Getang'wan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 3,076
- 3,418
Hiyo sentensi ya kwanza inatosha kabisa. Na ndio tatizo lililopo hata wakatae.Nyie hamna forward ,mech mngeimaliza first half
Leo nilitegemea Spurs apaki bas asubiri miujiza ,na kweli imekuwa hivo
Spurs akikutana na timu inayofanya buildup anapaki basi
Everton vs Chelsea ilikuwa mech Ngumu kuliko hii ya spurs vs Chelsea ilikuwa mech nyepes kwa Chelsea
Goli alilokosa kai Lile mngekuwa hata na Auba ile kamba
Spurs hata kwa timu ndogo anapaki bas ,anakuja kuwafunga kwa kaunta
Wanakubishiaga Sana Lakin unasema ukweli,Sawa boss. Siyo issue ya assumptions. Kama uliangalia game vizuri, uliona ni cross ngapi zimepigwa mahali ambapo alipaswa awepo namba 9? Kwanini Broja asiwepo kwenye position yake wakati ni sehemu anayopasa kuwepo? Jana tumepoteza point zile kwa kukosa namba 9, hata kama utabisha na haitaondoa huo ukweli.
Kwahiyo hapewi nafasi kwasababu wanaogopa watu wasiseme auzwe? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakipewa wakakosa mtaanza auzwe auzwe. Mchezaji asiye na experience inabidi apewe kidogo kidogo, akitendea wema muda mdogo aliopewa anongezewa hadi anapewa kabisa
Kocha anapokupa dakika 6 kila dakika moja unavyocheza na mpira au bila mpira anarekodi. uchezaji wako ukiridhisha anaongeza muda au unaanza kabisa. Compusure ya Broja na Galagher sio ya kurudhisha kwa hizo dakika chache wanazopewa. EPL sio Development league au mazoezi ya pale Cobham. Ligi ya wanaume hii ukifanya majaribio ya wachezaji kama preseason unafanyiziwa ile mbaya
TT ameahidi atawapa muda lakini sio kama zawadi, they must fight for it
Wakati Chalobah anpopewa muda alicheza vizuri akawa anapewa zaidi. Pale alipoanza kucheza sarakasi badala ya mpira akazimishwa OUT, yuko wapi sasa hivi. Hizi academy wa chini ya 22 ninyi hamuwajui tu. Hata kiakili bado havijakomaa, unaona Galagher ile penalti alivyopiga dhidi ya Charlortte FC? hata game za pre season Galagher hakucheza kama alivyokuwa anacheza Palace hadi wengine tukaanza kumlinganisha na Mount. Kwa maoni yangu Broja na Galagher bado sana kwenye first squad, watatupotezea muda. Kama wana haraka wasepe, kama wanaipenda timu wafuate utaratibu wa kocha na ushauri wake. KOcha na wasaidizi wake wa ufundi wanawafahamu hao vijana kuliko sisi
Mkuu huenda ukawa na namba 9, ila asiendane na movement za wenzake,Sawa boss. Siyo issue ya assumptions. Kama uliangalia game vizuri, uliona ni cross ngapi zimepigwa mahali ambapo alipaswa awepo namba 9? Kwanini Broja asiwepo kwenye position yake wakati ni sehemu anayopasa kuwepo? Jana tumepoteza point zile kwa kukosa namba 9, hata kama utabisha na haitaondoa huo ukweli.
