Matatizo makubwa la Jorginho niNi kwamba tu mashabiki wa chelses tushazoea kulalamikia makocha, lakini safari hii tatizo ni kwamba tuna wachezaji wasio na calibre ya kucheza chelsea.
Embu angali goli tulilofungwa, azpilicueta anaona kabisa forward yuko mbele yake baada ya thiago kufanya makosa ila akabaki anamuangalia tu mpaka alipopewa pasi ndo akajifanya anaenda kumkaba. Goli lilikua linazuilika kabisa yani lile.
Tuje kwa ziyech, kusema kweli huyu jamaa tusiwe na matumaini kwamba atakuja kuperfom ndani ya uzi wa chelsea. Amekua kila akicheza hasahas msimu huu ndiye anaongoza kwa kupoteza mipira na kukosa nafasi, hovyo kabisa.
Pulisic ndo zero kabisa, akiingia kama vile hatupo uwanjani.
Naonaga wengi mnamsema Jorginho, lakini ukweli ni kwamba Jorginho ni mchezaji bora kushinda wengi mno ndani ya kikosi cha chelsea.
Bila usajili wa maana tutakua kama Man U, kulalamikia makocha kila siku kumbe tuna wachezaji wapumbavu.
Nasema Thiago alizingua ila stil azp angewah kuclear since ashamuona mtu yuko wapi,Hili goli ni la kifala Sana ,sijui hata huyu pimbi Kepa aliruka nini sasa , yaani huo Mpira kashindwa kudaka , jinga kabisa .
Thiago na Azpi nao walizingua
Takataka kama Havertz sio ya kuanzaBroja jana kacheza vizuri, naamini mbele angecheza Auba na Broja, Sterling na Mount wakashuka kwenye atatcking midfield na Jo na Kova wakacheza kama CM na huku nyuma tukacheza backline ya 4, yaani formation ingekuwa 4-4-2 jana ingependeza zaidi.
---------Auba ------------------ Borja-------
Sterling ------Jorgninho -------Kovacic --------Mount
Cucurella ------Koulibally --------Silva au fofana --------James
-------------------- Mendy ---------------------
Jana tungeshinda
Nashangaa kwa nini tulimbakisha huyu na mkataba juu tukampa. Yani huyu ilipaswa aondoke hakuna kitu anachotupa. Ni tofauti na silva hata kama age imeenda ila anatuokoa sanaAzpi so weak, sio yule wa 2013-2020, kachoka, tungemruhbusu tu aende
Mkuu unamdharau Sana Jorginho pep mpaka Leo anamkubali huyo mwamba jorginho ni mchezaji mzuri inategemea na namna ambacho utakavyomtumia huyo Rodri hana uwezo hata nusu ya Jorginho abebwa na performance ya team individual ni mchezaji wa kawaidaCHIEF mbona hilo tulishakubaliana long time. Kikosi chetu kina quantity kubwa kuliko quality.
Beba wachezaji wetu shusha pale CITY wangapi watapata namba 1st eleven?
STERLING - HAALAND - MARHEZ
GUNDOGAN - RODRI - BRUYNE
CHILWELL - THIAGO - STONE - JAMES.
If ni back up wa James why aanze sasa.???Sio kwamba alibakizwa ili awe back up ya JAMES. Hatukusajili mbadala wa James.
Na kwa mwendo huu JAMES anavyotumika mfululizo very soon atapata injury.
Nafikiri kocha alikuwa anataka kuweka harmony katika timu, zingatia ni mechi yake ya kwanza alafu unamuacha Captain nje wakati unajua baadae utamuhitaji kwa ajili ya kuweka mambo ya dressing room sawa.Hapo kwa Azplicueta mm ndo nilichoka sijui alifikilia nn kumuanzisha nikaona kabisa hamna matokeo
Halafu kingine sub alizofanya azikuwa sahihi kabisa
Hata mashabiki chesi imepigwaHapa tumepigwa . Huyu kocha tumepigwa, hii timu tumepigwa ..usajili tulofanya tumepigwa. Yani kwa ufupi kila kitu tumepigwa. Hatua ya makundi hatuvuki aise naona.
