Getang'wan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 3,076
- 3,418
Ndio maana wachezaji wao (Everton) wameumia kwasababu ya kukamia.Wivu, Chelsea tunahitaji only 2 or 3 players. Hasa hasa 2
CB na forward wa 20+ goals
Generally Chelsea wamecheza vizuri
Everton Leo walitukamia sana
Tarkowski ni beki mzuri, solid, physical na anaweza kuzia mipira ya aina nyingi, hewani, chini, kushmbulia, bahati mbaya Chelsea huwa tunaangaliaga tu wale wanaouzwa galiKuna beki anaitwa James Tarkowski, Everton wamemchukua kutoka Burnley. Ni mara kadhaa namuongelea hapa, hebu leo mtizameni kisha mtapata majibu kwanini huw namkubali sana.
Nilichopenda Chelsea waligundua hilo na wao wakawa solid na kutopanicNdio maana wachezaji wao (Everton) wameumia kwasababu ya kukamia.
Lakini Cucu amecheza vizuri sana kuliko Chilwell. Amepiga pass matata.Cucu hana uwezo wa kuchukua nafasi ya chilwell...chilwell anaweza kukaba na kupandisha timu.. kwa sasa chelsea inamtegemea sana james na chilwel kupandisha mashambulizi..
Cucu yeye uwezo wake ni kukaba tu.. lakin kupandisha mashambulizi sio mzuri
Machezaji mengine ni idiots TuAgent wa De Jong ana push Ile mbaya Barca wapunguze mshahara wake abaki. Sasa majadiliano yamepause na Chelsea wanafuatilia matokeo ya kupunguzwa mshahata. Hii takataka Kwa Nini tusiachane naye. Barca Wana Nini Hadi watu kukubali kurengetwa hivi mchana
Sijui ni udhaifu au tuiteje, Koulibally anapenda sana kupanda mbele na kuchelewa kurudi, Silva yuko very aware na Counter ndie pekee anayeweka tahadhari huku nyuma hata Azpilicueta anachelewa kurudi kuzuia, I hope Fofana anaweza kuja kuongeza hiyo aliyonayo SilvaIla Wanangu kama n Beki mwenye Nidhamu na kujua kazi yake basi kwa hakika Kouloby tumepata na Tutaringa naye sanaaa
Composure tu ya Cucu inaonyesha hata Chilwell akirudi kuwa fit, watambana kweli kweli. Lile zimwi la Alonso hatutakuwa nalo tenaLakini Cucu amecheza vizuri sana kuliko Chilwell. Amepiga pass matata.
Nahisi ww hujaangalia mpira chilwell bado hayuko vizuri hiyo nafasi Cucuella anachukuwa vizuri kwa performance aliyoonesha leoHiko kitu hakipo kabsa... Chilwell bana ni msaada tosha kwa chelsea...
Chilwell katokq majeruhi ya mda mrefu,still leo amepaform kiaina...
Broja anatakiwa aonyeshe kuwa anaweza kwenye dk chache anazopewa kama hizi za 10+, 20+, 30+ ndipo aaminiwe apewe zote, Chelsea hatupo hapa kuuza sura, na kama vipi tutamuuza. Sasa tumeanza kazi, safari ndefu ya ligi bado mechi 37 tukiwabembeleza hawa watoto tutashindwa hata kubaki top 4Ft. Everton 0-1 Chelsea
Niliyoyaona
Chilwell bado sana itamchukua mda kurudi kwenye kiwango chake.
Kunahaja ya kumpa nafas Broja kama no 9, kai hawez tupa goal 10+
Sterling kuna kitu amekiongeza ni vile tu anakosa mtu mwingine kule mbele mwenye uwezo kama yeye.
Ps.
Baada ya miaka 5, hatimaye tumeshinda Goodison Park.
Mara ya mwisho kushinda ilikuwa wakat wa Conte, 2016/17 tulipochukua ubingwa
Kenge wa bluu weweCucu hana uwezo wa kuchukua nafasi ya chilwell...chilwell anaweza kukaba na kupandisha timu.. kwa sasa chelsea inamtegemea sana james na chilwel kupandisha mashambulizi..
Cucu yeye uwezo wake ni kukaba tu.. lakin kupandisha mashambulizi sio mzuri
Kocha kasema kwa sababu alikuja late na hakupata pre season ya kutosha. Kwa hiyo physicality ya ligi inamsumbua. Anatakiwa asicheze muda mwingi hadi azoeeSterling + Koulibaly + Cucurella dalili ni nzuri ,
Wamecheza poa sana
Sterling anahitaj support kule mbele
Cucurella nategemea kumuona game ijayo akianza
Koulibaly natumai itakuwa ni precaution tu.
