Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,306
- 32,797
Alianza kushoto hasa Sterling alikuwa anacheza kulia ila kumbe nimegundua kawekwa false no9 na Havertz kushotoMkuu mbona ziyech anacheza kulia au macho yangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata hivyo leo wamejitahidi sana, mpaka HT hakuna mchezaji aliekula umeme.Wazee wa kamubaki na red card Leo mtatueleza vizuri kenge ninyi
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kenge zinakimbia tu hovyohovyo uwanjani kama zile nguruwe zilizotupiwa mapepo kipindi cha Yesu.Kamon wanangu wa soton[emoji1434]
Peleka moto mpka cheltako wakimbie ligi
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
hii TT aisomeKijana wetu huyo ni HT tu kashapiga Hattrick hukoView attachment 2340437
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi mna uhakika huyu babu kweli ni kocha ?hii TT aisome
Mbinu na mifumo ya TT kule mbele ndio mibovu na bado anatetewa
Yeye anaweka msisitizo tu kwenye mabeki ndio maana hata katikati haoni kama kuna tatizo. Karidhika na akina Jorginho na RLC wakati hao ndio walitakiwa kuwalinda mabeki
Leo zamu ya Kai kula umeme[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata hivyo leo wamejitahidi sana, mpaka HT hakuna mchezaji aliekula umeme.
Ila kwa jinsi walivyo panic sidhani kama kipindi cha pili watamaliza salama bila mchezaji yoyote kupigwa shoti.
Raha sana kuona Kenge zikiteseka.
Hichi ni kikundi Cha wahuni[emoji23][emoji23][emoji23]Kijana wetu huyo ni HT tu kashapiga Hattrick hukoView attachment 2340437
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hichi ni kikundi Cha wahuni[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Me naona kwa werner, ligi ilimkataa tu sio kwamba chance alikuwa hapat. Chance za kuscore alikuwa anapata ni vile alikuwa hayuko clinicalhii TT aisome
Mbinu na mifumo ya TT kule mbele ndio mibovu na bado anatetewa
Yeye anaweka msisitizo tu kwenye mabeki ndio maana hata katikati haoni kama kuna tatizo. Karidhika na akina Jorginho na RLC wakati hao ndio walitakiwa kuwalinda mabeki