Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,074
- 27,490
Medical tests successfully completed for Marc Cucurella in London. Now time to check and sign documents… here we go, again. [emoji6][emoji599][emoji838] #CFC Levi Colwill will join Brighton on loan, as expected.Colwill kuna buy back ya 40-45, halaf leo Fabrizio anasema huenda ikawa ni Loan
Mkuu haiwezekani hiyo kitu kwa mashabiki hawa wa ChelseaNaamini Chelsea itakuwa pouwa this season. Chamsingi mashabiki wenzangu wa chelsea tuwe na Roho ya kuisapotibtimu hata kama inapitia kipindi kigumu namna gani.
Tusijuge mchezaji kwa kufunga magoli uwanjani tuangalia impact yake uwanjani. Ni hayo tu.
De jong na huyo dogo hawachezi namba moja...De jong? sidhani
Tumeshamsajili Chukwuemeka (CM/AM) nadhani ataongeza ubunifu zaidi kwenye safu ya kiungo yetu.
Mkuu hata wakati tunamchukua Rudiger alikua wa kawaida sana. Alikua anapigwa matobo tu lakini angalia saivi hasa chini ya TTBinafsi namuona fofana wa kawaida hiv kweli tunashindwa kwenda pale italia kuchukua beki wa maana
Ila kwa Alonso ni 50/50 kama atakiwasha against Everton kocha anaweza kumfikiria na hii ni kwasababu Benchilwell bado hayupo fit automatically Alonso ataanza first elevenNaona Alonso n Emerson njia nyeupe sasa ya kuondoka
Wewe haupo seriously Rudiger tumemsajili kutoka Roma akiwa kwenye form ya hali juu pia akapaform kwenye michuano ya mabara akiwa na team yake ya Taifa ya Ujerumani chini ya kocha Conte na msimu wake wa kwanza tu alikiwasha na hata kipindi Cha sarri alivyokuja Lampard hakumpa nafasi lakini kwenye team yake Taifa alikuwa anaanza first eleven kama kawaida kilichoondoka kwa Rudiger ni form lakini class ikopalepale Tuchel alivyokuja akamuamini class ikarudi na perform lakini sio kwasababu Rudiger alikuwa sio mzuriMkuu hata wakati tunamchukua Rudiger alikua wa kawaida sana. Alikua anapigwa matobo tu lakini angalia saivi hasa chini ya TT
Mkuu haiwezekani hiyo kitu kwa mashabiki hawa wa Chelsea
Naungana na wewe mkuu hata mimi mwenyewe simuelewi huyo fofanaChelsea kwenye suala la kuuza na kununua wachezaji sijui huwa tunakwama wapi. Tunauza wachezaji wazuri sana kwa sababu za kipumbavu kabisa, kisha tunanunua wachezaji matakataka tu.
Huyu Fofana anakuja kufanya nini Chelsea!? Tena tunatoa hela nyingi kiasi hicho, aisee acha tupigwe tu maana bodi imejaa upumbavu sana.
Milan Skriniar huyu beki tumeshindwa nini kumsajili? James Tarkowski huyu beki ni msimu wa tatu namuongelea hapa, ni moja ya beki mzuri sana ni vile tu alikuwa Burnley akashindwa kuongelewa. Tarkowski anauzoefu mkubwa kwenye ligi kuu Uingereza toka msimu wa 2016/17 mpaka sasa. Burnley imeshuka daraja tulishdwa nn kumchukua huyo mwamba tena alikuwa anapatka bure kabisa, tumekalia kuchukua matakataka tu.
Bado na pesa za mapato ktk kuuza wachezaji au kutoa mkopoRaheem Sterling - £49million
Kalidou Koulibaly - £34million
Marc Cucurella - £55million
Carney Chukwuemeka - £20million
Gabriel Slonina - £10million
Summer transfer budget = £300million
Total amount spent = £168million
Amount remaining = £132million
A lot more to spend!
Mazungumzo yapo level ya klabu na Sasa Barcelona wanamtoa Auba na Dejong kafara ili waweze kubalance vitabu vyao na kusajili wale wachezaji waliopokonya kutoka radar zetu. Jana walijaribu kuwasanili La Liga wakaambiwa bado Wana gap la Euro mil 160**De jong? sidhani
Tumeshamsajili Chukwuemeka (CM/AM) nadhani ataongeza ubunifu zaidi kwenye safu ya kiungo yetu.
Auba kashasema anabaki Barca , Dejong Ndiye mtamchukuaNahisi Usajili wa Fofana, De Jong na Auba ukitick ndio itakuwa wa mwisho msimu huu na unaweza kuigharimu timu paundi mil 150 hadi 160 hivi
Wameshafika 5Raheem Sterling - £49million
Kalidou Koulibaly - £34million
Marc Cucurella - £55million
Carney Chukwuemeka - £20million
Gabriel Slonina - £10million
Summer transfer budget = £300million
Total amount spent = £168million
Amount remaining = £132million
A lot more to spend!