungu.
MAN U wanafurahi sana draw tunazopata kipindi hiki wakati wao wana miaka zaidi ya minne hawana hata kikombe cha chai.

CHELSEA MSIMU HUU TUNAWANIA VIKOMBE VINGI KULIKO TIMU YOYOTE ULAYA.
HIYO FEBRUARI tunaanzia nusu final club world cup hapo middle East.
EFL bado tupo.
FA bado tupo.
Ligi kuu bado tupo.
UEFA bado tupo.

Msimu huu tayari tuna kikombe kimoja kikubwa sana
UEFA SUPERCUP 2021.

NA TUWAKUMBUSHE TU CHELSEA NDO BINGWA MTETEZI WA LIGI YA MABINGWA ULAYA.

CHELSEA HOME OF CHAMPION
 
Arsenal kaifunga Westham 2 - 0
 
Man U ndio amefungua geti lenu la draw, sasa hivi kenge wa darajani ni mwendo wa kudraw mpaka mtoke kwenye top 4.
 
Wazee wa kikosi kipana, siku hizi wamekua wazee wa utumbo mpana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…