John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,042
Labour part ndio wanaongangania, ila inaweza chukua mieziJe Boris Johnson na washirika wake wataruhusu hadi muda huo kabla hawajampiga bao Roman?
Tod Boehly ndie atakaekuwa mwendeshaji ila huyi kibabu wyss yuko pale kwa ajili ya faida tu hana lolotekuna mmoja pia bwanyenye kutoka uturuki inaonekana likely ndo atainunua Chelsea ....mi binafsi naona Bora huyu Kwanza networth yake NI kubwa kuliko hao kina Todd n wyss Afu pia ... inasemekana wyss sio mpenzi WA mpira Sana ....tuone itakavyokuwa Ila Kwa tetesi inaonekana ana percent kubwa kufinalise deal
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Nasikia kuna mturuki anamalizia dili nafuu mturuki aiseeTod Boehly ndie atakaekuwa mwendeshaji ila huyi kibabu wyss yuko pale kwa ajili ya faida tu hana lolote
Hii karma waingereza itajawageukia mungu atalipa hapa hapa dunianLabour part ndio wanaongangania, ila inaweza chukua miezi
Hii ni jana taarufa ilikuwa inasema hivi
It could take months of legal work before the the U.K. is ready to even consider sanctioning Roman Abramovich and some other wealthy Russians, because government lawyers have still to lay the foundations of a watertight case against them, a person familiar with the matter said.
Kuna tajiri wa uturuki nasikia ananafasi kubwaChelsea ready to reject politically sensitive bids which is a boost to Boehly-led offer.
Source-Telegraph
Naona Boehly-Wissy consortium wnasafishiwa njiwa
Ngoja tuone hali itakavyokuwaKuna tajiri wa uturuki nasikia ananafasi kubwa
Naona china wamekataa kuonyesha game za wikiend hii.Siasa inaenda kuua soka la england
Basically wachina na warussia ..hapo mturuki naye yumo kwenye race na wamecomfirmChelsea ready to reject politically sensitive bids which is a boost to Boehly-led offer.
Source-Telegraph
Naona Boehly-Wissy consortium wnasafishiwa njiwa
China n Saudi hapoBasically wachina na warussia ..hapo mturuki naye yumo kwenye race na wamecomfirm
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Na itaua kwa sababu watakavyomfanya Abramovich itawaogopesha na hao Waarabu piaSiasa inaenda kuua soka la england
FA wajue kwamba 75%ya mashabiki wa Epl ni kutoka third world countries sio ulaya au America, ndo hao hao mashabiki wameipa Epl hadhi na pesa za rights za TV, ulaya na Amerika wana league zao nzuri pia, FA wakicheza vibaya siasa kwenye hi Issue Epl ina shuka vibaya, tena kumbuka timu zao nyingi zina milikiwa na wageni waziuza na kutafuta masirahi yako wapi tena kuwekeza.Na itaua kwa sababu watakavyomfanya Abramovich itawaogopesha na hao Waarabu pia
Umesikia kauli ya Roman Abramovic ungeisikia nadhani mashabiki wote wa Chelsea tungemuunga mkono Tajiri yoyote atakaye chaguliwa na Roman kuwa mmiliki mpya wa ChelseaIna maana wale Waarabu wanao miliki visima vya mafuta hawaitaki timu yetu.!?
Hivi umemsiki kauli aliyotoa Abramovic? Abramovic kasema hivi atamchagua Tajiri ambaye anamipango mizuri ya kuifanya Chelsea iwe shindani kwa kufanya vizuri michuano ya ulaya pamoja na ligi kiujumla me nashangaa mnavyokuwa na wasiwasiWyss anamchukia Roma na Putin, hana mapenzi na mpira, uamuzi wake wa kununua Chelsea umekuja kama suprise lengo lake kuu ikiwa ni kumuondoa Abramovich darajani. Hivyo tutegemee akiinunua Chelsea inaweza kuzorota na kuwa kama akina Crystal Palace
According to Reuters- mmiliki ajae hatotoka saudi or china kwa sababu za kisiasaIna maana wale Waarabu wanao miliki visima vya mafuta hawaitaki timu yetu.!?