Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hizinpart zimenigusa sana.

I will not be asking for any loans to be repaid. This has never been about business nor money for me, but about pure passion for the game and Club.

Roman aliichukulia hii tim kama ni mtoto wake vile,

Ni ngumu sana kupata mtu kama Roman
 
Ulikuwa mbishi sana umeamini Sasa?
Sikuwq mbishi, kama nilivyokwambia chelsea kupigwa sanction ilikuwa ngumu.

Kingine hata stewardship n care still chelssa foundation hawakuagree, hapo akawa hana option if chelsea foundation wange agree stewardship n care sidhan kama angefikia maamuzi ya kuiuza
 
Huyy age ishaenda 80, naona anataka aungane na wengine ili wainunue

Tusije kujikita kama man utd na glazer family maamuzi ya tim mpk kikao kikae

Kweli kabisa ni mzee sana ila hakuwa anataka yeye bali wamemuomba kama anataka
Hawa wanamshinikiza Jamaa auze kwa vikwazo wanavyomuwekea Putin na washirika wake wote

Kununua team [emoji636] ni masharti mengi sana
 
Huyu Saul mbona kafunga goli zuri sana? Ni mchezaji wa chelsea huyu kweli?
 
Doh halafu kuna punguani hua ananiquote na takwimu zake za uchochoroni
 
Maneno mengi ya nini, anaondoka haondoki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…