Sio tu Azpi, timu zinazojilinda vizuri kila mchezaji alitakiwa kukimbia kuzuia, hivi karibuni wachezaji wa Chelsea wamegeuka watazamaji mipira ya hatari kama zile. Walitakiwa wabashiri kwamba Silva akipoteza itakuwa na madhara ili wawahi kucover nafasi ila badala yake jitihada za Chelsea kujilinda hivi karibuni imekuwa hovyo tangu akina Rudiger na Christansen waondokeNasema Thiago alizingua ila stil azp angewah kuclear since ashamuona mtu yuko wapi,
Kepa nae ule mpira sio wa kumpita.
Tangu wamuondoe Kante kwenye Holding Midfield, Chelsea back 4 inakuwa too much exposed under Jorginho or any other Chelsea Midfield labda aje mwingine mwenye uwezo wa kukata umeme, Sio Jorgninho au Kovacic au viungo tulionao, Hata Zakaria akiwa mzuri hataweza kukata umeme. Waliowezaga hii kazi ni akina Makelele, Michael EssienMaurizio Sarri has revealed that he needs N'Golo Kante to stay close to Jorginho when defending as the Chelsea star is 'not very good in open spaces.
"With the ball on the other side, he has to stay very close to Jorginho. Otherwise it's a big problem for us".
Acheni kuwa wapumbavu basi, yani mechi 1 majibu yote mnayo ninyi.Hapa tumepigwa . Huyu kocha tumepigwa, hii timu tumepigwa ..usajili tulofanya tumepigwa. Yani kwa ufupi kila kitu tumepigwa. Hatua ya makundi hatuvuki aise naona.
Mashabiki kindakindaki tumeshajiandaa kisaikolojia tukae tu hata nafasi ya 7 lakini baada ya miaka miwili mbele timu itakuwa imeshapata chemistry nzuri ya kushinda mechi yoyote... [emoji28]Kama mkishindwa kumfunga Milan next game basi kusanyeni vilago kwenda Europa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini hata Kepa naye hakuwa makini. Kwa ule mpira, He lacked concentrationAzplicueta alimuachia jamaa gap kubwa sana la kufanya alichotaka.
Hata ukimuangalia Keppa alinyoosha mkono kwa Azip kumtahadharisha kwamba adui huyo anakuja
Mbona kama jana Sterling alicheza kama wingback fulani hivi au? [emoji851]Timu Jana imecheza vizuri sana na kuna vitu kocha ameonesha
1.Wachezaji wamepangwa kwenye nafasi zao halisi
2. Uharaka wa kufanya mashambulizi, tuna attack haraka kabla mpinzani ajajipanga
3.Press [emoji91]
4.Jorginho for the first time naona msimu Huu Jana kacheza vizuri
Weekness
1.Finishing, ni tatizo limeendelea kututesa Sana wachezaji wanakosa magoals Sana huwezi kulaumu hapa kocha ikiwa tunatengeneza nafasi nyingi lakini tunashindwa kutumia nafasi
2.Nafikiri kwenye pale sub asingemtoa Auba tungecheza na double striker Auba na Broja kwa zile nafasi za wazi alizokosa Ziyech angekuwa ni Auba zinge kuwa goal
NB: kocha anahitaji muda kwa aina la soka lake naona atafanikiwa pale chelseafc tumpe muda
Watakuelewa baadaye kuhusu kuboronga kwa Kepa. Ule mpira haukuwa na nguvu/kasi yoyote Kepa kushindwa kuudaka. Alikosa umakini tu.Hili goli ni la kifala Sana ,sijui hata huyu pimbi Kepa aliruka nini sasa , yaani huo Mpira kashindwa kudaka , jinga kabisa .
Thiago na Azpi nao walizingua
Jana Cheek alikuwa anatoa cross nzuri sana mwishoni. Ila wasichana wetu kule mbele kila mmoja nyonyo ilikuwa inauma [emoji851]Cheek
Ziyech
Pulisic
Jorginho
Harvetz
Azipculeta
New coach, same story
Usikute Ziyech ni wale wachezaji wenye kaliba ya kuchezea timu ndogo tu ila wakija kwenye timu kubwa hakuna kitu kama akina Ross Barkley [emoji38]Ziyech huyu kalogwa aisee, kocha mpya anacheza vile vile kwa kiburi na kudharau opponent, nimechukia jana, Sikio la kufa huyo aruhusiwe kusepa tu
UMRI ni NAMBA na KAMWE haujawahi kudanganya unapofikia hatua ya akili ya mchezaji kutaka kucheza vizuri lakini viungo vya mwilini wake visishirikiane na akili yake [emoji4]Azpi so weak, sio yule wa 2013-2020, kachoka, tungemruhbusu tu aende