Jorginho nick name yake sasa ni "lossing possion on his final third"
Lile goli alilokosa Konnect likagonga mwamba ni baada ya Jorginho kizembe kabisa kupoteza possesion kwenye eneo la hatari. Hii imekuwa ni kawaida yake na kocha anaona sawa, kapewa mahela mengi asajili halafu anaacha na kuendelea kumtegemea Jorginho ambaye enzi yake imeisha kabisa
Goal la Sancho dhidi ya Chelsea ilikua ni Jorge's fault, goal la emilwa totenham juz ilikua ni Jorge's fault, missed goal by conert juz ilikua ni Jorge's fault, own goal dhidi ya Man City.
Mi machache nnayokumbuka kuhusu utumbo wa Jorginho, mwanetu akiwepo Kwa ground Chelsea tunatulia sana na mpira ila lazima atachoma.
Nadhan muda system nzima ya kucheza itakapobadilika ndipo Chelsea tutamuacha Jorginho lakn Kwa Sasa ni ngum sana.
Sorry sio mwandishi mzuri though 😂😂
Umefurahi mwenyewe wewe subiri futuhi ndio level yenu
Je sterling angefunga ungeongea hiyo kauli?All in all sio judgement nzuri kama alikuwa kwenye nafasi nzuri ya kufunga
Bora ulivyonisaidie yaani mtu anatoa lawama kwenye vitu ambayo avimake senseAngepiga na kukosa bado mngemlaumu vilevile kuwa ni mbinafsi,kwanini hakumpasia mwenzie akiyekuwa sehemu nzuri zaidi.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
"Nge" sio muhimu, nafikiri first opportunity ndio what mattaer in life and in football. Labda kwa sababu mimi binafsi sikuona na pia bado sijaangalia replay ila natambua pia kama Auba hakuwa kwenye better position zaidi ya Sterling basi atakuwa yuko sawa. Ila kama nafasi yake ilikuwa better kama ya Sterling atakuwa amefanya makosa kwa sababu niliyosema, "First opportunity in life is what matter the most"Je sterling angefunga ungeongea hiyo kauli?
Na angekosa ungesema ni mbinafsi"Nge" sio muhimu, nafikiri first opportunity ndio what mattaer in life and in football. Labda kwa sababu mimi binafsi sikuona na pia bado sijaangalia replay ila natambua pia kama Auba hakuwa kwenye better position zaidi ya Sterling basi atakuwa yuko sawa. Ila kama nafasi yake ilikuwa better kama ya Sterling atakuwa amefanya makosa kwa sababu niliyosema, "First opportunity in life is what matter the most"
Nimetoa taarifa kwa kilichoendelea pande zote mbili za timu zenu, ulishawahi kuniona kwenye thread ya timu nyengine nikipigishana kelele?Umefurahi mwenyewe wewe subiri futuhi ndio level yenu
Watu wanashindwa kuelewa hicho kitu, pep kuna mda mpka anatupa machupa ya maji. Au waangalie zile documentary za arsenal na city za amazon, waone jins arteta o pep wanavyofokaSasa hata kama wamekosea,ashindwe kuwasema ili kuwarekebisha?
Mbona hata Pep huwa anawaambia wachezaji wake wakiharibu.. anasema wazi kuwa timu imecheza hovyo,na hapo unakuta alishinda!.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Pep vijana wake wanaenda HT wakiwa mbele kwa bao tatu...aila huko Dressing room aliwagombeza sana kuwa hajaona mpira waliocheza.Watu wanashindwa kuelewa hicho kitu, pep kuna mda mpka anatupa machupa ya maji. Au waangalie zile documentary za arsenal na city za amazon, waone jins arteta o pep wanavyofoka
Itamcost before December sio? [emoji1787][emoji1787]Tuna kikosi kizuri sana. Wachezaji wenye potential si chini ya wawili wapo kwenye kila position. Tuchel sio kocha mbaya, lakini naona ameshindwa kutwist mfumo wake kuwafit vyema wachezaji waliopo kwenye kikosi. Hii itatucost mno na itamcost yy pia kibarua chake before december
[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]Naona baada ya kipigo jana chelsea mmeamua kumfukuza kocha wenu. Tuchel has saked by chelsea