Huyo dogo Hall anacheza vizuri sana kama vile mzoefu, nafikiri TT amemuona ili ampe muda mwingi zaidiDgo HALL ANACHEZA VZR SSN
Leo walicheza 3-4-2-1 na sio 4-2-2-2HALL ni box to box mid, primarily.
Lakini ameitendea haki LB
Babe hivi mechi mnazocheza na wanyonge nazo unanitambia?
No babeBabe hivi mechi mnazocheza na wanyonge nazo unanitambia?
😂😂😂😂😂No babe
Sio kukutambia
Point yangu ilikua moja tu, kuhakikisha na wewe umehidhuria hii tafrija fupi 🤣🤣
Hatujashinda tu...😂😂😂😂😂
Babe unaninyanyasa na Chelsea yako.
Haya sawa mmeshinda😂😂
Babe niache bwana😂😂😂😂Hatujashinda tu...
Ila tumeshinda ushindi mzito. Usipindishe maneno 😂😂
Sukuachi mpaka unyooshe maelezo 🤣🤣Babe niache bwana😂😂😂😂
Kwa timu gani mliyonayo babe?[emoji23]Sukuachi mpaka unyooshe maelezo [emoji1787][emoji1787]
Kuna kinda linaitwa HALLKwa timu gani mliyonayo babe?[emoji23]
Naam mkuuLeo walicheza 3-4-2-1 na sio 4-2-2-2
Sarr, Christensen na Hall wamecheza kama CB
Ziyech Wing-back wa kulia na Odoi Wing-back wa kushoto
Line up ilikuwa hivi
---------------------------Lukaku------------------------------
Werner --------------------------------------------------Pulisic
Odoi------------Kovacic ------------- Saul ---------Ziyech
Hall --------------------Christensen ------------------Sarr
----------------------------Bettinelli------------------------
Sawa bwana😂Kuna kinda linaitwa HALL
Ni hybrid ya in-form Henderson wa Klopp.
The next big thing in Europe
Fabrizio Sio MUngu Mkuu!Fabrizio anaongelea Arsenal tu, Chelsea imesinyaa sijui kwa nini
NileteeniSawa bwana😂
Umefuraaahi😂😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23]Fabrizio Sio MUngu Mkuu!