Bora wewe umeliona hilo timu inapokuwa na wachezaji wazuri tegemea mpinzani wako akae dip sasa sijui wakati tunanunua huyo striker asiyeweza kuoperate kwenye tight space tulitegemea nini? Hakuna maumivu makali kama timu inafungwa na kushindwa kucontrol game hizo game plan za counter huwa ni msimu mmoja tu baada ya hapo watu wanaweka bus game over. Sasa tunakabia juu then striker ana zero skills za kupress tunasubiri maajabu gani hapoUnachezaje counter attacks wakati timu nyingi zikikutana na nyie zinacheza low block..... Hiyo nafasi kubwa kwa ajili ya Lukaku na Werner ku attack inatoka wapi. Pengine useme, TT awe na alternatives(including counter attacks).
Otherwise TT kaupiga mwingi mnoo, Yaani mna dominate(control) mechi vizuri kabisa tena with high energy and intensity,, sa ivi mnataka mambo ya kaunta[emoji28][emoji28][emoji119][emoji119]
Tuulize sisi tuliochoshwa na counter Uchwara za bwana Solskjaer
Ila kwa Lukaku mumepigwa[emoji28][emoji28][emoji28]
Juve walicheza hivyo ila baada ya HT tulibomoa na kuwafumua magoli,. intend ikiwepo na mentality ikiwepo defense yeyote inabomolewa na nafasi za hizo counter zinakuwepo siku zote. Football is science and anything is possibleUnachezaje counter attacks wakati timu nyingi zikikutana na nyie zinacheza low block..... Hiyo nafasi kubwa kwa ajili ya Lukaku na Werner ku attack inatoka wapi. Pengine useme, TT awe na alternatives(including counter attacks).
Otherwise TT kaupiga mwingi mnoo, Yaani mna dominate(control) mechi vizuri kabisa tena with high energy and intensity,, sa ivi mnataka mambo ya kaunta😅😅🙌🙌
Tuulize sisi tuliochoshwa na counter Uchwara za bwana Solskjaer
Ila kwa Lukaku mumepigwa😅😅😅
Mimi ndio mods Sasa ban unatoka wapiCheki hili mbanga limelimwa ban hahahaha.
ziyech na Christensen awatokuepo kwenye kikos cha leoVipi leo bado kuna majeruhi au ni full kikosi
na hii ndo sababu kubwa ya timu kutumia false 9 kwasababu uwez kumpress low block kwa kumtumia target man maana anakua marked na watu zaid ya wawili sasa atawezaje kupress wakat ball skills na ball control amnaBora wewe umeliona hilo timu inapokuwa na wachezaji wazuri tegemea mpinzani wako akae dip sasa sijui wakati tunanunua huyo striker asiyeweza kuoperate kwenye tight space tulitegemea nini? Hakuna maumivu makali kama timu inafungwa na kushindwa kucontrol game hizo game plan za counter huwa ni msimu mmoja tu baada ya hapo watu wanaweka bus game over. Sasa tunakabia juu then striker ana zero skills za kupress tunasubiri maajabu gani hapo
Dreaming is always free of charge!Merry christmass mkuu...mpaka mnamaliza january mtakuwa nafasi ya 4....man u tutakuwa juu yenu.
Sasa leo Aston villa ndio anaenda kuwamalizia kazi.Siku: Jumapili Desemba 26 2021 saa 2:30 usiku saa za Afrika Mashariki
Uwanja: Villa Park
Refa: Martin Atkinson
Kikosi cha mauaji leo
Mfumo ni 3-4-2-1
------------------------Lukaku--------------------------
Pulisic -----------------------------------------------------Mount
Alonso -----------Jorginho----------------- Kante --------------- James
Rudiger -----------------Silva -------------------- Chalobah
----------------------------Mendy-----------------------------
Sub zitakazotumika
Kovacic dk ya 60
Odoi dk ya 60
Kabisa mkuu..Aston villa hawana Uzi humu JF kwahyo tutakua hapa leo ndugu zetu [emoji4]
Sawa mamluki wote mnakaribishwaAston villa hawana Uzi humu JF kwahyo tutakua hapa leo ndugu zetu [emoji4]
Leo tutashinda hapahapa na dada zetu tukiwasupport shemeji zetu Aston Villa watuletee wajomba.Aston villa hawana Uzi humu JF kwahyo tutakua hapa leo ndugu zetu [emoji4]
Sio suala la kujichanganya, hao inajulikana kabisa kimataifa kua msimu ujao Europa inawahusu.Kila nikiangalia msimamo wa LIGI ya EPL kisha nikikumbuka kuwa hata mwezi mmoja haujaisha tangu mashabiki wa Chelsea wajinasibu kuwa kombe ni lao, nabaki kucheka tu mwenyewe [emoji23] kelele hamna kabisa sikuizi.
Sasa leo mkijichanganya kutoa sare au kufungwa na Aston Villa, mjue kabisa hata top four mtaitafuta kwa torch kama msimu uliopita maana Arsenal Tottenham & Man UTD wanakuja mdomdo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa leo Aston villa ndio anaenda kuwamalizia kazi.
Sare leo hamna, maana sasa mumuzoea sare, naona ndio kamekua kamchezo kenu.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kante si karudi lakini.Hii mechi tunafungwa