Hivi westham wana uwanja?Wewe mbuzi tutolee kelele apa hamna timu nyie matakataka itabidi tufanye utaratibu uondoke kabisa humu.
Mbuziiiii pigaaaa iyoooo..
Halafu uyu Ugumu wangu ni tapeli kweli kuwa naye makini.
Heheheee!Na 2003 ndiyo mwaka chelsea inaanzishwa.
Coincidence?
Siyo kweliHeheheee!
Na sisi tuliokuwa Chelsea pre-2003 tunahamia wapi?
Hivi tukipanga makundi timu zenye uropean cups kundi lake na ambazo hazina kundi lake, we utakaa kundi gani?Timu la kifala Sana .....
Hakuna timu la kiboya kama Chelsea ,zero brain kabisa
Kante katoka majeruhi anaanzia pale alipoishia kwa ubora wake, james na Kante waliifanya Chelsea iwe agressive kule mbele, wasingeingia hao, academy pamoja na kucheza vizuri waliishiwa mbinu ya kulenga golini.[emoji117] Hongereni THE BLUES kwa ushindi wa jana, vijana wa academy wamecheza vizuri sana.
[emoji117] Nusu fainali tunaenda kukutana na CONTE baba wa mfumo wa 3-4-3.
[emoji117] Urejeo wa KANTE & KOVACIC uwanjani, kikosi chetu kitarudi kwenye ubora wake.
[emoji117] Nadhani TT abadili style ya uchezaji wa mfumo wa sasa 3-4-3, tuhame kwenye style ya kushambualia kwenye space ndogo ndogo, twende kwenye kushambulia kwa counter attacks.
Tunao wachezaji wa counter attacks wenye kasi na nguvu Werner, Lukaku, Ziyech, Mount, Pulisic
Kwa ushambualiaji wa sasa wa slow motion kwenye space ndogo ndogo kuna pelekea wapizani wetu kupaki basi na kujazana lundo kwenye lango la mpinzani hapo uhaba wa kupata magoli utazidi kutusumbua.
Juzi nimeangalia mechi ya Liver na Tote, zile counter attacks za tote pale mbele ukimweka Lukaku atafunga magoli mengi sana. Ndio style anayopenda kushambulia, nguvu na kasi kwenye space kubwa.
Mkuu hapo mkwenye counter za conte umenena, TT anachokosa ni hiyo hasa kwa Lukaku[emoji117] Hongereni THE BLUES kwa ushindi wa jana, vijana wa academy wamecheza vizuri sana.
[emoji117] Nusu fainali tunaenda kukutana na CONTE baba wa mfumo wa 3-4-3.
[emoji117] Urejeo wa KANTE & KOVACIC uwanjani, kikosi chetu kitarudi kwenye ubora wake.
[emoji117] Nadhani TT abadili style ya uchezaji wa mfumo wa sasa 3-4-3, tuhame kwenye style ya kushambualia kwenye space ndogo ndogo, twende kwenye kushambulia kwa counter attacks.
Tunao wachezaji wa counter attacks wenye kasi na nguvu Werner, Lukaku, Ziyech, Mount, Pulisic
Kwa ushambualiaji wa sasa wa slow motion kwenye space ndogo ndogo kuna pelekea wapizani wetu kupaki basi na kujazana lundo kwenye lango la mpinzani hapo uhaba wa kupata magoli utazidi kutusumbua.
Juzi nimeangalia mechi ya Liver na Tote, zile counter attacks za tote pale mbele ukimweka Lukaku atafunga magoli mengi sana. Ndio style anayopenda kushambulia, nguvu na kasi kwenye space kubwa.
Kipi ambacho sio kweli?Siyo kweli
Hakuna shabiki wa chelsea wa nje ya london kabla ya 2003. John Terry mwenyewe ndugu zake wote ni mashabiki wa WesthamKipi ambacho sio kweli?
Hiki ndio kikosi cha kwanza kunishawishi kuweka kambi Chelsea: Chelsea FC - Squad 1999/2000
Kwa hiyo unanipangia? Kipindi hicho JT was nobody! Tulikuwa na Marceily Desaily na Frank Leabouf pale kati.Hakuna shabiki wa chelsea wa nje ya london kabla ya 2003. John Terry mwenyewe ndugu zake wote ni mashabiki wa Westham
Sikupangii. Hiyo ni fact.Kwa hiyo unanipangia? Kipindi hicho JT was nobody! Tulikuwa na Marceily Desaily na Frank Leabouf pale kati.
