Leo tupo kibanda umiza kumshuhudia Halima Gwaya akiingia kambani mara mbili, ila kwenye goal lake.Nyie wavaa blauz fanyeni haraka mumsajili Maguire aokoe jahazi kabla dirisha halijafungwa.
Raha sana kuziona kenge zinableed.
Kiukweli tunahitaji kusajili angalau Dm.Tuchel kwa sasa simuelewi kabisa, ana uchezaji wa kipumbavu sana. Mpira umepooza sana utadhani wanacheza wagonjwa mbinu kaishiwa.
Bado kiungo chetu takataka, bado CF akiletwa hamna kitu kitafanyika.Ukiona subs ambao wanatarajia kubadili matokeo ni Ziyech na Pulisic (unhappy players) ambao wamaeoneshwa kuwa hawapo kwenye mipango ya TT na wapo sokoni kama mteja atapatikana, ujue hali yetu ni mbaya sana. We'll be a midtable team this season. CF is mandatory. Short of that, tutafungwa hadi tuchakae. Sasa hivi tunayo nakisi ya magoli 2.
We ni ndugu yetu kabisa msimu huu.... we subiri.Chaliiiiii OllaChuga Oc [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikusihi uache kushangilia hawa Chelshitttt
Safari hiii Tuchel atabaki mifupa tupu kwa kukonda
Undugu na wewe Chelsea tumeanza lini?🤣🤣🤣We ni ndugu yetu kabisa msimu huu.... we subiri.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Bado kiungo chetu takataka, bado CF akiletwa hamna kitu kitafanyika.
😂😂😂😂😂😂😂😂Leo tupo kibanda umiza kumshuhudia Halima Gwaya akiingia kambani mara mbili, ila kwenye goal lake.
CF bila kuwa na viungo wenye uwezo wa kucreate chance ni kutaka kumtukana bure,Ukiona subs ambao wanatarajia kubadili matokeo ni Ziyech na Pulisic (unhappy players) ambao wamaeoneshwa kuwa hawapo kwenye mipango ya TT na wapo sokoni kama mteja atapatikana, ujue hali yetu ni mbaya sana. We'll be a midtable team this season. CF is mandatory. Short of that, tutafungwa hadi tuchakae. Sasa hivi tunayo nakisi ya magoli 2.
Wape nafas wakina pulisic n ziyech ,broja na wenyewe,Wakisugua mtawapanga akina nani?
Mendy anarudia makosa yake, akikaa bench hata gane 2/3 akili itamkaa sawa,Thomas Tuchel: "Edouard Mendy knows himself. With these kind of mistakes, I don’t know if it is necessary to speak about it. He knows himself and it has nothing to do with protecting him, everybody in the world sees that mistake."
(Chelseafc)
Against tim kubwa huwa tunacheza vizuri, ila sasa njoo kwa hivi vitim vidogo yani utakuta tunacheza kama tumelazimishwa, tunastruggle kucreat chanceKiukweli tunahitaji kusajili angalau Dm.
Yaani tulivocheza dhidi ya Totte na tulivocheza jana ni tofauti.
Timu mbili tofauti, wakati utofauti ni absense ya mchezaji mmoja tu [Kante].
Chelsea waachane na Auba wamsajili Ivan Tonney
Maoni yangu
Auba ni mfungaji mzuri lakini kama Ivan Tonney atakuwepo katikati, basi Tonney atakuwa na vitu vingi vya kuleta darajani zaidi ya Auba
Well said bro. Sisi wengine ukituuliza tunaipendea nini Chelsea siwezi kukupa jibu la moja kwa moja. Nilianza kuishabikia ikiwa inamaliza ligi nafasi kati ya 6 na 10 miaka ya '94.allypipi naona umepata pa kujifariji 🙂
Leo tumepoteza na tumekula kichapo kweli!
Wale waliosema Lampard alikuwa takataka bila shaka wanaelewa maana ya kusuka kikosi. Sio kazi rahisi hata. Always will appreciate kazi ya Frank ya kututengenezea kikosi. Alikosa mbinu tu na akawa na mahaba kwa baadhi ya wachezaji.
TT ana mbinu ila kikosi kusuka sioni kama anaweza kivile. Ila ndio hivyo tena ndio kocha na tunaye kwa muda ninavyoona!
Cha msingi sisi CFC originale hatuogopi kuwa chini. Maana tangu awali tulikaa sana huko. Ila bado naamini bado tuna uwezo wa kuchukua nafasi tatu za juu. Ligi bado sana hii!
Ukiangalia maongezi ya Tuchel nikwamba hakuna mpango kabisa kusajiri kiungo labda mabeki ndio target yakeCF bila kuwa na viungo wenye uwezo wa kucreate chance ni kutaka kumtukana bure,
Kutegemea Wingback or Sterling wacreate chance ni tatizo,
Niliwahi kumsema TT kuwa sometime anachangia ubovu wa wachezaji nikashambuliwa wee Hadi nikanyamaza tu. TT ni kichaa, siku kichaa chale kikimtuma vizuri tutashinda, siku ikimtuma vibaya mambo ndio kama ya Jana.Mtu wa kwanza kutimuliwa pale Chelsea ni kocha, hafai tena kuwa pale.
Tatizo la Tuchel ni muoga pia hawamini wachezaji wakeWape nafas wakina pulisic n ziyech ,broja na wenyewe,
Mbona wenyewe wakizingua bench linawahusu, tuko gw3 havertz n mount wamefanya nini mpk sasa hakuna.
Mendy ndio chanzo mpaka tukatolewa na Madrid UefaMendy nilimsema vibaya Kwa uzembe dhidi ya westham msimu uliopita Jana karudia Tena uzembe anataka kuwa kama mesi golini?
wewe ni muongoWell said bro. Sisi wengine ukituuliza tunaipendea nini Chelsea siwezi kukupa jibu la moja kwa moja. Nilianza kuishabikia ikiwa inamaliza ligi nafasi kati ya 6 na 10 miaka ya '94.