Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,074
- 27,490
Wazungu huwa hawaamini hayo mamboHii namba kwetu hainaga bahati kabisa bora angechagua namba nyingine
Nafikiri wanacheza 3-1-4-2 ambayo ni derivative ya 352
Dua la kifaranga 😉Westham jikazeni mpate hata sare tu
Yaan wanakelele Sana ,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] yani hata kama mikeka inachanika iache tu acha mfungwe tu mnakelele sana.