Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,219
- 27,059
Wewe sema wananunua mafanikio wakati wenzako uwekezajiMi sioni wapi Ibrahimovic kaongopa kuhusu chelsea kununua mafanikio.
Mpaka sasa imetumia 2.4B ikifuatiwa na City iliyotumia 2.3B.
Lukaku kuongea ukweli kwanini iwe dhambi?
Mimi kukubali ukweli wa Lukaku kwanini nionekane hater?
Au hujui maana ya hater?
Umemnukuu vibaya alisema ni rahisi kumsimamia Lukaku kuliko mbappe na neymar kwasababu unatakiwa lazima uwasimamie marafiki hadi ndugu zao wa neymar na mbappe hakuja team kama ulivyosema weweThom aliwahi sema ni rahisi kuisimamia chelsea kuliko PSG as PSG utatakiwa kusimamia mastar mpaka marafiki na ndugu zao nafikiri man management ya Thom siyo nzuri.
Makocha wengi wangemdrop Lukaku na kocha kama Ferguson anakutoa kwa mkopo Norwich.
Kumbe unajua kama ndiyo mko hivyo sasa kwanini nimpinge Ibra?Wewe sema wananunua mafanikio wakati wenzako uwekezaji
Kama tunanunua na nyie kanunueni uwezo si mnao klabu tajiri ina wachezaji wa pauni milioni 2-5 haahahaha
Its true alitamka ulichoandika isipokua context ni hiyo niliyoisemaUmemnukuu vibaya alisema ni rahisi kumsimamia Lukaku kuliko mbappe na neymar kwasababu unatakiwa lazima uwasimamie marafiki hadi ndugu zao wa neymar na mbappe hakuja team kama ulivyosema wewe
Umemaliza kila kitu mkuu usisahau pia ashley Cole hata kutaja tu jina la Arsenal kwa bahati mbaya haitaji japo ndio team iliyomlea lakini mapenzi yake yapo kwa ChelseafcIbrahimovic ni lijingajinga
Aliwahi sema Chelsea inanunua mafanikio kwa pesa still likaenda psg kufata pesa na likaenda marekani kwenye soka bovu kufata pesa
Sasa kama unakubaliana na maneno ya Ibrahimovic basi jichunguze mwenyewe kama.uko sawa
Lukaku alikuja chelsea coz inter wana matatizo ya uchumi waliuza wachezaji tegemeo wengi tu na hii ilimfanya conte aachane nao coz hakutaka hilo litokee
Chelsea plan zake zilikuwa kwa Halaand wala sio lukaku.halaand alikuwa ana thamani ya zaidi ga 150m negotiation hazikwenda vizuri na zaidi halaand mwenyewe haipendi ligi ya uingereza(kiazi ndezi)
Ndio tukaangukia hapo kwa hiko kiroba
Kisa kanunulia kwa pesa ndefu akaana kujiona mkubwa kuliko timu analeta kiburi na kuongea shits inashusha morale ya timu .
Tulikuwa kuwa na Torres alinunuliwa kwa rekodi ya mauzo kipindi kile lakini hakuwa mpiga domo
Torres wa Liverpool sio wa Chelsea maana Liverpool alikiwa mashine hasa
Ila hadi leo torres anaipenda Chelsea kweli kweli over Liverpool coz alkuwa na good moments ndani ya Chelsea japo kuwa hakufunga mara kwa mara na amshinda makombe ndani ya chelsea
Mcheki fabregas yule wa asernal dogo mmoja anapiga soka matata sana kuanzia iliyokuwa highbuy hadi emirates
Lakini fabregas anaipenda Chelsea kuliko hio aser8 iliyomtoa la masia hispania(mfatilie insta utaelewa[emoji2]) unajua kwanini!? .Chelsea imempa makombe imemuheshimisha kama mchezaji .
Nenda kamcheki girioud uone. Alipokuwa asernal alikuwa anagonga magoli daliy ila makombe ziiiiiii!!![emoji2]
Alipokuja Chelsea kashinda makombe .Giroud ana kumbukumbu nzuri za maisha ndani ya Chelsea haishi kuizunguzmia chelsea na ana washikaji kibao Chelsea .
Sasa lukaku hajifunzi analeta ujuaji wakati hana alama yoyote ndani ya klabu
Asepe zake
Ndo mpira umebadilika kama mmeshindwa na nyie kutumia fedha msiwabeze wengine....km unaona utachukua vikombe vikubwa na kina nketiah, lokonga na Ben mweupe Sawa [emoji23]Mi sioni wapi Ibrahimovic kaongopa kuhusu chelsea kununua mafanikio.
Mpaka sasa imetumia 2.4B ikifuatiwa na City iliyotumia 2.3B.
Lukaku kuongea ukweli kwanini iwe dhambi?
Mimi kukubali ukweli wa Lukaku kwanini nionekane hater?
Au hujui maana ya hater?
SawaNdo mpira umebadilika kama mmeshindwa na nyie kutumia fedha msiwabeze wengine....km unaona utachukua vikombe vikubwa na kina nketiah, lokonga na Ben mweupe Sawa [emoji23]
Hii haitafuta maneno ya Lukaku hapa sasa ndiyo boldness ya kocha inatakiwa. Bold statement zinawaonyesha na kuwajulisha wengine kwamba actions have consquences.
Nenda kanunue na nyie msije kulia lia hapa hela si mnazo au stan kroenke anawakamua[emoji2]Kumbe unajua kama ndiyo mko hivyo sasa kwanini nimpinge Ibra?
To hell with him“I've kissed the Chelsea badge, Everton badge, West Brom badge, Man United badge but none of them tasted like the Inter badge" View attachment 2067229
Yaani ninunue mchezaji akitoka hapo aniongelee matusi? Ujinga huo wanauweza chelsea tuNenda kanunue na nyie msije kulia lia hapa hela si mnazo au stan kroenke anawakamua[emoji2]
Wamepigwa tenaMan u wanaparurana hawamtaki kocha HA ha