juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
Mmiliki mwingine akipatikana wadhamin watakuja tu.Ni ngumu sana business yoyote kuingia deal na hii Club, nyie sahivi ni kutegemea ruzuku ya Serikali kama Tasaf.
Ishakuwa Timu ya serikali hiyo babu, subiri upewe ruzuku ya usajili. Matatizo ya kumilikiwa na individual owner, ingekuwa Group yasingewakuta leo, na mbaya zaidi owner ni mafia so lilikuwa suala la muda.Mmiliki mwingine akipatikana wadhamin watakuja tu.
We unajiondoa mwenzako anaingia
Shida siyo Trivago kuwa main sponsor...je hela ya kuwekwa hapo kifuani wanayo.... Wale three UK wanaweka mezani £40ml kwa mwaka...Aiseeee next time Trivago awe Main sponsor hivi ni mimi tu peke yangu ndio huws naziona zile kit za mazoezi zenye nembo ya Trivago kama ni kali sana?
View attachment 2147525
Kwani NIKE wameamuaje?Hawa Three wasirudi tena
Nimependa Nike n Trivago walivyofanya
Anaendelea kuwa mdhamini mpaka mkataba utakapoisha
Trivago ni taasisi ya online business, sio kama wana pesa kivile kiasi cha kuwa main sponsor, ni broker wa kuuza safari, mahoteli na products zingine za internet kama tupatane.comAiseeee next time Trivago awe Main sponsor hivi ni mimi tu peke yangu ndio huws naziona zile kit za mazoezi zenye nembo ya Trivago kama ni kali sana?
View attachment 2147525
Tena waondoke wajinga kama three ili waelewa waingie kaziniMmiliki mwingine akipatikana wadhamin watakuja tu.
We unajiondoa mwenzako anaingia
Hakuna ruzuku ya usajili, kama kila kitu kikienda sawa, tunamaliza msim tukiwa na mmiliki mpyaIshakuwa Timu ya serikali hiyo babu, subiri upewe ruzuku ya usajili. Matatizo ya kumilikiwa na individual owner, ingekuwa Group yasingewakuta leo, na mbaya zaidi owner ni mafia so lilikuwa suala la muda.
Wanaendelea
Ndivyo ulivyoambiwa na mme wako???Hatuna pesa za kupanda ndege kwenda lille. Kwahiyo tutatembea kwa miguu toka London mpaka France kwanza ni pafupi sana kama kutoka Makongo mpaka Ubungo
Hapo ndipo penye wasiwasi. wanaweza wakatuletea boghast wa kusubiri mshiko tu hata kama ni mdogo kama wa NorwichCha muhimu kwa sasa, serikali ya UK iuze timu haraka, tupate mmiliki mpya watuondolee hivyo vikwazo.
Swali ambalo najiuliza kwa kuwa serikali imechukua jukumu la kuuza timu je wanatumia vigezo gani kumchagua mtu sahihi wa kumuuzia?
Au wanaiuza shangalabangala ili mradi iuzwe?
Kapambaneni huko Kwanza kumuongezea mshahara salahHatuna pesa za kupanda ndege kwenda lille. Kwahiyo tutatembea kwa miguu toka London mpaka France kwanza ni pafupi sana kama kutoka Makongo mpaka Ubungo