ndo ukwely uo maana tuna kikosi kikubwa ila injury za wanaume wawili zmetutoa kwenye njia inatakiwa ue na watu ambao wanaitafuta namba na so kuridhika kama wanavofanya wakina barkley ata waspocheza wanaona poa2Kwa kweli chief kwa sasa tunahitaji wachezaji wanaume kweli kweli mashine za kazi, la sivyo EPL tutaisikia kwa jirani.
Tuachane na wachezaji wa kupapasa mpira, urembo mbele kila saa kushika na kutengeneza nywele kichwani.
Auriel anacheza nafasi nyingi, sio CDM tu, pia anacheza atacking MF na Midfield za kawaida yaani CM etc, kama ambavyo hata Declan Rice anacheza CDM na Attackingatuwez leta CDM wawil akat atuna CAM mi naona apo kati ya rice au auriel atakuja mmoja kwasabab tayar una cova kante jorginho tatzo kubwa liko either kwenye winga tukipata mtu kama kounde, dest au cucurela tutajiweka kwenye position nzur
Mara nyingi tuna points nzuri lakini hao wakubwa wanasikilizaga maoni ya mashabiki?Kwa kweli chief kwa sasa tunahitaji wachezaji wanaume kweli kweli mashine za kazi, la sivyo EPL tutaisikia kwa jirani.
Tuachane na wachezaji wa kupapasa mpira, urembo mbele kila saa kushika na kutengeneza nywele kichwani.
Huko mbeleni hata sub au rotation za akina Reece na Chilwell zitahitajika kama main formation yetu itabaki kuwa 343ndo ukwely uo maana tuna kikosi kikubwa ila injury za wanaume wawili zmetutoa kwenye njia inatakiwa ue na watu ambao wanaitafuta namba na so kuridhika kama wanavofanya wakina barkley ata waspocheza wanaona poa2
Baada ya miaka miwili wewe ndio utakua wa kwanza kulalamika kwa nini Odoi aliuzwa[emoji117] Tulistahili kupokea ile ofa £85M ya Buyern Munich kwa ODOI. Tulipiga teke furushi la pesa
Wewe timu yako ina furaha?Timu limeshinda lakini halina furaha ,Wala dunia haijui tuko busy na valentine ....
Hupo sawa kabisa mzee sijawai kumuona odoi akikua zaidi kila siku naona utoto unazidi kwakeSidhani, ODOI katika maisha yake yote ya soka Mungu atakayomjalia hawezi kufikia kiwango cha mwingereza mwenzie Raheem Sterling achilia mbali kufikia kiwango cha Hazard.
Odoi anafaa kuwa SUB kwenye kikosi cha BLUES kitakachobeba next EPL
We are happy na Leo tupo ureno kutesa team uchwara kama Chelsea ambazo zimeingia CL kinyemela ..Wewe timu yako ina furaha?
Kama ndio
Je unatafuta nini humu ndani?
You are happy... Si ukashinde kwenye jukwaa lenu msheherekee na wenzio. Kutwa kushinda humu.We are happy na Leo tupo ureno kutesa team uchwara kama Chelsea ambazo zimeingia CL kinyemela ..
Ina maana kabakiza epl tu hapoView attachment 2120097in Tuchel We Trust..
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Simu yangu ,bando langu ,unanipangia jukwaa la kuingia ,wewe ni nan hasa qmmmakei[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]You are happy... Si ukashinde kwenye jukwaa lenu msheherekee na wenzio. Kutwa kushinda humu.
Acha kuteseka Kenge wewe.
Subiri kusokomezwa ukuni muda ukifikaSimu yangu ,bando langu ,unanipangia jukwaa la kuingia ,wewe ni nan hasa qmmmakei[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usitegemee kama kuna forward yeyote itakayosajiliwaTT yuko vizuri sana. Msimu ujao tunabeba EPL naamini kabisa dirisha kubwa kule mbele tutasajili mashine za kazi.
Wewe linakuuma nini. Si usherekee timu lako ?Timu limeshinda lakini halina furaha ,Wala dunia haijui tuko busy na valentine ....
Usajili wa ubishoo ndio iliyoiua Manure, mbaya sana hii. Asikilizwe kama alivyokuwa anasikilizwa MOUSasa the blues tunasajili kwa jinsi management inavyoona inafaa na sio matakwa ya kocha.
TT hakumtaka Lukaku ila ameletewa atafanyaje sasa?
Na bado ataletewa wengine na wengine na akishindwa kuwatumia kupata ubingwa atafukuzwa.
Ugomvi wa Conte na management ndio huo, Conte alitaka asikilizwe kwenye wachezaji anaotaka wasajiliwe ila management hawakutaka.
Bora hata babu sari alikuja na Joghnho wake kama moja ya sharti la kuwa kocha the blues