LIne up ya leo hii hapa, hawatatuweza
View attachment 2323437
SUB
- Petr Cech
- John Terry
- Chilwell
- Ashley Cole
- Branislav Ivanović
- Makelele
- Hazard
- Willian
- Diego Costa
Tatizo la Striker asipofanya touches nyingi kwenye final third na kufunga timu itacheza pungufu. Bora false 9 anacheza kama wingaKocha amuamini broja ampe nafasi
Broja aaminiwe. Angeanza kama namba 9. Raheem kushoto, Mount kulia. Broja ni striker anayehitaji kuaminiwa tu basi....Kwa kikosi hichi tukipigwa lawama zote kwa TT haiwezekani atujazie matakataka wakati kuna watu wa kucheza.
Jorginho, Havertz na RLC ni matakataka hawakupaswa kuanza kwenye mchezo wa leo.
Kushoto na kulia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi KOULIBALY anatumia mguu upi sana? Naona anapiga yote sawa sawa.
Nafasi alizopata Havertz kwenye box, striker angepata hata moja.Tatizo la Striker asipofanya touches nyingi kwenye final third na kufunga timu itacheza pungufu. Bora false 9 anacheza kama winga
Kachomesha tayari hahahahahahahahahahahaheheheheheheheheWapenzi wa jorginho nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya EPL. Tushukuru spurs hawakuwa clinical kwa zile silly mistakes za jorg kitachotufelisha leo ni kutaka kufunga soft goal. Wapenzi wa cheek ngoja leo tuwapumzishe