Huyu akishazoea na kuweka chemistry nzuri na wachezaji wenzake mwisho wa msimu usishangae akichukua mchezaji bora wa mwaka pale Chelsea.Lakini Cucu amecheza vizuri sana kuliko Chilwell. Amepiga pass matata.
Mkuu huwa nakuamini sana ila source ya taarifa zako kuhusu De Jong ni za udakuChelsea imewapokonya mashetani wekundu hawa wachezaji
Regarding De Jong, meanwhile, Gabriel Agbonlahor recently stated the 25-year-old should move to Chelsea - instead of United.
- Arjen Robben 2004 - Roben akitokea PSV wakati anakaribia kuedna Old TRansford alisema ndie sehemu ya ndoto yake kwenda kucheza kandanda ila mwisho wa siku kufumba na kufumbua yuko darajani kwa aibu ya Alex Furgie
- Obi mickel 2006 naye alikuwa amshekaribia kuvaa jezi nyekundu ila baadaye MOU alimhsawishi hadi akashinda
- Eden Hazard -2012 Hazard yeye aligeuka dakika za mwisho kwa kigezo cha kuja kucheza na mabingwa wa ulaya wakati huo
- Pedro -Pedro baada ya kustaafu kwa Sir Alex pia aliamua kuja Chelsea pamoja na Man U kumtaka
- Kante - The same story
- Sasa linakuja suala la De Jong ameshadai kuwa kama ni lazima atoke Barca basi angependa kuja darajani pamoja na kuwa Man U walishamalizana na Barca kuhus ada ya kumsajili. Watu wake wa akribu wanadai Chelsea inampa UCL wakati Man U hawana, pia London ni pazuri kuliko Manchester city
He said on talkSPORT: “I’ve been talking about Manchester United not being as much of a pull for a while now and their fans don’t like it. They can’t handle the straight facts.
“De Jong, if he’s leaving Barcelona, he does not want to go to Manchester United. There are quotes that have come out that he would rather Bayern Munich, he would rather Chelsea.
“Because if I’m choosing a team in the Premier League and I’ve got the chance of Chelsea or Manchester United, I’m choosing Chelsea.
Kuna sehemu umesema kuwa usajili wa Alonso kwenda Barca unahusiana na usajili wa De Jong wakati Tuchel mwenyewe kasema Alonso ndiye aliyeomba kuondokaChelsea imewapokonya mashetani wekundu hawa wachezaji
Regarding De Jong, meanwhile, Gabriel Agbonlahor recently stated the 25-year-old should move to Chelsea - instead of United.
- Arjen Robben 2004 - Roben akitokea PSV wakati anakaribia kuedna Old TRansford alisema ndie sehemu ya ndoto yake kwenda kucheza kandanda ila mwisho wa siku kufumba na kufumbua yuko darajani kwa aibu ya Alex Furgie
- Obi mickel 2006 naye alikuwa amshekaribia kuvaa jezi nyekundu ila baadaye MOU alimhsawishi hadi akashinda
- Eden Hazard -2012 Hazard yeye aligeuka dakika za mwisho kwa kigezo cha kuja kucheza na mabingwa wa ulaya wakati huo
- Pedro -Pedro baada ya kustaafu kwa Sir Alex pia aliamua kuja Chelsea pamoja na Man U kumtaka
- Kante - The same story
- Sasa linakuja suala la De Jong ameshadai kuwa kama ni lazima atoke Barca basi angependa kuja darajani pamoja na kuwa Man U walishamalizana na Barca kuhus ada ya kumsajili. Watu wake wa akribu wanadai Chelsea inampa UCL wakati Man U hawana, pia London ni pazuri kuliko Manchester city
He said on talkSPORT: “I’ve been talking about Manchester United not being as much of a pull for a while now and their fans don’t like it. They can’t handle the straight facts.
“De Jong, if he’s leaving Barcelona, he does not want to go to Manchester United. There are quotes that have come out that he would rather Bayern Munich, he would rather Chelsea.
“Because if I’m choosing a team in the Premier League and I’ve got the chance of Chelsea or Manchester United, I’m choosing Chelsea.
Cucu ni hatari kwenye kushambulia kuliko kukabaCucu hana uwezo wa kuchukua nafasi ya chilwell...chilwell anaweza kukaba na kupandisha timu.. kwa sasa chelsea inamtegemea sana james na chilwel kupandisha mashambulizi..
Cucu yeye uwezo wake ni kukaba tu.. lakin kupandisha mashambulizi sio mzuri
Hata kukaba yupo vizuri utamuona siku akianza first elevenCucu ni hatari kwenye kushambulia kuliko kukaba