Sio kwamba namtetea, anapozinguq huwa nasema tuchel kazingua,Unajitahidi sana kumtetea TT lakini madhaifu yake unayaficha na yameshaanza kuonekana ni swala la mda tu wote tutaongea lugha moja
Bado ajapewa kile anachotaka. Mpatie DOF mzuri atakaeweza fanya nae kazi halaf ampatie wachezaj watakaoendana na mfumo wake,Klopp kwa mafanikio aliyowapa Liverpool hakuna cha kumlaumu pale ila TT anapewa kila anachotaka lakini bado hueleweki kabisa
Kwani TT ana mfumo, mimi naona tu mimbinu pale ambazo leo mara zifanye kazi mara zifeli, Kinachofanya wachezaji wengi waflop ni kukosekana kwa mfumo stable itakayomfanya TT ajulikane kwa huo mfumo. May be huko tuendako tutamsoma ila kwa sasa mimi binafsi sioni mfumo pale. Hata huyo DOF akija atawaleta wachezaji wa kufit mfumo upi uliopoBado ajapewa kile anachotaka. Mpatie DOF mzuri atakaeweza fanya nae kazi halaf ampatie wachezaj watakaoendana na mfumo wake,
Wachezaj ambao kawasajil kwa matakwa yake ni 3 tu mpk sasa unaposema anapata kila anachotaka unakosea, ingekuwa hivyo leo hii tusingekuwa tunapigania kukamilisha deal za wachezaj.
Klopp kaifanya liverpool kuwq strong kwa sababu aliweka wachezaj wake na kuwatoa wote aliowakuta ukimtoa henderson kama sijakosea
Kwa mafaniko Klopp ndani ya liverpool bado sana
Ukitoa Epl,carabao,fa cup n community shield ni hivyo tu pekee alivyomzidi Tuchel kwa england.
Ukitaka kujua TT ana shida, wee fuatilia, Sterling atasota sana kufunga hadi atawekwa benchi, narudia tena kusema haiwezekani wachezaji wengi wala sio wachache walikuwa wanafanya vizuri kwenye timu zao wamekuja Chelsea na kuflopBado ajapewa kile anachotaka. Mpatie DOF mzuri atakaeweza fanya nae kazi halaf ampatie wachezaj watakaoendana na mfumo wake,
Wachezaj ambao kawasajil kwa matakwa yake ni 3 tu mpk sasa unaposema anapata kila anachotaka unakosea, ingekuwa hivyo leo hii tusingekuwa tunapigania kukamilisha deal za wachezaj.
Klopp kaifanya liverpool kuwq strong kwa sababu aliweka wachezaj wake na kuwatoa wote aliowakuta ukimtoa henderson kama sijakosea
Kwa mafaniko Klopp ndani ya liverpool bado sana
Ukitoa Epl,carabao,fa cup n community shield ni hivyo tu pekee alivyomzidi Tuchel kwa england.
Klopp ana miaka mingapi Liverpool na TT ana miaka mingapi Chelsea?Klopp kwa mafanikio aliyowapa Liverpool hakuna cha kumlaumu pale ila TT anapewa kila anachotaka lakini bado hueleweki kabisa
Vipi huko alipotoka alikuwa hana mfumo maalum kuanzia Dortmund mpk PSGKwani TT ana mfumo, mimi naona tu mimbinu pale ambazo leo mara zifanye kazi mara zifeli, Kinachofanya wachezaji wengi waflop ni kukosekana kwa mfumo stable itakayomfanya TT ajulikane kwa huo mfumo. May be huko tuendako tutamsoma ila kwa sasa mimi binafsi sioni mfumo pale. Hata huyo DOF akija atawaleta wachezaji wa kufit mfumo upi uliopo
Je hao wachezaji wameanza kuflop wakat amekuja tuchel au huko mwanzo wakat wa lampard walitoa performance nzuri???Ukitaka kujua TT ana shida, wee fuatilia, Sterling atasota sana kufunga hadi atawekwa benchi, narudia tena kusema haiwezekani wachezaji wengi wala sio wachache walikuwa wanafanya vizuri kwenye timu zao wamekuja Chelsea na kuflop
Nampenda sana TT ila asipobadilika mimi nitaacha kumsema vizuri
Huyo ukitaka kujua kichaa angalia alivyomng'ang'ania Conte baada ya mechi na alivyopigwa bana bado anabisha kuwa hakufanya kosaJe hao wachezaji wameanza kuflop wakat amekuja tuchel au huko mwanzo wakat wa lampard walitoa performance nzuri???
Hapa Chelsea nitajieni mfumo anaotumia TT achana ya kale ya huko DortmundVipi huko alipotoka alikuwa hana mfumo maalum kuanzia Dortmund mpk PSG
Hizo issue huwa zinatoka, mourinho vs wenger , ugomvi katik mpira huwa nikitu cha kawaidaHuyo ukitaka kujua kichaa angalia alivyomng'ang'ania Conte baada ya mechi na alivyopigwa bana bado anabisha kuwa hakufanya kosa
343/4222 hybridHapa Chelsea nitajieni mfumo anaotumia TT achana ya kale ya huko Dortmund
United anaenda kupigwa na kitu kizito hapo ,ajax watafika Hadi £100million [emoji23][emoji23][emoji23]na manyumbu watatoa tuHUYU ANA NINI?
View attachment 2335798