Hiyo ni 433Our XI vs RB Salzburg
Kepa
James Azp Silva Cucurella
Jorginho Kova
Sterlinh havertz Mount
Aubameyang
Formation inaweza kuwa 352 au 4231 au 343 kama aliyokuwa anatumia wakat yuko brighton Trossard/Mount wakiwa na role sawa
Inaogopesha kwa hii lineupNaona Kocha anataka kuniogopesha huyuu[emoji33][emoji33]. Ujasiri wa kwenda kuangalia Game umepungua GhaflaView attachment 2357059
Naona Kocha anataka kuniogopesha huyuu[emoji33][emoji33]. Ujasiri wa kwenda kuangalia Game umepungua GhaflaView attachment 2357059
Kweli aiseee siyo kwa hii line upTHE BLUES vs Salzburg
- Kocha mpya [emoji3581]
- 1st eleven [emoji848]
- Formation [emoji848]
- Style ya uchezaji mpya [emoji3581]
- Mbinu mpya [emoji3581]
Wanaonyesha chaneli gani? Kwangu DSTV kwenye SS3 hadi 9 hawaonyeshi hilo game.Naona Kocha anataka kuniogopesha huyuu[emoji33][emoji33]. Ujasiri wa kwenda kuangalia Game umepungua GhaflaView attachment 2357059
226Wanaonyesha chaneli gani? Kwangu DSTV kwenye SS3 hadi 9 hawaonyeshi hilo game.
Huyu anatakiwa aendelee kupumzikaMendy majeruhi kwa siku 10 sasa, kesho hatakuwepo kwenye mtanange na RB Salzburg
View attachment 2355768
Si kwa haraka hivyoHicho wanachopanga na kukifanya mwisho wa msimu kipambwe na kubeba makombe.
Ndio game ya kwanza mkuu. Hebu tuondoe mategemeo makubwaNaona Kocha anataka kuniogopesha huyuu[emoji33][emoji33]. Ujasiri wa kwenda kuangalia Game umepungua GhaflaView attachment 2357059
4-2-3-1Our XI vs RB Salzburg
Kepa
James Azp Silva Cucurella
Jorginho Kova
Sterlinh havertz Mount
Aubameyang
Formation inaweza kuwa 352 au 4231 au 343 kama aliyokuwa anatumia wakat yuko brighton Trossard/Mount wakiwa na role sawa
[emoji2]Mnaoangalia game, tutashinda 3+?
Graham potter ameondoa ile ladha tamu ya soka la chelsea ya Tuchel. Hata mkishinda lakin pira papatu papatu.
3524-2-3-1
Naona leo anacheza nafas tofaut na ile aliyokuwa anacheza wakat wa tuchelMount alikuwa anamgomea TT, Leo anacheza vizuri
Chelsea 1= RB 0