Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mi mwenyewe nashangaa huyu Fofana ni wakawaida sana, hat Ake, huwa anarukaruka tu uwanjani na zile nywele, tena yeye ndio sababu juzi city wametobolewa kwenye ngao ya hisani.
 
Aisee timu ikiwa hivi, kuna timu zitaogopa kuleta timu uwanjani.
 
Fofana! Fofana! Fofana! Fofana! Fofana!
Mimi simjui vizuri Fofana ila baada ya kusoma taarifa zinazomhusu namuona kuwa ni mchezaji mzuri
Tumuamini Kocha kwa alichokipenda, Yeye anajua mengi juu ya mchezaji kuliko sisi
 
Hapo muondoe Silva
 
Ndio ujue tuna kibri, sio lazima usajiri vzr had uwe UCL

Na usajiri hatujamaliza, we need two palyers tuonyeshane makali

Nyiee mnatumia pesa nyingi kusajiri mabeki

Ngoja Ligi ianze Tuone panapovuja
Winning start with defense.

Kokote kule utakokwenda na chochote kile utachofanya Anza better defense then proceed mbele.

Hata kwenye biashara kabla hujaweka mtaji Anza na risk analysis and management then proceed.

Timu zinazoshinda zote huwa na solid defense kwanza.
 
Auba kashasema anabaki Barca , Dejong Ndiye mtamchukua

Fofana mnauziwa 85?
[emoji599] || Chelsea are reportedly willing to meet Leicester’s £85m valuation of Wesley Fofana [Via - @JackRosser_].

HIZZI DAKIKA ZA MWISHO MTAPIGWA SANA
Una wasiwasi Fofana atakuja kuwa kama Maguire? [emoji851]
 
Performance ya one season ndio inawapa confidence na kuamini anahitajikan kwa bei hio ? , Cucurella ni mchezaji mzuri ila kwa hio bei hapana .....!!
 
Yaani system ingeruhusu likes 7 ningekupa
 
Fofana sio beki wa standard yetu ubora wake ni upi unaojua wewe
Kabla ya kubisha umfuatilie kwanza ili baadaye usije yarudia matapishi yako. Hata mimi nilikuwa na wasiwasi naye ila kiukweli sijawahi mfuatilia. Ana miaka 21 tu na ameshajipatia namba ya kudumu kwenye first team. Leicester city ilianza kuboronga alipoenda majeruhi. Fofana anaweza asiendane na fee kubwa Chelsea inataka kulipa ila kuna vionjo ambavyo TT kaona kwake tusibishe tu, haitatujenga kama timu
Kama hujamfuatlia ebu soma maoni ya waliomfuatilia unaweza pata big picture au la subiri ligi ianze utaona kama tumepigwa au tumepiga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…