Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,747
Mkuu hatujakataa. Sisi ni Underdog.
Tuna UEFA Cup 2
Tuna UEFA Super Cup 1
Tuna Club World Cup 1.
Man City anazo ngapi?. Badala ya kutumia nguvu nyingi kukaza vuvu hapa kwa next level bor ukomae upate walau kombe moja hapo juu.
Wewe level zako ni kina QPR, Sheffield United, Bournemouth n.k
Timu iliyo hawi kutetea ubingwa wa UCL ni El Blanco's tu.Chelsea timu inayoongoza kwa kutesa watu na bado kombe tunalitaka
Lille alikukosa kosa,kilicho kubeba ni uzoefu tu wa kwenye mashindano.Lakini mlikuwa mlisha poteana kitambo.Mwambie Muheshimiwa Jaji kwanini tusipewe wewe kibonde wetu Liverkuku kwa hatua inayofuata?
Soma vizurii nilichoandikaDraw imechezwa lini?, nijuavyo mimi draw ya robo itafanyika siku ya ijumaa tar 18 March 2022
Niambie kwanini nisipewe kuku mwenye mdondo nimnywe supu?Lille alikukosa kosa,kilicho kubeba ni uzoefu tu wa kwenye mashindano.Lakini mlikuwa mlisha poteana kitambo.
Mgaga wa kienyeji unaendeleaje unataka chelsea iwe na mizuka ya kupeleka wapi?,na shamra shamra za nini wakati sisi hatuchezi vigodoro kama man city ,kiufupi chelsea team ya kiume sana .Pamoja na yote odds zinaonesha wewe ni underdog kwenye huu msafara...hata sijui kwanini mzee hata Mimi nashangaa pamoja na mafanikio yenu yote Bado nyie mnaonekana team ya ki local tu 😅😅😅😅....! Hamna nyota hata mchukue kombe la dunia mzee yaani team lenu ni majanga ,no mizuka ,no vibe ,no shamra shamra ,....!
Kwani yeye ndiyo bingwa mteteziTimu iliyo hawi kutetea ubingwa wa UCL ni El Blanco's tu.
Yaan mihater mingine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..Mbona mnateseka sanaLille alikukosa kosa,kilicho kubeba ni uzoefu tu wa kwenye mashindano.Lakini mlikuwa mlisha poteana kitambo.
Hatimaye umekiri mwenyewe kwamba Chelsea ni wazoefu...Lille alikukosa kosa,kilicho kubeba ni uzoefu tu wa kwenye mashindano.Lakini mlikuwa mlisha poteana kitambo.
Kuwa na akili basi pep analalamika mnauwanja mkubwa ila hamna mashabiki, mashabiki wanaojaza uwanja wenu ni watimu pinzani, huku Tanzania mashabiki wa man city hamzidi 6 , unaisemea mechi ya jana haina mzuka sasa unataka mzuka hupi wakati Chelsea alikua ameshafuzu sisi tulicheza kukamilisha ratibaKatika timu ambazo sifuatilii na sijui uwepo wake ni Chelsea yaani sijui hata kwanini...!timu Haina mizuka kabisa yaani Jana kibanda umiza chore kinaangalia game ya arsenal vs liverpool .....!
Harafu nikija huku jf nakuta watu wanapiga kelele et Chelsea sijui daaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mgaga wa kienyeji unaendeleaje unataka chelsea iwe na mizuka ya kupeleka wapi?,na shamra shamra za nini wakati sisi hatuchezi vigodoro kama man city ,kiufupi chelsea team ya kiume sana .
Yes! Compare na uliye kuwa ukicheza naye.Hatimaye umekiri mwenyewe kwamba Chelsea ni wazoefu...
Joto lilizidi kupanda baada ya penat ya Burak.Basi tu Lille hakuwa na bahati.Yaan mihater mingine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..Mbona mnateseka sana
Nilikuwa nashangaa mbona Chelsea bado wanatumia logo ya Three kumbe leseni inazuia isiondolewe kwenye physical assets
Watoe linembo lao, kwani hilo linembo linasidia wachezaji kushinda mechi.Nilikuwa nashangaa mbona Chelsea bado wanatumia logo ya Three kumbe leseni inazuia isiondolewe kwenye physical assets
"The Athletic are reporting that Chelsea have removed Three's logo from all of its digital platforms. Licence restrictions have prevented the company's logo being removed from the club's physical assets, however."
Mkataba wa kutengeneza hizo jezy ndio unaokataza kuzitoa. Mwingiliano wa kimaslahi kwenye mikataba. Hata hivyo Three wamelegeza masharti baada ya kugundua hilo na kuidai Chelsea waondoe haraka iwezekanavyoWatoe linembo lao, kwani hilo linembo linasidia wachezaji kushinda mechi.