Weka na ya spurzJames 2nd goal View attachment 2324132
Hapa angekuwa kai angekosaJames 2nd goal View attachment 2324132
Hapa umeongea kama mshabiki wa mpira unayejua mpiraNyie hamna forward ,mech mngeimaliza first half
Leo nilitegemea Spurs apaki bas asubiri miujiza ,na kweli imekuwa hivo
Spurs akikutana na timu inayofanya buildup anapaki basi
Everton vs Chelsea ilikuwa mech Ngumu kuliko hii ya spurs vs Chelsea ilikuwa mech nyepes kwa Chelsea
Goli alilokosa kai Lile mngekuwa hata na Auba ile kamba
Spurs hata kwa timu ndogo anapaki bas ,anakuja kuwafunga kwa kaunta
Naona unaenda kea kasi ishafika elfu 73 muda soon inatumia elfu 75 kwani mkuu hii petition imeanza muda gani
Nadhani kwenye saa 3 usiku saa za huku kwetu au saa moja usiku saa za LondonNaona unaenda kea kasi ishafika elfu 73 muda soon inatumia elfu 75 kwani mkuu hii petition imeanza muda gani
Nashukuru Juan. Mimi nimewaza kuwa na namba 9 kwasababu ya zile cross zilizokuwa zinapigwa jana ndani ya box. Zile zingekuwa zinamkuta natural striker game ingeisha mapema sana jana. In and out striker ambaye siyo mvivu anajua kabisa wakati gani awe wapi. Angalia uchezaji wa Costa akiwa Chelsea na Jesus huyu ambaye yuko Arsenal sasa hivi. Siyo target men lakini ni namba 9 ambao ni lethal kabisa. Wanashuka kutafuta mipira lakini anajua atapokelea mpira eneo gani kwa ajili ya kufunga. Angalia pia magoli ambayo amefunga akiwa timu ya taifa na magoli aliyowafunga Man U, Tottenham na Brighton ndio utajua kuwa dogo ni fundi sana.Mkuu huenda ukawa na namba 9, ila asiendane na movement za wenzake,
Uchezaj wetu hautaki mtu ambae anakaa sehem moja tu, unahitaj mtu ambae anao uwezo wa kudrop na kuchukua mipira, or aende pemben huku wenzake wa kioccupy space iliyoacha
Ivan Toney namuona kabisa akiendana na uchezaj wetu,
Broja bado anasafar ila sio wa kumpa 100% majukum ya kuscore, tho anastahil chance kama anayopata kai,
Tunza hii itakusaidia conte na Spurs yake ndio team pekee kwa Sasa inayoweza kuifunga çity na Liverpool bila stress .Umri umesogea siongei sana.Wanakubishiaga Sana Lakin unasema ukweli,
Jana mngekuwa na no.9 mechi ingeisha kipind Cha kwanza,
Lakin kukosa CF ,Spurs walijua utafika muda watapata goli tu, acha wazuie TU.
Spurs Ni timu inayosubiri miujiza ya kaunta na papatu ,
Everton alitoa game haswa kwa Chelsea
Spurs alikuwa urojo ,halafu Kuna kenge zinakwambia Spurs atagombea ubingwa😂😂
Jesus ni mtu sahihi kwa mfumo wetu, ni moja ya mchezaj ambae nilitaman tungemsajil, kwa jins tunavyocheza angefunga sanaNashukuru Juan. Mimi nimewaza kuwa na namba 9 kwasababu ya zile cross zilizokuwa zinapigwa jana ndani ya box. Zile zingekuwa zinamkuta natural striker game ingeisha mapema sana jana. In and out striker ambaye siyo mvivu anajua kabisa wakati gani awe wapi. Angalia uchezaji wa Costa akiwa Chelsea na Jesus huyu ambaye yuko Arsenal sasa hivi. Siyo target men lakini ni namba 9 ambao ni lethal kabisa. Wanashuka kutafuta mipira lakini anajua atapokelea mpira eneo gani kwa ajili ya kufunga. Angalia pia magoli ambayo amefunga akiwa timu ya taifa na magoli aliyowafunga Man U, Tottenham na Brighton ndio utajua kuwa dogo ni fundi sana.
Chelsea ni team kubwa sana ndiyo, lakini nadhani tunapandisha mabega mno na hata talents kubwa tunaziona average lakini wakienda kwingineko wanakuwa hatari na hawaachagi kutufunga. Kwa mtazamo wangu binafsi sioni kama Havertz ni mzuri zaidi kuliko Broja.
Tammy Abraham ndo mtu sahihiMkuu huenda ukawa na namba 9, ila asiendane na movement za wenzake,
Uchezaj wetu hautaki mtu ambae anakaa sehem moja tu, unahitaj mtu ambae anao uwezo wa kudrop na kuchukua mipira, or aende pemben huku wenzake wa kioccupy space iliyoacha
Ivan Toney namuona kabisa akiendana na uchezaj wetu,
Broja bado anasafar ila sio wa kumpa 100% majukum ya kuscore, tho anastahil chance kama anayopata kai,
Nyie hamna forward ,mech mngeimaliza first half
Leo nilitegemea Spurs apaki bas asubiri miujiza ,na kweli imekuwa hivo
Spurs akikutana na timu inayofanya buildup anapaki basi
Everton vs Chelsea ilikuwa mech Ngumu kuliko hii ya spurs vs Chelsea ilikuwa mech nyepes kwa Chelsea
Goli alilokosa kai Lile mngekuwa hata na Auba ile kamba
Spurs hata kwa timu ndogo anapaki bas ,anakuja kuwafunga kwa kaunta
Akipona Sana 4Ukishinda kwa spurs hii, niitwe mbwa niko pale.
Mm siongei sanaTunza hii itakusaidia conte na Spurs yake ndio team pekee kwa Sasa inayoweza kuifunga çity na Liverpool bila stress .Umri umesogea siongei sana.