juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
Hakuna interest yoyote kutoka barce, hizo mnazopost ni banter.Huyu dogo anakaribia kwenda Chelsea ,nadhan Pep amesimamia msimamo wake hawez kuzid £40m
Na Barcelona hawajatia gia namba 2 ,
Ila wanajua watakuja kumchukua muda wowote ,
[emoji599][emoji2424]| Marc Cucurella told @CatalunyaRadio:
“I would really like to return to FC Barcelona one day.”
Jaribu kufatilia.Tatizo Chelsea wanaongea na Brighton badala wamface cucurella mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]Yale Yale ya Raphina
Hata sasa hakuna interest yoyote kutoka kwa barce, naona unachukulia banter wanazopost watu, ndio unachukulia kweliHuyo cucurella anaenda Barcelona,muwe mnaacha kukulupukia deals za watu,wakati city tunamtaka Barcelona hawakuleta mdomo ,hivi Barcelona mliwafanya nin View attachment 2311534
Nadhani mipango ya TT ni kumchezesha cucurella Kwenye lcb kama hatapata central defender mwingine na atamchezesha Kwenye nafasi lwb kama Alonso atasepa kuhusu rwb nimeona Chelsea walitoa offer ya awali kwa machezaji wa intermilani Denzel Dumfries imekataliwa team yake inahitaji paund 40M kiufupi kama tutafanikiwa kusajili wachezaji wote hao tutakuwa na team ya ushindani yakuchukua kombe lolote lile kasoro ligi pekeeHizi tetesi ziemzidi na zinatia moyo kumbe kuna kitu kinafanyika
- Cucurella ni LWB mzuri sana atakuwa upgrade nzuri ya Alonso ili aondoke kwa amani ila tutampata kwa gharama ya kumpoteza Levi Colwill
- Fofana ni mzuri japo mimi naona ni bora tungembakiza Levi Colwill
- Josko Gvardiol ni CB mzuri tusimuache
- Frenkie De Jong ni mzuri ataziba udhaifu wa midfield yetu kwa kuwa na rotation nzuri ya De Jong, Kante, Kovacic, Mount, Gallagher na Jogninho wanaobaki tuwauze (Barkley, RLC, Billy etc)
- Sijasikia kuhusu RWB
Upo sahihi mkuuNi ngumu sana kwa chelsea kupata mchezaji ambae anatakiwq na barcelona au madrid ,, ila ni rahis sana kupata mchezaji ambae anatakiwa na man city au arsenal...
Ila pia charisma ya Xavi inawavutia wachezaji wengi kuipenda Barcelona kwa sasa. Naona Xavi ndie kocha atakayeipa mafanikio Barca kama ile ya PEPNi ngumu sana kwa chelsea kupata mchezaji ambae anatakiwq na barcelona au madrid ,, ila ni rahis sana kupata mchezaji ambae anatakiwa na man city au arsenal...
Tupe Takwimu zakeTodd amekutana na Agent wa Benjamin Šeško wikiendi hii, huyu anakuja kufanana na Erling Haaland kwa ufungaji anachezea RB Salzburg
Name: Benjamin ŠeškoTupe Takwimu zake
Bado Takwimu hazishawishi yaani kwenye mechi 24 una goal 5 na assist 1Name: Benjamin Šeško
Club: RB Salzburg
Position: Forward/Striker
Age: 19 yrs
Nationality: Slovenian
Astrian cup 2021/22
Apps: 5; Goals: 5;
Astrian cup 2022/23
Apps: 1; Goals: 1;
Astrian Bundesliga 2021/22
Apps: 24; Goals: 5; assist: 1
Astrian Bundesliga 2022/23
Apps: 2; Goals: 1; assist: 1
Kwa umri wake hizi ni stats nzuri
Nafikiri wanamsajili kwa ajili ya gamble ya baadaye. Msimu huu kaanza vizuri, 2 matches amehusika na magoli kila mechiBado Takwimu hazishawishi yaani kwenye mechi 24 una goal 5 na assist 1
Kabisa kwa tukimpata huyu tutakuwa tumefanya signings nzuri Sana msimu Huu ni aina ya saini ambazo impact inaonekana mapema kuliko zile za kina Timo werner[emoji736] 24-years-old.
[emoji736] Premier League Proven.
[emoji736] Can play LCB, LWB or LB.
[emoji736] #BHAFC Player of the Year last season.
Transfer fee is obviously high, but I really rate him. Think Marc Cucurella be a good addition to this Chelsea team [emoji122]
Fabrizio kaboronga kiingereza kwenye hii sentensiFull agreement now reached between Chelsea and Cucurella on personal terms. Potential contract has been proposal approved, Marc’s prepared to accept once clubs agree on fee. [emoji599][emoji838] #CFC
Chelsea and Brighton in direct talks again today in order to complete the deal.
Marc Cucurella will not be brought to Chelsea as a back-up but as a key player. His versatility could be a key reason that Thomas Tuchel is so keen on the Brighton defender.
[emoji821] #BLUES sport [emoji460]