Chelsea ndio wanavamia vamia dili za watu,inaonekana hakuna mtu maalumu ktk kitengo hiko,Kingine Barca wameingiwa na tamaa za mzee fisi, wanmataka Lewa, Kounde, Raphinha, Dembele na kila anayetakiwa na Chelsea na wao watamtaka
Umelewa tayari mzee nenda kalale,Itapendeza sana
Hakuna wa kugusa top 4 kwa sababu wachezaji wote hao wana uwezo wa kufunga goli 20+
- City wakiwa na Haaland
- Liverpool Salah
- Spurs na Kane
- Chelsea na Ronaldo au Lewandowski
Hajielewagi huyo jamaa,atakuja kukataa sasa hv km hakuwa akimaanisha hivyoCity kachukua ubingwa hana mchezaji aliyefikisha bao 18 alafu timu yenye mchezaji mwemye goli 18 yupo kwa kashuka daraja uko Nyumbu
Nilisema mmHat hivyo mimi nazungumzia wachezaji waliopo sasa hivi wewe unarudi nyuma. Tunaposema 20+ maana yake kuna na forwards kama 3 (wingers na CAM) wanatakiwa kufunga na kuassists double digits. City wamefanya hivyop kwenye rare case na wangeendelea hivi wangepigwa kumbo
Akili huna.Kw Aaron Hickey, Brentford tu wamewatoa kwenye reli, mmebaki kulalamika hahahaha
Naona hata salah kumbe ilikua yupo tayari kurudi chelsea. Ndio maana fabrizio alisema behind the scine chelsea wana mipango mingi ya usajili. Sema Liverpool naona wamemuongezea salah mkataba mnonoKumbuka hii kauli ya kutaka kutoka imekuja baada ya Ronaldo kufanya mkutano na Boehly
Pia kumbuka kwamba Boehly anataka kuutangazia ulimwengu wa football kuwa yeye ndie mmiliki mpya wa Chelsea kwa kufanya usajili wenye kupeleka sauti mbali. Mkutano wake na Ronaldo sio zaidi ya wiki haijaisha na Ronaldo anasema anataka kusepa sio coincidence na haijaja kwa bahati mbaya, it is planned. Hongera Todd Boehly
Huyu mimi naona wakubwa wa chelsea waachane nayeye hana adabu. Na watu kama hawa wenye madharau huwa hawadumu kwenye pitch.Ripoti mpya, Raphinha kasema ni bora abaki Leeds united akiisubiri Barcelona mwakani kuliko kujiunga na Chelsea au Arsenal
Hahahaaa yamekuwa hayo TenaHuyu Raphinha akienda Barcelona ataenda kuwa tu kama akina
Kwa hiyo tuwaache tu waingie mkenge
- Luuk De jong,
- Merphis,
- Adama Traore,
- Countinho
- na Co
Aliyekuroga hakika amekufaBarcelona wakimnunua Raphinha hawataweza tena kumsajili Dembele wala Lewandowski wala Kounde
Kazi inabaki kwa Boehly
Chelsea walikusudia kumsajili Raphinha ili dau lake liwe juu na ndio maana Chelsea walikubali haraka Paundi mil 60 ili Barca wakiingia waingie kikenge kenge na wakakubali. Hii ni soka na inachezwa kama karata. Unaweza kuwa na garasha na bado ukashinda inategemea utachezaje tu
Chelsea sasa Dembele ni wetu, tukiweza kumthibiti aache tamaa ya mshahara mkubwa na pia majeruhi yake yakadhibitiwa anaweza kusaidia mbele.
Najua pamoja na Barca kutoweza kumsajili Lewandowski, hatakubali kuja Darajani Labda tusubiri
Hana dharau anataka atimize ndoto zake , asipangiwe maishaHuyu mimi naona wakubwa wa chelsea waachane nayeye hana adabu. Na watu kama hawa wenye madharau huwa hawadumu kwenye pitch.
Yeah, Barca si wanazidi kuuza haki zao za TV kwa miaka 25 nafikiri sasa imefika 50%Aliyekuroga hakika amekufa
Dembele anakaribia kubaki Barca na mshahara anapunguza
🚨🎖️| All parties are now optimistic of agreeing to renew Ousmane Dembele’s contract for two years until 2024. The talks are progressing but is not yet 100% agreed. [@FabrizioRomano] #fcblive
🎖| Barcelona want Dembele and Raphinha. [@JacobsBen] #fcblive
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Walianza Manure kwenye ununuzi holela wa wachezaji sasa Manure imejifiaHahahaaa yamekuwa hayo Tena
Sizitaki mbizi hizi
Unaombea dua la kuku🤣🤣🤣
Dili Kama hizi mwisho huwa anashinda mchezaji, ndio maana raphina yupo tayari kubak Leeds had hapo Barca watakapotengemaa , na wiki ijayo Barca anauza Tena haki zake ili asajiri kina Alonso, Lewa, Kounde na RaphinaYeah, Barca si wanazidi kuuza haki zao za TV kwa miaka 25 nafikiri sasa imefika 50%
Ila bado wanamtaka Raphinha kwa installment
Chelsea wana kitu wanachofanya wewe hujui. Sijui kama ulisha hudhuria minada. Tunampump tu anunue akishachoka atakuwa amenunua koroma, wachezaji wengi bila plan ya kuwatumia. Manure walifanya hivyo tangu enzi za Alexi Sanchez sasa hivi wako wapi hao mboleaDili Kama hizi mwisho huwa anashinda mchezaji, ndio maana raphina yupo tayari kubak Leeds had hapo Barca watakapotengemaa , na wiki ijayo Barca anauza Tena haki zake ili asajiri kina Alonso, Lewa, Kounde na Raphina
Hawa wachezaji hawagusiki na timu Nyingine akili zao zipo Barca
Ndio maana nawashangaa Chelsea mnavyokomaa na Raphina ,
Arsenal kashajitoa kimya kimya ,
Wachezaji wa hivi hata ukiwapata wanakufanya step stone tu.
Hata halland pale city Ni mpitaji TU ,2024 release clause yake Ni £150m , Madrid anakuja ku trigger , Wala Hana haraka
Kwasasa Kama wanabadilika wafatilie , wanaenda kupata wachezaji loyalWalianza Manure kwenye ununuzi holela wa wachezaji sasa Manure imejifia
Chelsea nao wakafuata, ila nafikiri ujio wa mmiliki mpya itatuokoa tusiwe kama Manure
Sasa Barcelona wamefuata nyayo za Manure kununua kiholela, ndicho nilichomaanisha, hakuna Chemistry yeyote ni ku hijack tu na kuwanunua hata kwa mkopo.
Weka hii kumbukumbu, watalia na hali yao itaendelea kuwa kama ya Manure, afadhali yao wako Laliga ligi ya mbuzi yenye timu mbili tu
Ngoja Tuone , ila huyu Tajiri wenu Kuna vitu ana lack kwenye usajiri, angemvuta hata Michael edward,Chelsea wana kitu wanachofanya wewe hujui. Sijui kama ulisha hudhuria minada. Tunampump tu anunue akishachoka atakuwa amenunua koroma, wachezaji wengi bila plan ya kuwatumia. Manure walifanya hivyo tangu enzi za Alexi Sanchez sasa hivi wako wapi hao mbolea