Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kocha anakera kweli kweli, wachezaj wengine wasipoperform wanaozea benchi ila wengine kama kina mount, Havertz, kubwa jinga Jorg. bado wanapewa tu nafasi, Gilmour ni bonge la mchezaji akiaminiwa na kipewa nafasi.
 
Fofana to US for extra medical check up. Usajili wake utacheleweshwa
 
Ronaldo kwa mfumo wa tt hafai aseh labda la muda tu...aubemayang ndo option aliyebaki...au wamwamini broja kama central srtiker
 
Lampard amchukue mwanae sasa yuko Free. Heri kwake uko aendakoView attachment 2338808
Waliendekeza uingereza wao, ndo shida ile ile ya Mount wana m over rate na media zao kwamba atakua poteial first class player, wakati Mount ni mchezaji wa kawaida kutoka academy wangetupisha tupate wa Brazil wenye vipaji vya mpira asilia
 
Mason Mount bado ni mchezaji mzuri na ameprove hivyo misimu mitatu aliyocheza. Takwimu zake zinamlinda hata asemwe vipi. Na sijui kwa nini Mount haeshimiwi hata kule Uingereza walimsema sana hivi hivi na akabeba uchezaji bora mara mbili. Drop form ya mchezaji ni kawaida tena at that young age. Tusajili tu competitor wake utaona uzuri wake badala ya yeye kila mechi anacheza hadi anakuwa anachoka
 
Waliendekeza uingereza wao, ndo shida ile ile ya Mount wana m over rate na media zao kwamba atakua poteial first class player, wakati Mount ni mchezaji wa kawaida kutoka academy wangetupisha tupate wa Brazil wenye vipaji vya mpira asilia
Waliendekeza Uingereza kama ambavyo TT anaendekeza Ujerumani kwa Kai.
Anyway, jaunty Mason, mashabiki walimuita coach's pet lakini alionesha uwezo mkubwa sana hata baada ya Lamps kuondoka hadi sasa. Huwezi kuperfom kwa kiwango kile kile kila siku. Katika kila nyanja kuna kushuka na kupanda. Mason apewe heshima na sifa anazostahili kwasababu ameifanya kazi yake vyema kadiri alivyopewa nafasi.
 
Nimempenda uchambuzi wako na subilia unitajie hizo heshima za manson Mount alizo leta Chelsea anazo sitahili, kumzidi James, covici au Kante, tusifuate ushabiki wa media za uingereza, huyu Mount kwa umri wake anapaswa awe kwenye peak kwa kupanda sio kwa kushuka. Naomba ufanye uchambuzi mdogo huyu best player Mount ukimpeleka Liverpool atamkosesha nani number kwenye 1st eleven yao.
 
Mkuu hamna alie sema kwamba ni mbaya hapana, Chelsea ndo kubwa kwake, hawezi kua key striker wa team kubwa kama Chelsea, linganisha na top 4 epl team wenye strker kama huyu ..... Mount anapaswa kua key striker wa middle table team kwa Chelsea is over rated, kocha kama Jose morinuo hawezi kumpanga first eleven yake, huyu ni media player
 
Kumuweka mtu benchi hii ni comparizon ya kizamani mno. Kila mchezaji an uwezo na udhaifu wake, peculiar talents zinazomfanya ushindwe kumlinganisha na mwingine. Mason Mount kwenye attacking phase ni mchezaji wa caliber ya juu sana ndie atakayemfanya sub - yaani aanzie bench
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…