Upo sahihi , Toddy hajajua bado issue za Usajiri , hiz Kaz zinawenyeweMbona sababu za kufeli hizo sajili inafahamika matajiri kupiga mbizi kwenye lami (Kujiingiza kwenye mausajili)
Msimu ujao kwa hicho kikosi, Chelsea wanaweza kuwa midtable club.SARR -- THIAGO -- KOULIBALY
SARR -- KOULIBALY -- CHALOBAH
KOULIBALY -- THIAGO -- CHALOBAH
Halafu kule mbele kuna Werner, Ziyech, Pulisic, Odoi, Batshuayi., Kai
Hao wachezaji wakienda kucheza vizuri watakuwa na bahati, ila wakiflop, na bank account zao zitaflop piaIla Barca kichapo alichompa Chelsea Kwenye dirisha hili la Usajiri hakitasahaulika
Pale Barca Kuna wahuni wanajua kuhijack deals sio poa
Mateu Alemany ,
Halafu changanya na ushawishi wa klabu yao
Yaani wanawapini kabisa wachezaji kuwa wasimsikilize mtu,
Sasa wewe peleka ofa malizana na timu, ukifika kwa mchezaji husika anakupiga chenga
Ona Kwa Raphina, ndio maana Arsenal mapema kabisa wakasema hatutaingia Kwenye biding war , ilikuwa kujiabisha.
Ona mwa Lewandowisk ,wote waliozengea sain yake wamekula za uso akiwepo Chelsea
Now kwa Kounde Chelsea katuma had paperwork ,katuma had bid ya £55m
Akawa anasubiria tu Sevilla wazisaini tu
Barca kaja now anakaribia kumalizia deal
Dirisha ili limekuwa lakimafia sana😂😂😂
Na tulionao wanalalamikaSARR -- THIAGO -- KOULIBALY
SARR -- KOULIBALY -- CHALOBAH
KOULIBALY -- THIAGO -- CHALOBAH
Halafu kule mbele kuna Werner, Ziyech, Pulisic, Odoi, Batshuayi., Kai
Ukweli ni dharau kabisa anazofanyiwa chelsea kipindi hichi na haya yote kutokuwa na uzoefu kwa Todd Boehly kwenye maswala ya usajiriIla Barca kichapo alichompa Chelsea Kwenye dirisha hili la Usajiri hakitasahaulika
Pale Barca Kuna wahuni wanajua kuhijack deals sio poa
Mateu Alemany ,
Halafu changanya na ushawishi wa klabu yao
Yaani wanawapini kabisa wachezaji kuwa wasimsikilize mtu,
Sasa wewe peleka ofa malizana na timu, ukifika kwa mchezaji husika anakupiga chenga
Ona Kwa Raphina, ndio maana Arsenal mapema kabisa wakasema hatutaingia Kwenye biding war , ilikuwa kujiabisha.
Ona mwa Lewandowisk ,wote waliozengea sain yake wamekula za uso akiwepo Chelsea
Now kwa Kounde Chelsea katuma had paperwork ,katuma had bid ya £55m
Akawa anasubiria tu Sevilla wazisaini tu
Barca kaja now anakaribia kumalizia deal
Dirisha ili limekuwa lakimafia sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila hii itakuwa nzuri zaidi kwa Chelsea kwa sabbau huko mbeleni huyu Todd atajua kuwa usajili sio lelemama, atajiandaa zaidi na kumuweka mtu anayeweza negotiation kama Marina. Hata Petr Cech alikuwa anaelekea hukoUkweli ni dharau kabisa anazofanyiwa chelsea kipindi hichi na haya yote kutokuwa na uzoefu kwa Todd Boehly kwenye maswala ya usajiri
Ilikuwa ni makosa kwa Marina kuondoka kipindi hichi ambapo yeye anajua vizuri vurugu la kusajiri wachezaji
Nafikiri ashajifunza sasa atakaa pembeniUpo sahihi , Toddy hajajua bado issue za Usajiri , hiz Kaz zinawenyewe
Kwann Safari hii tu wachezaji wote hao wachoropoke
Anajiingiza kwenye biding war bila sababu za maana
Deal done ipi mzee, sisi mashabiki cjui hata akili hua tunaweka wapiJules Kounde deal done
Marina mzoefu ,kitambo angeshawasaini Raphina na KoundeUkweli ni dharau kabisa anazofanyiwa chelsea kipindi hichi na haya yote kutokuwa na uzoefu kwa Todd Boehly kwenye maswala ya usajiri
Ilikuwa ni makosa kwa Marina kuondoka kipindi hichi ambapo yeye anajua vizuri vurugu la kusajiri wachezaji
Tutamkumbuka sana Roman yeye alikuwa ana uwezo wa kuhijack deal lolote analotaka kipindi cha nyuma Mikel Obi,salah,Willian,Robben na Pedro ila now mambo yanarudi upande wetuKwa mchezo huu mchafu Barcelona wametangaza vita na sisi, kwa kuanza Azpi na Alonso hatutampa kamwe wawasubiri mwaka wakati wao watakuwa bankrupt
Haya mambo yanayotokea watajifunza hawa matajiri next time hayatajirudiaMarina mzoefu ,kitambo angeshawasaini Raphina na Kounde
Mwaka gan uliwahi sikia vituko Kama hivi eti Chelsea have reach full agreement with Leeds over Raphina for around £65m
Halafu mchezaji anasaini kwingine
Halafu Scenario inatokea sio kwa deal moja