Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ukweli Auba akiwa form Ni mnyama analijua goli ,sio Siri

Ila mwenzako ameangalia factors Kama umri, kufanya linkup play, hivo vitu Toney anavyo ,Auba Hana
Ila SWALA la finishing Auba hata mechi na Leeds , Spurs mngeshinda .
Chelseafc wanataka kumsajili Auba kama short plan sasa nashangaa jamaa anavyomganda huyo mchezaji wake
 
Msimu ule na Huu upo mlikuwa na kikosi kizuri Cha ushindi?
Hichohicho kikosi chetu Lakini tulishinda FA na Carabao
Bado Uefa tumefuzu fainali na Epl tukawa namba 2.
Haya nyie mmeshinda kikombe gani hapo?
 
Nadhan kuna kitu umekikosea kidogo hapo kwa Tuchel,

Kwa utawala wa Roman, uko sahihi

Ila kwa utawala wa sasa wa Boehly-Clearlake, Tuchel anamamlaka yote unayoyasema hapo, Now yeye ndie anaeamua nani anamtaka nani hamtaki,

Ndio maana leo hii wako kwenye mazungumzo yakumuongezea mkataba,

Issue ya kufukuzwa, unawaza ukawa unamamlaka yote kwenye tim na ukapewa mahitaj yako yote ukishindwa kudeliver watu wanakutimua
 
Mkishinda Tuchel fundi
Mkipigwa hafai[emoji23]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Yaani wewe Saint unasubiri tu tufiwe ndio uje, mbona ninyi mkifanya vizuri tunakujaga kuwapongeza. Sio vizuri naman hiyo, mpira ni kujenga urafiki ndio maana kila mechi ikiisha makocha wanasalimiana, wachezaji wanabadilishana hadi jezy. Karibu darajani, mpira ni kufungwa, kudroo na kufunga
 
Sababu kuu ya kufungwa jana sio Mendy wala Koulibally sababu ya kusema hivyo hao walifanya minor mistakes
Sababu kuu ni kule mbele na viungo wote kwa uzito mmoja. Kule mbele wangekuwa wakatili na viungo wangekata umeme Chelsea ingeondoka na point tatu hata kama tumefungwa kwa sababu ya uzembe wa Mendy
Timu pinzani zimegundua kuwa forward wetu ni butu na hawana madhara hata wakiachiwa goli tupu. Huu ndio ukweli. hatuna mtu wa kuogopwa pale mbele. Hawa walipo hata ukiwachia goli hawawezi kufanya kitu ni sawa na hanisi umuachie binti aliyepevu hata kumpa mimba hawawezi. Ndio maana timu pinzani wametuzoea kama watoto wa shangazi na mjomba. Tungekuwa na Drogba pale mbele nani angetoka golini?
 
Eti nini! Beki la...??? Tunasubiri combination yake na Maguire.[emoji38]
View attachment 2331279
Jina lake kamili ni Koloboi-Kalabai ni miongoni mwa beki nguli zaidi kuwahi kutokea kwenye history ya soka maana hua anakaba mpaka koromeo.
Sipati picha combinenga yake pamoja na Le Captain Maguire mwenye uwezo wa kukaba mpaka team mates wake.
 
Tunashida eneo la kiungo na Striker

Viungo tulionao sioni wakutoa assist hata 10,
Kante sio,Kovacic sio,Jorginho sio,RLC sio,

Tunahitaj kuwa na elite creator, vile vile tuwe na proper no 9, pamoja na Rw mzuri kwenye 1v1
 
Sisi mashabiki wa Soka tunashukuru kufahamishwa mapema kua Chelsea ni Club iliyojaa makhanithi.
 
Tunashida eneo la kiungo na Striker

Viungo tulionao sioni wakutoa assist hata 10,
Kante sio,Kovacic sio,Jorginho sio,RLC sio,

Tunahitaj kuwa na elite creator, vile vile tuwe na proper no 9, pamoja na Rw mzuri kwenye 1v1
Plisic ziechy mount odoi, kwa mfumo wa uchezaji hawana impact yoyote kwenye timu, bora wauzwe hata kwenye hasara tupata nafasi ya kupanga safu ya ushambuliaji hatari, vijana wapo kwenye hizi team za middle table wazuri sanaa
 
Plisic ziechy mount odoi, kwa mfumo wa uchezaji hawana impact yoyote kwenye timu, bora wauzwe hata kwenye hasara tupata nafasi ya kupanga safu ya ushambuliaji hatari, vijana wapo kwenye hizi team za middle table wazuri sanaa
Nakuunga mkono
 
Mendy ndio chanzo mpaka tukatolewa na Madrid Uefa
Hapo nitatofautiana na wewe. Chanzo ilikuwa kocha. Siku ile Kante hakuwa vizuri kwenye kuzuia na alishafanya fatal mistakes kadhaa. Badala ya kum sub, TT akakomaa naye mpaka akasababisha goli. Karudie kuangalia tulivyofungwa.
 
Plisic ziechy mount odoi, kwa mfumo wa uchezaji hawana impact yoyote kwenye timu, bora wauzwe hata kwenye hasara tupata nafasi ya kupanga safu ya ushambuliaji hatari, vijana wapo kwenye hizi team za middle table wazuri sanaa
Hata Mount unamuweka, kweli wewe umetumwa, mchezaji mwenye uwezo wa kufukisha double digits kwenye magoli na assists kweli na ameprove hivyo. Mchezaji bora kwa misimu miwili iliyokaribiana, misimu mitatu ya first team, mchezaji bora misimu miwili. Futa kauli yako juu ya Mount ama watakuona huelewi soka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…