Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Je amebeba?
 
Cucurella mmepigwa mazeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]et 55 million + ....

Huyo ni average LB ambaye price yake haitakiwi kuzidi £million 30 hata Brighton wamemchukua kutoka getafe chini ya £20 million
Aiseee[emoji1787][emoji1787] hizi chuki z kumkosa
 
Cucu acheze CB n matumizi mabaya ya kiwango chake cucu acheze lb au lcb km Jana alivyoingia ...chilwell naona Bado hayupo ready...
 
Kocha nae asifumbiwe macho kisa champions league aliyobeba, tuko too defensive na passive kwenye kufanya mashambulizi mipasi mifupi na slow tunayaendekeza alafu tunaanza kulalama timu zinatupakia basi unafikiri City hawakutani na macontena? Hii inachagiza kuua vipaji vya wachezaji wenye attacking minded jana kuna wakati sterling alikuwa anakaa na mpira isolated yaani hakuna anaekimbia kwenye final third ya adui. kocha asipobadilika kila siku tutaishia kusifia mabeki na tutawaona washambuliaji wote hawafai
 
Sio vyema kutukana mashabiki. Wanaoampinga Wana sababu nzuri tu na wanaomuunga Wana sababu nzuri tu.
Tatizo la Havertz ana sura nzuri na bado kijana ila kwenye kufunga tangu aje anatuchelewesha na mashabiki wengi hawaangalii sura Wala umri wanaangalia magoli. Sasa kama no mfumo ndio unaomzuia sijui ila Havertz anatakiwa apate competition labda ndio ataongeza speed ya kufunga. Angalau atuoe 10+ goals na 10+ assists Kwa msimu hapo tutamsamehe.
 
Ndio maana nikasema analaumiwa kwa sababu hajacheza position yake halisi. Hata ivyo lembu nadhani umenielewa vibaya hakuna mshabiki niliyemtukana. Nilichomaanisha ni sisi washabiki tuna ukigeugeu wa kuzidi. Hatuna misimamo ya kueleweka
 

Mkuu mashabiki wenzentu wa chelsea ndiyo walivyo. Wao wanachojua ni mchezaji kufunga kila mechi. Lakini hata drogba wala Hazard wala costa alikuwa afungi kila mechi.
 
Mil 150 nani mjinga wa kuingia kingi
Itafika kipindi dau lake litakuwa chini ikiwa kiwango chake kimepungua na magiant watawasusia waingereza wanamambo yakijinga Sana ya kupandisha wachezaji wao thamani isioyofanana na viwango vyao
 
Uyu Kai ndio kwanza ana miaka 22 arafu unajisaulisha kama Kai ndio kafunga goal muhimu fainal ya champion league mudah mwingine kaa kimya sio lazima uwongee
 
Kai atakua analiwa mata.ko, mchezaji hawezi akawa legelege vile.Ni takataka. Masho.ga wenzie lazima wamtetee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…