juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
Mkuu issue ya kutaifishwa tim sio issue ndogo, halaf Roman ameikopesha chelsea almost 2BLN unahisi ukitaka kutaifisha mali zake vipi huo mkopo wake?Na wewe kweli kweli unaamini watakuwa fooled!! Waingereza. Hata wabongo huwezi kuwafool kihivyo. Roman mwenyewe anajua. Hii case ni sensitive na tusiilinganishe na ushabiki wetu. Waingereza wako inch away kutaifisha mali za Abramovich ikiwemo Chelsea. Maombi yetu iangukie mikononi salama. Uingereza ni rafiki mkubwa wa Ukraine na adui mkubwa wa Urusi, isije kwua walikuwa wanaiosubiri tu hii siku waweze kujustfy utaifishaji wa mali za tycoons wa kirusi ili kuwapunguza nguvu. Vita bado vinaendelea, Urusi wameshaanza vita vya ardhini na wako wanaelekea mji mkuu wa Kyiv. Ukraine inashambuliwa kutokea kila upande. Putin mwenyewe katishia kutumia silaha za neacleaur kwa watakapinga uvamizi wake. Ukijumlisha yote hayo unadhani hasira ya Serikali ya Uingereza inapoa au inaongezeka, unadhani kuwa wanasiasa wataach kuongea au ndi wataishinikiza Serikali kuchukua hatua zaidi. Mimi binafsi simuoni Roman Abramovicha akiokoka kwa hili. Sipendi iwe hivyo ila huu ndio ukweli
Huu ni uchambuzi kwa kubase hali halisi, hii tusiichukulie kishabiki haitatusaidia kituLembu anabaki nyuma nyuma halafu anatupiga risasi za mgongo.
Wewe unaposema mimi mpingaji kwani hii inahitaji kupigiwa kura??Ww ni mpingaji
Naona wanaunyemelea umiliki wakati jamaa amewapa tu maamuzi na siyo umiliki waache uduanziChelsea Supporters’ Trust demand urgent clarification in response to Roman Abramovich statement
The Chelsea Supporters' Trust have called upon the club to make "urgent clarification" over how the club is set to run for the future.
It comes following Roman Abramovich's shock statement on Saturday evening.
Leo tunawatungua hawa KunguniCaoimhin Kelleher anadaka leo badala ya Alisson Becker
Hawa ni mashabiki tu,Naona wanaunyemelea umiliki wakati jamaa amewapa tu maamuzi na siyo umiliki waache uduanzi
Atakuwa shabiki wa Manchester au asernal huyoRoman Abramovich should not be allowed to own Chelsea, MP claims amid Russia-Ukraine escalation
Roman Abramovich should no longer be allowed to own Chelsea Football Club, a Labour MP has said in parliament amid fresh calls for additional sanctions to be placed on Russian businessmen with assets in the UK.
Speaking under parliamentary privilege after Russia president Vladimir Putin launched a full-scale attack on Ukraine, the MP for Rhondda Chris Bryant said that Abramovich should be “no longer able to own a football club in this country” after reading an excerpt of what he claimed was a leaked 2019 document from the Home Office.
Abramovich has always vehemently denied any suggestion that he has direct links to Putin, has been contacted for comment in relation to Mr Bryant’s allegation.
Reading directly from the document, Bryant said: "‘As part of HMG’s [Her Majesty’s Government’s] Russia strategy aimed at targeting illicit finance and malign activity, Abramovich remains of interest to HMG due to his links to the Russian state and his public association with corrupt activity and practices’.