Yes that was their choice. I have mine!Sikupangii. Hiyo ni fact.
JT nimemtaja kukuonyesha hata hao wakazi wa eneo ilipo timu ya Chelsea they fell in love na klabu zingine.
Option to who? It was a choice to me pre 2003 when their best position was below 4, was something like 6.Chelsea became an option kuanzia 2003
Chelsea, City, Bayern, PSG, Barcelona and sooner Newcastle are chosen because they winYes that was their choice. I have mine!
Option to who? It was a choice to me pre 2003 when their best position was below 4, was something like 6.
Get it, swallow it and get over it. Not everybody chooses a team because it wins!
Haya kalaghabaho! Naona una tatizo la kuelewa.Chelsea, City, Bayern, PSG, Barcelona and sooner Newcastle are chosen because they win
Watu walishabikia Newcastle wakati wa Shearer. Alipoenda zake na ushabiki ukafa.Haya kalaghabaho! Naona una tatizo la kuelewa.
Kama ningependa Winning team Manchester was supposed to be that tea, not Chelsea.
May be am talking to a robot, maana binadamu angeshaelewa. Au labda ni mtoto who cannot understand kwamba pre 2003 watu walikuwa na timu zao, na hazikuwa hizo winning! Kizazi cha BRN ni vigumu kuelewa hili.
BTW kuna jamaa zangu kadhaa die hard New castle Utd, nasubiri ikianza kufanya vizuri 2022+ useme hawakuwa wapenzi wa NCU
Hao walikuwa wanampenda Shearer. Ila hao mpaka leo ni NCUWatu walishabikia Newcastle wakati wa Shearer. Alipoenda zake na ushabiki ukafa.
Kwa hiyo na huyo NCU ikifikia ilipo CFC leo itabidi um forward sio?Mimi nina rafiki mmoja shabiki wa Newcastle.
Hao wapo, lakini sio sababu ya kulazimisha kila mtu awe wa hivyo! Wengine tulipenda aina ya mpira na uchezaji. Kipindi kile nadhani hata Leeds ya kina Smith ilikuwa better than Chelsea!Wewe usichoelewa nini? Post 2003 ndipo mashabiki wa chelsea wakatokea. Kila anayesema kaanza shabikia chelsea pre 2003 ukimcheki attitude yake when you lose it gives in kwamba actually they hopped on chelsea bandwagon because they are used to winning.\
Hao 'wapo' ndiyo wamejaa humu.Hao walikuwa wanampenda Shearer. Ila hao mpaka leo ni NCU
Kwa hiyo na huyo NCU ikifikia ilipo CFC leo itabidi um forward sio?
Hao wapo, lakini sio sababu ya kulazimisha kila mtu awe wa hivyo! Wengine tulipenda aina ya mpira na uchezaji. Kipindi kile nadhani hata Leeds ya kina Smith ilikuwa better than Chelsea!
Utakufa na pressureHao 'wapo' ndiyo wamejaa humu.
Kwa kadri ninavyojua chelsea haikai na kocha mmoja kwa muda mkubwa hivyo ni ngumu kuipenda chelsea kwa kigezo cha mpira unaochezwa kwakua kila kocha akija anaanzisha falsafa mpya.
Also chelsea haina identity yao ya kiuchezaji mfano Barca tunajua wanacheza tiki taka, united long balls ila chelsea kocha aliyepo ataamua sasa hivi tunaendaje ili tushinde.
Hata sijaandika matusi nashindwa elewa imekuaje umeanza na mguu huu. Mambo ya ukoo tena?Utakufa na pressure
Wewe hiyo identity utaijua wewe na ukoo wenu....
Kocha akija chelsea ajue tunahitaji vikombe..
Tutamlipa mshahara kwa ajili ya kazi ya kutupatia vikombe.
Tutampatia kila mchezaji kwa gharama yoyote ile ili atuletee vikombe FURAHA YETU NI VIKOMBE TU.
Hatuhitaji mbwembwe sisi....
CHELSEA NI TIMU YA KIBINGWA TU....
View attachment 2056109