Bila shaka umeandika ili tufurahi, anyway Nmecheka.Nyie kenge msijisahaulishe leo timu lenu la watovu wa nidhamu lipo uwanjani likijiandaa kupokea kipigo toka kwa Soton, beki nguli ya dunia Koloboi Kalabai pamoja na kocha mahiri wa Judo Thomas Tuchelewe zitakuwepo uwanjani baada ya kumalizia adhabu zao za utovu wa nidhamu.
Leo sijui kenge gani nyingine itakula umeme[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2339663
Mm namkubali Foden kinomaKatika hii list ya competitors wa Masaon Mount
ni Bukayo Saka na Jadon Sancho tu ndio wanaweza kulingana au kumpita kidogo Mount kwenye general performance tena Sanchos mpaka uchukue takwimu za Bundelsiga, EPL bado hajamfikia Mount
- Bukayo Saka
- Phil Foden
- Jadon Sancho
- Marcus Rashford
- Martin Ødegaard
- Gabriel Martinelli
- Emile Smith Rowe
Gabriel Slonina (GK), Arsen Zakharyan (MF), Wesley Fofana (CB) (99% completed)Vitu vilivyotinga Darajani.... huku bado jicho kwa Striker mmoja na Beki Moja kabla ya dirisha kufungwa kesho saa sita usiku.
Marc Cucurella - Chelsea, £60m
Raheem Sterling - Man City, £47.5m
Kalidou Koulibaly - Napoli, £33m
Omari Hutchinson - Arsenal, free
Carney Chukwuemeka - Aston Villa, £20m
Cesare Casadei - Inter Milan, £16.8m
Chukwemeka siyo DMHata baada ya majeruhi ya Kante na Kovacic bado TT hakumpa Chukwuemeka nafasi?
This is Bumpy ride.Leo James hakufanya mazoezi, inasemekana alipata nock, Kova hayupo fit kiasi. TT amemuita Billy Gilmour akae kati na Jorginho ili RLC acheze kama wingback badala ya James. Tighten your belts, rough ride ahead....
Kova kwani ni DM?Chukwemeka siyo DM
Sio DM.Chukwemeka siyo DM
Wau!!Exclusive.
Chelsea wako katika mazungumzo ya kumsajil Josko Gvardiol kwa ada ya £77M, ila atabaki Rb Liepzig mpk 2023 ndipo atakapojiunga
Source-Fabrizio Romano
Kwani kamuweka tena leo!,Tuchel huwa anapewa kitu gani na Kai?
Baada ya josko,timu itakua hiviWau!!
Kwani kamuweka tena leo!,
Tulikuwa na mtizamo mbovu juu ya wamarekani, Boehly amekuja Chelsea kwa wakati muafaka, sajili anazofanya unaona maono aliyonayo ya muda mfupi na muda mrefu. Chelsea itakuja kutawala epl na UCL miaka michache ijayo. Yajayo yanafurahisha zaidiExclusive.
Chelsea wako katika mazungumzo ya kumsajil Josko Gvardiol kwa ada ya £77M, ila atabaki Rb Liepzig mpk 2023 ndipo atakapojiunga
Source-Fabrizio Romano
Leao bei yake 120m+ZAHA tena.!? Hiyo takataka ije kufanya nini sasa, kwan usajili wa Rafael Leao uliishia wapi?
Chukwemeka siyo DM