Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

[emoji117] Wachezaji wanachofundishwa na kukipractice mazoezini ndicho wanachocheza uwanjani.

[emoji117] Labda huko mazoezini wanafundishwa ujinga ujinga.
Unasema kocha anakufundisha ushindwe kuscore, or mwenzako akiwa amefungua usimpe inabid urudi mpira nyuma.


Mfano pass ya kdb juzi kwa haaland unasema pep ndio anamfundisha au niuwezo wa mchezaji tu wa kuscan uwanja na kujua mchezaj yuko wapi.

Cesc fabregas pass yake kwa Costa vs Arsenal n city, unasema ile anafundishwa na kocha au no uwezo wa mchezaji

Tukubal wachezaj wetu hawana uwezo wa kufanya maamuzi sahihi katika wakat sahihi.
 
Failure huwa inaanzia kichwani (akilini). Timo alijiua mwenyewe kwa kukosa kujiamini. Alipewa nafasi nyingi mno.
 
Ubatizo wa moto ndani ya Stamford Bridge. View attachment 2319314
Conte msimu uliopita hawakuchukua point kwetu hata moja, tulimfunga mechi zote 4 tulizocheza nao,
23/01/22
EPL
Chelsea 2 – 0 Tottenham Hotspur
12/01/22
KARABAO
Tottenham Hotspur 0 – 1 Chelsea
05/01/22
KARABAO
Chelsea 2 – 0 Tottenham Hotspur
19/09/21
EPL
Tottenham Hotspur 0 – 3 Chelsea

Wakati wao waliwanyanyasa City

Conte kwa defense yenye nidhamu haiwezi kabisa
 
Tunaposema maadili yameporomoka kwa watoto tunawanyooshea wazazi kuwa wamefeli lakin mzazi hamtumi mtoto kutukana
Tunaposema kocha kafeli hatuna maana hayo madudu wamefundishwa na kocha, lakini kuna sehemu kocha anatakiwa kusimama na kujiongeza ili kuinua viwango vya wachezaji na ndio kazi yake. Hii ni leadership zaidi

Najua kuna wachezaji atawashindwa kabiosa na hao ndio tunyaita matakataka na ni lazima yaondolewe

Mfano
Furguson kaacha timu ile ile iliyokuwa inabeba makombe back to back lakini alipopokea David Moyes timu ikaparanganyika miguu juu kichwa chini. Kwani Moyes aliwatuma kucheza huo utumbo
Be like a leader
 

Ungekua unazingatia na vitu kama inflation mzee wangu
 
Oyaa wazee wa Chell she jorginho VP sasa tunamuuza au?tufikie muafaka basi
 
Jumapili Spurs lazima watufunge.

Ushindi kwetu itakuwa DRAW.

Hatuna washambuliaji wa kumfunga Spurs labda penati.
Kwa maelezo haya ni kama tumejikatia tamaa mapema mno
Timu iliyomfunga Spurs mwaka jana mechi nne zote ni hiii hii na mimi naona replacement ya akina Rudiger imefanyika vizuri
Only worry naona form ya akina Chilwell na James bado sio ya kuridhisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…