Tatizo ambayo Chelsea inapitia timu zote zinapitia hasa zile zilzionunuliwa na matajiri kutoka mrengo wa kushoto na sisa za kimagharibiChelsea is now owned by Boris Johnson[emoji23][emoji1787][emoji28]. Kwisha Habari yenu rent boyz
Yaani umesema kweli tupu, na amshabiki wa timu zingine waliangalie hili kisomi zaidi, jambo wanalofanya Uingereza inaweza ikaikumba Liver pia, Simba akishakula nyama ya mtu haachi kula na siku nyingine. Pesa za kudhulumu mbaya sana. Hao waarabu sasa nao zamu yao, next utasikia Man city inauzwa, Newcastle wataiuza. Timu zote za EPL zimilikiwe na waingereza na mashoga wao MarekaniMimi Liverpool lakini nimepitia hapa kutoa pole na hasira juu ya hawa wanasioasa kutuingiza ligi yetu katika mambo yaliyowashinda kama kweli wanauchungu wangeingia vitani sio kudhulumu mali za watu kuturejesha miaka ya wa comunist kutaifisha mali za watu na wao ndio kwanza walikuwa mbele kupinga. Waingereza ni wanafiki wa kiwango cha lami fitna dunia nzima mbwa hawa. Mambo ya siasa ya nini kutuletea kwenye starehe zetu. Kwani alinunua chelsea jana? miaka 19 hawakujiuliza pesa katoa wapi. washenzi wakubwa hawa. Poleni wana Chelsea na hili litapita tu. Mpenzi wa EPL na Liverpool
Mimi naamini baada ya haya Chelsea itakuwa imara zaidi na hao wachonga midomo kaya wataziba mabakuli yaoEeeh Mungu kwanini umeruhusu haya yatokee?
Dah taarifa mbaya sana kwetu.
Timu itapitia kwenye kipindi kigumu sana.
Kuna watu akili zao zimefubaa, wanasahau kila siku watu wanazaliwa na kila siku mtu anapata interest juu ya kitu fulan kwa sababu moja au nyingine.mashabiki wa liverpool wao ndo wanaona ndo mashabiki halisi wa mpira kila mtu lazima awe liverpool au arsenal na unakuta mtu msomi kabisa anashindwa kufikiria kuna watu wamezaliwa 90 s kuendelea wamekuja kupenda mpira chelsea ikiwa inafanya vizuri
yapobut vitu kama hivi huharibu ata performance ya timuKUNA MAISHA BAADA YA ABRAMOVICH ERA
yani hapa tutakomaaa timu itayunba tWATAWAUA AISEEE
Chelsea sponsors Three TERMINATE £120m shirt deal just hours before Norwich clash forcing urgent kit change
Na mtaongea viingereza mno [emoji2]Shabiki mmoja wa Chelsea kutoka Jersey UK anasema
"Whatever happens, if you’re a Chelsea fan, you’ll stick with them thick and thin," said Simon from Jersey.
"There are other [oligarchs] out there just as bad as him, if not worse. He’s just a nice guy for me, he’s done such a great deal for the club."