Kweli dunia ni mzunguko!Chelsea yetu ya sasa ni nzuri na itatupa motokeo ni suala la mda idara nyingi zimekamilika baada ya Auba kufika.
isipo kua timu inakosa kiongozi wa team kuongoza wachezaji awe match reader na mbunifu, aina ya hazard. Willlian Terri nk.
TT sio mbaya kiasi hicho kama mnavo msema isipo kua na sisi washabiki tunahitaji quick results na pia timu selection yake some time inakua na kasoro hususani kuamini hao vijana wasio kua na uzoefu na ubunifu Plusic + Mount + ziechy + Kei = hao ndo watakao mgharimu atafute mfumo unao walazimu kuanzia bench.
Chama kubwa dunianiWe mdada unashabikia timu gani
Sio mbaya ila kashindwana na wachezaji, Kashapotea na kwa sasa anajaribu kuyaokota maji na kuyarudisha kwenye guniaChelsea yetu ya sasa ni nzuri na itatupa motokeo ni suala la mda idara nyingi zimekamilika baada ya Auba kufika.
isipo kua timu inakosa kiongozi wa team kuongoza wachezaji awe match reader na mbunifu, aina ya hazard. Willlian Terri nk.
TT sio mbaya kiasi hicho kama mnavo msema isipo kua na sisi washabiki tunahitaji quick results na pia timu selection yake some time inakua na kasoro hususani kuamini hao vijana wasio kua na uzoefu na ubunifu Plusic + Mount + ziechy + Kei = hao ndo watakao mgharimu atafute mfumo unao walazimu kuanzia bench.
Hiki ndicho kinachowaumiza zaidiAshley Cole
William Gallas
Cesc Fabregas
Oliver Giroud
Walipotoka kule kwa gooners ,asenyeto aser8
Wakaja darajani wote walibeba makombe.
Ukiwafatilia hadi Leo kwenye mitandao yao wanaizungumzia zaidi Chelsea kama nyumbani kwao kuliko kule kwa pretenders wa ligi.[emoji1][emoji1787]
Ndipo uwezo wa wachezaji ulipoishia.Goli lilifungwa dk ya 13 kweli dk 77 zote tumeshindwa kurudisha goli?
Kwa Gallas umekosea, alitoka Chelsea akaenda ArsenalAshley Cole
William Gallas
Cesc Fabregas
Oliver Giroud
Walipotoka kule kwa gooners ,asenyeto aser8
Wakaja darajani wote walibeba makombe.
Ukiwafatilia hadi Leo kwenye mitandao yao wanaizungumzia zaidi Chelsea kama nyumbani kwao kuliko kule kwa pretenders wa ligi.[emoji1][emoji1787]
Hao wamepewa nafasi za kutosha ila wameshindwa ku-prove kama wanaweza kufunga hawawezi kabisa Mount na Kei pamoja na Zienchy hawakuonekana kwenye match ya jana kwanini ung'aganie hao wachezaji potential flopers japo umri wao bado sana.Kweli dunia ni mzunguko!
Wakati sisi tunalia mizee ipumzike, vijana wapewe nafasi ili wapate uzoefu...Wewe unasema waanzie benchi.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Waliotoka Arsenal kati ya 2004 hadi sasa na kuja kuvuna mataji Chelsea niAshley Cole
William Gallas
Cesc Fabregas
Oliver Giroud
Walipotoka kule kwa gooners ,asenyeto aser8
Wakaja darajani wote walibeba makombe.
Ukiwafatilia hadi Leo kwenye mitandao yao wanaizungumzia zaidi Chelsea kama nyumbani kwao kuliko kule kwa pretenders wa ligi.[emoji1][emoji1787]
Acha uchawi basiAu hawa wachezaji wote wapewe Sumu wafe tu
🤣🤣🤣🤣pretenders wa ligi.
Labda kombe la chai😆😆😆Mashabiki wa Arsenal mnaumia sana Auba kuja Chelsea kwa sababu mnaamini story ya Auba haitakua tofauti na ya Giroud, atabeba makombe ambayo huko kwenu mnayaota kila uchwao.
Huwezi kuita ni judgement mbaya wakati pass aliyompa sterling ilikuwa nzuri na sterling alikuwa yupo pekee yake ingawa pia alikuwa na nafasi nzuri yeye nae kufunga yeye akachagua kumpa sterlingHiyo chance sikuona nilikuwa sijakaa kwenye TV lakini nilikuta watangazaji wakimlaumu Auba kwa kufanya judgement mbaya, nafasi hiyo alitakiwa apige mwenye akajifanya mkarimu mno
All in all sio judgement nzuri kama alikuwa kwenye nafasi nzuri ya kufungaHuwezi kuita ni judgement mbaya wakati pass aliyompa sterling ilikuwa nzuri na sterling alikuwa yupo pekee yake ingawa pia alikuwa na nafasi nzuri yeye nae kufunga yeye akachagua kumpa sterling
Angepiga na kukosa bado mngemlaumu vilevile kuwa ni mbinafsi,kwanini hakumpasia mwenzie akiyekuwa sehemu nzuri zaidi.Hiyo chance sikuona nilikuwa sijakaa kwenye TV lakini nilikuta watangazaji wakimlaumu Auba kwa kufanya judgement mbaya, nafasi hiyo alitakiwa apige mwenye akajifanya mkarimu mno