Goal la Sancho dhidi ya Chelsea ilikua ni Jorge's fault, goal la emilwa totenham juz ilikua ni Jorge's fault, missed goal by conert juz ilikua ni Jorge's fault, own goal dhidi ya Man City.Jorginho nick name yake sasa ni "lossing possion on his final third"
Lile goli alilokosa Konnect likagonga mwamba ni baada ya Jorginho kizembe kabisa kupoteza possesion kwenye eneo la hatari. Hii imekuwa ni kawaida yake na kocha anaona sawa, kapewa mahela mengi asajili halafu anaacha na kuendelea kumtegemea Jorginho ambaye enzi yake imeisha kabisa
Umeongea point kubwa sanaGoal la Sancho dhidi ya Chelsea ilikua ni Jorge's fault, goal la emilwa totenham juz ilikua ni Jorge's fault, missed goal by conert juz ilikua ni Jorge's fault, own goal dhidi ya Man City.
Mi machache nnayokumbuka kuhusu utumbo wa Jorginho, mwanetu akiwepo Kwa ground Chelsea tunatulia sana na mpira ila lazima atachoma.
Nadhan muda system nzima ya kucheza itakapobadilika ndipo Chelsea tutamuacha Jorginho lakn Kwa Sasa ni ngum sana.
Sorry sio mwandishi mzuri though 😂😂
Hapa kwa Azplicueta ni bora angeanza chalobah
Mkongwe ni mkongwe tuHapa kwa Azplicueta ni bora angeanza chalobah
Nilivoona tu kikosi sijataka hata kwenda kuangalia match, nilijua tu tutakuwa tunacheza utoto.Tunacheza ujinga ujinga tu
Mtoto mdogo unakuwa mchawiZagreb tuna jambo letu leo [emoji91][emoji91][emoji91]
Hivi vitoto vya DZG ni hatari sana,vinajua kuuchezea mpira