Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nimesikitika sana kuona kipa wa Leicester ameuzwa tena ety kwa 1m, cjui kwann Chelsea haikumuona.
 
Barca kashafanya yake naanza kuamini😂😂😂😂

Ndio maana ornstein hajapost

🚨🚨| @gerardromero:


“If I say the name of the player's agent meeting with FC Barcelona, a tsunami will occur.”


😂😂😂😂😂😂
 
Fabrizio ni source inayoeleweka taka usitake it is done deal
 
🚨🚨🚨 | JUST IN: Barcelona have offered Brighton €50 million + add ons for Marc Cucurella

@gerardromero [🎖]
 
Nafurahi na Nasikitika tu kuuzwa kwa Colwill, basi waweke buyback clause
 
Jamaa wamekanusha kwamba hakuna agreement yeyote
 
Chelsea leo wako Italy kuanza mazungumzo ya kumsajili kiungo kinda wa miaka 18 machachari Cesare Casadei wa Intermilan. Ujio huo pia itatoa fursa kujadili mkataba na mchezaji. Arsenal wanamfukuzia pia kiungo huyo
 
Mashabiki wa Barcelona wameanza ushabiki mbaya sana
Nasikia wako Darajani na picha ya KOunde na wengione kuikebehi Chelsea

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…