Punguani ni wewe.....Peleka mbele Upunguani wako huko..!
Hatuishi kwa kukariri hapa mpira ni Sayansi..!
Kiukweli hata mwenyewe zile penati jinsi zilikuwa zinaenda nilishafika mahali nikasema basi hata tukipoteza poa tu...Livepunga bahati ilikua upande wao. Mpaka sasa hawa mafala hawajategemea walichokutana nacho. Kombe wamelibeba kibahat tu manina.
Yaani hii mechi haijaniuma kabisa kama vile hatujafungwa vile.
VVD aliinterfere play Kwa kumzuia Reece James asiucheze mpira WA cross Kwa kumkubatia in an Offside positionGoal la Joe matip nalo unalizungumziaje mkuu?
Hii tim yetu kwenye game za mtoano o fainal huwa tunacheza vizuriKiukweli hata mwenyewe zile penati jinsi zilikuwa zinaenda nilishafika mahali nikasema basi hata tukipoteza poa tu...
Jana timu imepambana sana.
Tunahitahi spirit kama ile.
Nimeanza kuwa hapa na hata kabla ya hapa nafuatilia Chelsea na timu zingine na naandika makala kabla yako, isipokuwa we Punguani umeanza wakati wa COVID-19Punguani ni wewe.....
Kuna michezo kadhaa kimeshafanyika hicho kitu na kimework.
Inaonekana ni match yako ya kwanza ya chelsea kuangalia.
Nyie mtaendelea kushabikia wavunaji mmekaa pembeni mafukara wakubwa nyieBora mmepoteza mnakelele sana nyie makima[emoji16][emoji16]
Goli la Matip ilikuwa wazi, VVD alimzuia James asiweze kumove na ndio maana lilikataliwaKwanini goli la Matip lilikataliwa?
VAR waliona aibu hata hawa kucheza marudio tena kwenye screen aibu aibu ile ilikua goli halali kabisa, sijui FA inasemaje kuhusu hilo goliGoli la Matip ilikuwa wazi, VVD alimzuia James asiweze kumove na ndio maana lilikataliwa
Wewe sasa tuambie la Lukaku lilikataliwa kwa basis zipi
Ukweli usiopingika ni kwamba Lukau alikuwa onside. mstari mwekundu wa beki wa Liver na mstari wa blue ni wa sehemu ya mkono wa Lukaku ambao kisheria unaruhusiwa kucheza mpiraVAR waliona aibu hata hawa kucheza marudio tena kwenye screen aibu aibu ile ilikua goli halali kabisa, sijui FA inasemaje kuhusu hilo goli
Hapo offside iko wapi au sie ndo hatuoni vzriUkweli usiopingika ni kwamba Lukau alikuwa onside. mstari mwekundu wa beki wa Liver na mstari wa blue ni wa sehemu ya mkono wa Lukaku ambao kisheria unaruhusiwa kucheza mpira
View attachment 2133761
Lembu ww una matatzo nakuambia hiv macho yako yako swa?Ukweli usiopingika ni kwamba Lukau alikuwa onside. mstari mwekundu wa beki wa Liver na mstari wa blue ni wa sehemu ya mkono wa Lukaku ambao kisheria unaruhusiwa kucheza mpira
View attachment 2133761
Wewe unayeongea sentensi nusu nusu ndie unaeleweka kweli hata sijui unapinga niniLembu ww una matatzo nakuambia hiv macho yako yako swa?
Ili Lukakju ahesabiwe yuko offside ilitakiwa mstari wa blu uwe mbele ya ile nyekunduUkweli usiopingika ni kwamba Lukau alikuwa onside. mstari mwekundu wa beki wa Liver na mstari wa blue ni wa sehemu ya mkono wa Lukaku ambao kisheria unaruhusiwa kucheza mpira
View attachment 2133761
Wale waliokuwa na wasiwas na havertz naona jana hawatokuja kusema tena issue za nguvuHONGERENI CHELSEA KWA MECHI BORA KABISA KUWAHI KUTOKEA
- Jana Chelsea walicheza vizuri sana, style ya uchezaji wa Chelsea kwa wasiojua ndio hiyo ya jana
- Kwetu kipa alituokoa, kwa wao Liver washambuliaji wetu ndio waliowaokoa Liver
- Alonso jana alicheza kwa kukaribia uchezaji wa Chilwell alipokuwa kwenye form, alikuwa sharp kwenye kukaba na mbele alikuwa anapeleka mashambulizi vizuri
- Washambuliaji wetu (Havertz, Mount, Pulisic na baadaye Werner na Lukaku) walikuwa na shauku ya kufunga na walijiposition vizuri except hawakuwa clinical enough kwenye kufunga
- Lukaku jana alipoingia alikuwa mobile na ilisaidia mbele kuendelea kuwa threat kwa liverpool
- Chance tulizocreate jana zilikwua nyingi na quality tofauti na za Liver
- Difence yetu iko kwenye ubora wake kama mwaka jana tulipobeba UEFA
- Timu imerudi kwenye ubora wake kama tulivyoanza ligi mechi 10 za mwanzo na kwa ubora huu uhakika wa kubakia kwenye no. 3 upo kwa asilimia 80
- Huko nyuma tulipokuwa tunalalamika na wengine kuanza kutushambulia kuwa sisi ni mamluki tulikuwa tunakosa vionjo kama hivi vya jana
- Mimi binafsi furaha yangu ya jana iko 90%, huzuni ya 10% ni kwa sababu tumepoteza kikombe cha mbuzi kile kwa Liver