OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Joghihno Ni ball maker japo anapooza mpira Ila anajua kuweka prehmsha ya timu kuwa sawa. ..Leo akipiga pale Kati naimani timu itasimama furesh.Una akili sana ni wachache wanao jua hilo kwamba johg ni ball maker and pace maker wa team yetu, wengi wanataka kila mchezaji awe mfungaji loh!!!!!!
Naamini kuwa kila mtu anayo haki ya kutoa maoni yake. Na siyo kila mtu lazima mtazamo wake ufanane na wako. Kuita watu wengine ni uchwara tu kwasababu ya maoni yake, unaonesha jinsi level yako ya ustaarabu ilivyo chini. Mpinge mtu kwa ustaarabu bila kutoa maneno makali maisha yaendelee Hiyo ni ligi ya nje ya nchi ambayo haitufaidishi chochote zaidi ya burudani tu lakini kuwaita watu wachambuzi uchwara, unapiga chini ya mkatanda bro which is not the rule of the game.Kutomhesabu johginho kama key player ni kua shallow analysis ya wachambuzi uchwara wa bongo wa mezoea mipira ya simba na Yanga
Piga kitu lakini usichanganye ya Kisimiri na Olkokola utarukia TV [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Joghihno Ni ball maker japo anapooza mpira Ila anajua kuweka prehmsha ya timu kuwa sawa. ..Leo akipiga pale Kati naimani timu itasimama furesh.
Enewei ngoja nikapige Cha Arusha kwanza kabla ya game leo Nina Moto balaa....[emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787]
Mkuu sijatukana mimi siko hivo, ila na chukia jinsi watu wanavo msakama johginho bila kutoa facts na reasons, jukumu la johginho no match reader jambo inalo fanya vzri sio mshambuliajiNaamini kuwa kila mtu anayo haki ya kutoa maoni yake. Na siyo kila mtu lazima mtazamo wake ufanane na wako. Kuita watu wengine ni uchwara tu kwasababu ya maoni yake, unaonesha jinsi level yako ya ustaarabu ilivyo chini. Mpinge mtu kwa ustaarabu bila kutoa maneno makali maisha yaendelee Hiyo ni ligi ya nje ya nchi ambayo haitufaidishi chochote zaidi ya burudani tu lakini kuwaita watu wachambuzi uchwara, unapiga chini ya mkatanda bro which is not the rule of the game.
Hata wewe ni mahaba tu ya Jorginho lakini Jorginho aliyekuja na Sari siyo huyu wa sasa. Jorginho kubali ameshuka kiwango kwa sasa kwasababu ya fatigue na umri pia. Ametumika SANA, amechoka. Na ni natural mchezaji kuchoka. Msimu wa 2020/21 na uliopita unajua Jorginho alicheza mechi ngapi za ligi, UEFA na kimataifa kwa nchi yake?
Jorgninho alitakiwa 2021 iwe ndio mwisho wa kuichezea Chelsea, ni ujinga tu ndio uliofanyika pale hadi akawepo hadi sasa. Msimu huu tukishindwa kusajili kiungo, msimu unaofuata, eneo litakalobomolewa ni kiungo. Hata kama Kante ataongezewa mkataba sio kwa first team selection. ni kwa ajili tu ya kufanya smooth delegation ya kiungoUna akili sana ni wachache wanao jua hilo kwamba johg ni ball maker and pace maker wa team yetu, wengi wanataka kila mchezaji awe mfungaji loh!!!!!!
Pamoja: tushinde, tushindwe [emoji123][emoji123]. Ila leo kusema ukweli Jorginho na Kante wakishindwa kutawala kati, watu lazima waone manyoya yetu.Mkuu sijatukana mimi siki hivo ila nachukia jinsi watu wanavo msakama johginho bila kutoa facts na reasons, jukumu la johginho no match reader jambo inalo fanya vzri sio mshambuliaji
Sijui kwanini simkubali Loftus cheek
Mechi na Everton wote walicheza vibaya kwa maoni yangu, mabeki ndio waliotubebaPamoja: tushinde, tushindwe [emoji123][emoji123]. Ila leo kusema ukweli Jorginho na Kante wakishindwa kutawala kati, watu lazima waone manyoya yetu.
Nafasi ya Jo acheze nani, nafasi ya Havertz acheze nani? sababu za Azpi kutocheza ndio sijui tuKwa kikosi hichi tukipigwa lawama zote kwa TT haiwezekani atujazie matakataka wakati kuna watu wa kucheza.
Jorginho, Havertz na RLC ni matakataka hawakupaswa kuanza kwenye mchezo wa leo.
Nafasi ya Jo acheze nani, nafasi ya Havertz acheze nani? sababu za Azpi kutocheza ndio sijui tu
Upo sahihi kabisa mkuuHuyu Kulusevski ni hatari kuliko Kane na Son. View attachment 2323721