Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea leo wako Italy kuanza mazungumzo ya kumsajili kiungo kinda wa miaka 18 machachari Cesare Casadei wa Intermilan. Ujio huo pia itatoa fursa kujadili mkataba na mchezaji. Arsenal wanamfukuzia pia kiungo huyo
Nasikia pia tunamalizana na kijana wa kibrazil
 
Hakuna kitu kama, hizo ni deal tofauti,
Probably hiyo ni ya Bernardo
 
Wewe endelea kubisha

Hadi kesho utaelewa

Deal la RAPHINA ,Kounde wenzako walikuwa wabishi hivi hivi
Acha ubishi, kuna tofauti katika deal zote hizo,

Hakuna sehem ambayo wote/pande zote(buyer, player,Seller) walifikia makubaliano, yani pande mbili zilikubaliana ila pande ya 3 ikakataaa

Kama unafatilia hakuna hata transafer kati ya hizo ambazo Fabrizio alisema here we go n medical siku yake
 
[emoji599][emoji599][emoji599] | JUST IN: Barcelona have offered Brighton €50 million + add ons for Marc Cucurella

@gerardromero [[emoji954]]
Naona unacopy kutoka fake account za twitter

Nenda kwa hizi account
ManagingBarce yenyewe japo zipo fake account
Na Reshad Rahman au Relevo

If unaelewa kispanyola nenda kamuangalie kwenye stream yake ya Twitch
 
Wilfred Zaha amewahi cheza man u lini?
 
Kweli Arsenyeto ni matakataka.
 
Barca president Joan Laporta has confirmed that the club has to register their new signings by August 13. And for the Catalan giants to register the likes of Raphinha, Robert Lewandowski, Jules Kounde, Andreas Christensen and Franck Kessie, they need to offload quite a number of their current players.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…