juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,466
Colwill kuna buy back ya 40-45, halaf leo Fabrizio anasema huenda ikawa ni LoanChelsea wanajiandaa kupeleka ofa ya Paundi mil 70 kumsajili Wesley Fofana
Tomori tulimuuza mil 25
Colwill tutamuuza mil haitazidi paundi mil 25
Baada ya miaka miwili tutamtaka kwa paundi mil 70
Kwa sababu mimi namuona Fofana (21yrs) sio upgrade ya Colwill, kilichowatofautisha ni umri tu (2 yrs apart) na uzoefu kwenye ligi
Huyo ni geniusDone Deal
Cucurella to Chelsea.
Cucurella deal lake ni £55M + 7M kama add on, total ni 62M
Levi Colwill anaenda kwa mkopo Brightom
Twende kwa Fofana sasa
Huyo ni geniusVipi bado mnamashaka na Boehly-Eghbali kuhus swala zima la kumwaga mpunga???
No.4 Ake, Cucu No. 2Chelsea have confirmed their 2022/23 squad numbers hinting at the roles Carney Chukwuemeka, Conor Gallagher and Armando Broja will play this season.
- Chukwuemeka has been handed the no.30 shirt,
- Broja the no.18 jersey and
- Gallagher has been assigned the no.23 shirt.
- Raheem Sterling has been given the no.17 shirt whilst
- Kalidou Koulibaly has inherited club legend John Terry's famous no.26 shirt.
- Club captain Cesar Azpilicueta remains as no. 28
- Numbers not selected include no.2, no.4, no.15 and no.25 which could be taken by incoming new signings
Haonekani kama DMF kabisa.Kwahiyo nafasi anaweza kupata ila ingekuwa ni midfielder ya Kati nafasi hawezi kupata nafasi
Ake hapana, tutakayemleta kwa nguvu ni FofanaNo.4 Ake, Cucu No. 2
Acha waendelee kukanushaBrighton wamekanusha huo usajili
Tajiri analipa kulingana na umuhimu wa huyo mchezaji kwa TT ndio maana ikitokea kocha kamn'gan'gania Sana huyo mchezaji Tajiri yupo teyari kulipa hela yoyote tunalipa kulingana na quality ya mchezaji hiki ndiyo nilichogundua kwa style hii Tajiri atafanya kupooza machungu ya kuondoka kwa mpendwa wetu AbramovicVipi bado mnamashaka na Boehly-Eghbali kuhus swala zima la kumwaga mpunga???
Binafsi namuona fofana wa kawaida hiv kweli tunashindwa kwenda pale italia kuchukua beki wa maanaAke hapana, tutakayemleta kwa nguvu ni Fofana
Frenkie de jong ni deep midfielder playmaker anacheza nafasi ya Jorginho nakwanini TT anamtaka Sana nikwasababu tunakosa option kwenye hiyo nafasi ukimtoa jorginho hakuna mchezaji mwingine wakucheza hiyo nafasi ndio maana anaforce kumchezesha Lotfus cheeck kwenye hiyo nafasi lakini kiuhalisia sio kiungo wa chini hata Mourinho aliwahi kusema na TT anajua Hilo.Na hii pia imechangia jorginho kucheza mechi nyingi kuliko midfielder yoyoteDe jong? sidhani
Tumeshamsajili Chukwuemeka (CM/AM) nadhani ataongeza ubunifu zaidi kwenye safu ya kiungo yetu.
Ake hawez kuja hata kwa niniNo.4 Ake, Cucu No. 2
N huenda ikawa ni kutake advantage katiba meza ya mazungumzo, maana Jorginho mkataba wake unaisha mwakan,, Endapo tukimsajil De Jong utatufanya tuwe na advantage kwenye meza ya majadiliano kwa jorginh n kanteFrenkie de jong ni deep midfielder playmaker anacheza nafasi ya Jorginho nakwanini TT anamtaka Sana nikwasababu tunakosa option kwenye hiyo nafasi ukimtoa jorginho hakuna mchezaji mwingine wakucheza hiyo nafasi ndio maana anaforce kumchezesha Lotfus cheeck kwenye hiyo nafasi lakini kiuhalisia sio kiungo wa chini hata Mourinho aliwahi kusema na TT anajua Hilo.Na hii pia imechangia jorginho kucheza mechi nyingi kuliko midfielder yoyote